namba

Namba (難波, Nanba, IPA: [namba]) is a district of Osaka, Japan. It is located in Chūō and Naniwa wards. Namba is regarded as the center of so-called Minami ("South") area of Osaka. Its name is one of variations on the former name of Osaka, Naniwa. Namba is best known as the city's main south-central railway terminus: JR, Kintetsu, Nankai, Hanshin, and three Osaka Metro subway lines have stations there.
Some of the most famous images of Osaka, including the Glico Man and the Kani Doraku Crab, are located around the Dōtonbori canal in Namba. Namba is also known as an entertainment district, and hosts many of the city's most popular bars, restaurants, nightclubs, arcades, and pachinko parlors. The area is also known for shopping, with the Takashimaya department store (for older styles) and the sprawling underground Namba City shopping mall (for newer styles).
Namba Parks is a new development consisting of a high office building, called "Parks Tower," and a 120-tenant shopping mall with rooftop garden. Various kinds of restaurants (Japanese, Korean, Italian, etc.) are located on the 6th floor, and shops on the 2nd to 5th floors. Parks Garden features enough greenery to help visitors forget that they’re in the middle of the city. There is also an amphitheater for live shows, as well as space for small personal vegetable gardens and wagon shops.
Namba was once the city of adult deliquents.Now,namba gathers some of the young deliquents.
There are sex trade shops and discos,but namba is also the pub restaurants city.
The namba's amusing commerce culture gathers many people.
canals in osaka created the commere culture.namba was near the center of osaka in Edo.
namba is also the center of owarai culture.
NMB48 bases in Namba.

View More On Wikipedia.org
  1. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania Vodacom nani aliyewaruhusu kuwapa CCM namba yangu ya simu?

    Ndugu Mwananchi, Mimi John Pombe Joseph Magufuli, mgombea nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninaomba kura yako ya NDIYO kwangu, Mbunge na Diwani wa CCM ifikapo tarehe 28/10/2020, Tumetekeleza kwa kishindo tunasonga mbele pamoja. Asante sana na Mungu...
  2. Mduma Farms

    JamiiForums Tanzania Nauza vitunguu Maji, Shamba lipo Arusha 17km kutoka Arusha Mjini, Cash customer anicheki Kwa namba 0717329393

    Mjini, Cash customer anicheki Kwa namba 0717329393
  3. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Kuhitajika namba za NIDA wakati wa application SUA

    Wadau, wakati nafanya application SUA. Nimekutana na kipengele kinachohitaji namba ya NIDA.. Sasa kama hauna inakuwaje hapa.!!, kuna mtu yeyote kakutananacho hiki kipengele..?
  4. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa Mwanasheria mwenye namba ya DPP

    Kuna tukio lilitokea Mwanza mwaka jana,kwa ufupi mwanajeshi na mgambo waliwapiga watuhumiwa, ndani ya ofisi ya kata, mmoja alifariki. Polisi walidanganya marehemu aliuwawa na wananchi. Baadae mke wa marehemu alimuona mkuu wa mkoa,na upelelezi ukafanyika na maelezo yakachukuliwa,na kesi ilikuwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni hatua zipi nifuate niweze kupewa namba ya siri ya huduma za kifedha kwenye simu iliyokuwa inamilikiwa na marehemu?

    Habari waungwana. Nimeteuliwa kufuatilia mirathi ya ndugu yetu aliyetutoka kwa ajali. Nimeshathibitishwa tayari mahakamani. Sasa nauliza namna naweza kupata namba ya siri ya line ya simu ya marehemu maana kuna uwezekano marehemu alikuwa anahifadhi pesa huko. Je huu uthibitisho wa mahakamani...
  6. maji ya gundu

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya uhakika ya kuchukulia namba kwa watoto wazuri

    Poleni na majukumu wakuu Leo nimeona nisheenanyi njia za uhakika ambazo ukizitumia inavotakiwa kwako namba za watoto wazuri itakua sio shida Fungua goli(office) la huduma za kifedha yaani namaanisha uwe na tigo pesa,m pesa, Airtel money na hallo pesa, yaani hii ni njia ya uhakika na salama...
  7. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Vitendo vinavyokatazwa kwa mujibu wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi namba 6 ya 2010

    Kwa mujibu wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi namba 6 ya mwaka 2010; Kifungu cha 24, kifungu kidogo cha 2 kinaeleza kuwa; Mgombea yeyote, awe yeye mwenyewe au wakala wake au chama chake, akifanya kitendo ambacho kimekatazwa kama ilivyoelezwa sehemu hii, atakuwa amekosa sifa ya kushiriki kwenye...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Naomba namba ya simu ya Mkuu wa Shule Bahari Beach High School - Ununio Dar es Salaam

    Wakuu naomba msaada wenu kupata mawasiliano ya simu na mkuu wa shule tajwa hapo juu. Mimi niko mbali na Dar es salaam. Nime- Google namba walizotoa aidha zilikuwa za walimu walishahama. Natanguliza shukran
  9. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Money Penny Mpenzi, naomba namba yako ya simu

    To be honest nimemiss Sana JF na kuandika HADITHI Kwa website yangu na Kuongea YouTube, tulieni Wana ngoja upepo upite nitarudi Novemba NIMEKUWA buzy mweeee, Hadi utanihurumia💃 Anywho naskia mabaharia huku mnalalamika natoa namba feki, kuna Faza anapokea simu na KUWAFOKEA 😂😂😂, poleni mweee...
  10. 6

    JamiiForums Tanzania Naweza kuwa na namba ya utambulisho ya mlipa kodi/TIN bila kuwa na biashara?

    Naweza kuwa na namba ya utambulisho ya mlipa kodi/TIN pasi kuwa na biashara/ kuitumia?
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Usipende kuweka namba yako ya simu mitandaoni bila sababu. Ni rahisi kumdukua mtu ukiijua namba yake ya simu

    Napenda kuwapa ushauri wana JF wenzangu. Mjitahidi kulinda privacy zenu huko Facebook, Instagram, Twitter n.k. Kuna watu wakiipata tu namba yako wanakudukua kiulaini. Nimewahi kufanya research na kugundua ni rahisi sana kumdukua mtu kwenye mtandao wa kijamii ikiwa tu utaijua namba ya simu...
  12. The Humble Dreamer

    JamiiForums Tanzania Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    Wakuu Salaam; Ofisi ya Rais-Tamisemi imefungua rasmi dirisha la kutuma maombi ya ajira kwa sekta ya elimu. Kila aliye na sifa anaweza kuomba ajira hiyo kupitia link ifuatayo :https://ajira.tamisemi.go.tz/ . Kigezo cha kua na kitambulisho au namba ya NIDA kimejumuishwa kama msingi kwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania WhatsApp unaweza kuwa ni mtandao namba moja katika kusaidia, kufanikisha na hatimae kuleta mageuzi ya kisiasa hapa nchini

    Mtandao wa WhatsApp, kupitia ma-group ya WhatsApp, umewaza kuwa ni mtandao unaowaleta na kuwaunganisha watu wengi zaidi kwa pamoja pengine kuliko mtandao mwingine wowote katika nchii hii, na hivyo kufanya taarifa zinazokuwa shared kupitia mtandao huu, kuwafikia watu wengi zaidi kuliko...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Fahamu watu wanaoruhusiwa kuweka pingamizi dhidi ya wagombea wa Urais, Makamu wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa mujibu wa Sheria

  15. KENZY

    JamiiForums Tanzania Ile hela tuma kwenye namba hii, ugonjwa usiokoma!

    Nimeamka asubuhi tu nakutana na sms yao ati nitumie hela kwenye namba hii..! Haya majamaa sijui huwa yanafikiria hela ni kama pua tu kila mtu anayo!!.. wangejua hii weekend imekaa kikomamanga hata wasingetuma li sms lao..! Mtu huna hata ya kununulia soda ya jero licha ya soda tusiende mbali hata...
  16. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika Makonda atakuwa amefuta namba ya Polepole na Bashiru

    Si Mnajua jamaa ameliwa tena kichwa. Alijiaminisha mchakato wa juzi atapita kwa vile mentor alisema "unaweza ukawa wa kwanza nikakukata vile vile". Mbeleko ilienda kwa watu baadhi ila kwake nyota haijasoma tunguli za kolomije hazijasoma anategemea huruma ya mwenyekiti wake ampe uteuzi CCM huko...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ndugu Faustine Ndugulile tafadhali 'Usitusaliti' na usikubali huo 'Ushawishi' unaopewa ili Namba Tatu agombee

    Hao Watu wawili tena 'Waandamizi' kabisa wanaotumwa Kwako mara kwa mara kuja 'Kukushawishi' kuwa umuachie Namba Tatu 'agombee' hilo Jimbo na kwamba Wewe 'Utateuliwa' ama kuwa Balozi au Mbunge waambie kuwa Kamati ya Roho Mbaya ya CCM Jimbo la Kigamboni 'itashawishi' Wana CCM wote wampigie 'Kura'...
  18. Shark

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi/Mwajiriwa sasa kupewa TIN Number ili kutambulika kama mlipa kodi kupitia PAYE

    Wakuu kwema? Sasa kila Mwajiriwa atatakiwa kuwa na TIN, hii itatumika kumtambulisha kama mlipa kodi pale anapokatwa PAYE kwenye Mshahara wake.
  19. Prince mimi

    JamiiForums Tanzania Millard Ayo ana tatizo gani na habari za Upinzani?

    Kijana huyu baada ya kupata mafanikio kupitia sisi vijana, ghafla ameanza kujisahau. Zaidi ya 90% ya followers wake instagram pamoja na subscribers wake ni wafuasi kindakindaki wa CHADEMA na hilo analijua. Katika video zinazohusu Siasa, kwa miaka yote zile zenye maudhui ya CHADEMA na viongozi...
Back
Top Bottom