Naomba namba ya simu ya Mkuu wa Shule Bahari Beach High School - Ununio Dar es Salaam

Rwebo

JF-Expert Member
Oct 17, 2015
979
1,141
Wakuu naomba msaada wenu kupata mawasiliano ya simu na mkuu wa shule tajwa hapo juu. Mimi niko mbali na Dar es salaam. Nime- Google namba walizotoa aidha zilikuwa za walimu walishahama.

Natanguliza shukran
 
Back
Top Bottom