namba

Namba (難波, Nanba, IPA: [namba]) is a district of Osaka, Japan. It is located in Chūō and Naniwa wards. Namba is regarded as the center of so-called Minami ("South") area of Osaka. Its name is one of variations on the former name of Osaka, Naniwa. Namba is best known as the city's main south-central railway terminus: JR, Kintetsu, Nankai, Hanshin, and three Osaka Metro subway lines have stations there.
Some of the most famous images of Osaka, including the Glico Man and the Kani Doraku Crab, are located around the Dōtonbori canal in Namba. Namba is also known as an entertainment district, and hosts many of the city's most popular bars, restaurants, nightclubs, arcades, and pachinko parlors. The area is also known for shopping, with the Takashimaya department store (for older styles) and the sprawling underground Namba City shopping mall (for newer styles).
Namba Parks is a new development consisting of a high office building, called "Parks Tower," and a 120-tenant shopping mall with rooftop garden. Various kinds of restaurants (Japanese, Korean, Italian, etc.) are located on the 6th floor, and shops on the 2nd to 5th floors. Parks Garden features enough greenery to help visitors forget that they’re in the middle of the city. There is also an amphitheater for live shows, as well as space for small personal vegetable gardens and wagon shops.
Namba was once the city of adult deliquents.Now,namba gathers some of the young deliquents.
There are sex trade shops and discos,but namba is also the pub restaurants city.
The namba's amusing commerce culture gathers many people.
canals in osaka created the commere culture.namba was near the center of osaka in Edo.
namba is also the center of owarai culture.
NMB48 bases in Namba.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Fomu namba 8A ndiyo itakayombana Tundu Antipas Lissu, ni ya Maadili ya Uchaguzi

    Fomu hii namba 8A inatakiwa kujazwa na wagombea wa Urais mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu. Ni ya kuahidi kulinda, kuheshimu na kuzingatia maadili ya uchaguzi na taratibu zake. Ukitenda kinyume cha maadili ya uchaguzi unaweza kuenguliwa kwenye uchaguzi wakati kampeni zikiendelea. Kwa hiyo wagombea...
  2. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Nahitaji namba ya Simu ya Hospitali ya Amana

    Naomba aliye na namba za simu za Amana Hospitali anipatie kwani zilizopo kwenye mtandao hazipatikani. Asanteni
  3. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Humphrey Polepole: Dkt. Magufuli atachukua fomu ya Urais 06 Agosti Dodoma. Mwanachama aliyepiga mazonge kwenye kura za maoni atashikishwa adabu

    Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Polepole ataongea na watanzania kupitia vyombo mbalimbali vya habari. Mkutano utafanyika ofisi ndogo ya CCM - Lumumba, Dar es Salaam. Usipange kukosa kufuatilia. Juzi tulikuwa na NEC ilituita vyama vyote, taarifa muhimu tumepewa, kikao kilichopita...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kesi dhidi ya JamiiForums, namba 458: Jamhuri yafunga Ushahidi baada ya Tully Mwambapa kutoa Ushahidi. Kesi itaendelea 20 Agosti 2020

    Kesi namba 458 ya mwaka 2016 (Jamhuri dhidi ya Mkurugenzi wa Jamii Forums na Mwanahisa wa Jamii Media) inatajwa tena leo, Julai 30, 2020 majira ya saa 3 asubuhi mbele ya Hakimu Huruma Shaidi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar Mara ya mwisho iliposikilizwa Juni 25, 2020 Jamhuri...
  5. IIoT

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Lissu na siri katika namba

    Kumekuwepo na nadharia (conspiracy theories) kuhusu namba kwenye Muda (Mwezi, Siku na Saa) kubeba siri nyingi za matukio mbalimbali yanayotokea dunia. Matukio yanaweza kuwa ni vifo nk. Je, ni kweli kuna siri katika namba au fikra zetu tu katika kujenga taswira kuhusu matukio? Lissu...
  6. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Kurasimisha namba na TCRA

    Wakuu, habari za mda huu. Nimekuwa nikipokea messages kibao kupitia simu yangu kuwa nirasimishe namba zangu zote za simu nilizosajiri kupitia kitambulisho changu. But kwa mujibu wa maelezo yao wanasema nipige *106# then nifuate maelezo Ila nimejaribu kufanya hvyo bado naona messages hazikauki...
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe anavyomfitini Tundu Lissu, Nyalandu ashinda kura za maoni

    Ndugu wana bodi. Kupitia vyanzo vyangu makini vya kimtandao nimepokea taarifa kuwa kamati kuu ya CHADEMA imefanya uamuzi kwa kupiga kura. Uamuzi wa kupendekeza nani awe mpeperusha bendera mkuu wa CHADEMA katika uchaguzi wa mwaka huu 2020. Yaani mgombea Urais. Ukweli ni kwamba kati ya watu 8...
  8. masai dada

    JamiiForums Tanzania Naomba namba ya bus Kilimanjaro express

    La dar es salam Naomba namba
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Changamoto tunazopata katika mchakato wa kuomba namba ya simu

    Kupata namba ya simu ya demu ni mchakato hasa kwa wale wazee wa kujishtukia Juzi kati nikasafiri toka Dom kwenda Mwanza. Pembeni nina pis kali anashuka Buhongwa. Wote tulichangamka sana na mastori ya kila aina. Mara chache sana tulikuwa kimya ukiacha ile mida ya kusinzia. Drinks na bites...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Je, Morrison angeweza mfanyia Zahera uhuni anaomfanyia mzungu na viongozi wa Yanga na bado akapata namba?

    Habari wadau Swali la kizushi.. je Morisson angeweza kumfanyia Mwinyi Zahera mambo anayowafanyia viongozi msimu huu. Hapo ndipo nawaelewa watu wakali kama Zahera au Magufuli.. Ukali unasaidia sana kuleta nidhamu.. Yanga ya Zahera hata hela ilikuwa haina za mishahara ila bado kocha alikuwa...
  11. hiram

    JamiiForums Tanzania Hii inapatikana kwenye matokeo ya CAF

    Hii inapatikana kwenye matokeo ya CAF champions league 2019 na bado code namba ni hiyo hiyo 255
  12. T

    JamiiForums Tanzania Hatimae Telecom Italia, kampuni namba moja ya simu Italia imeiondoa Huawei kwenye uzinduzi wa 5G yake

    Jana zilitoka habari za ndani au chini ya kapeti kua nchi ya Italia inafikiria kuitenga Huawei kwenye mfumo wake wa mtandao wa 5G. Juzi pia zilitoka habari kua Marekani inaishinikiza Brazil kutafta kampuni nyingine nje ya Huawei kuunda mfumo wake wa taknolojia ya 5G na Marekani akaahidi yuko...
  13. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Namba 06: Aliyewahi kuwa Meya wa Jiji la Dar, Isaya Mwita amechukua fomu kuomba ridhaa kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Aliyewahi kuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar, Isaya Mwita amekuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania nafasi ya Urais Tanzania kupitia CHADEMA Isaya anayekuwa mgombea wa 6 kuchukua fomu hiyo Kaulimbiu yake ni "Mageuzi ya mfumo wa elimu, upanuaji na uongezaji wa ajira kwa vijana na...
  14. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Namba 5: Leonard Toja Manyama ajitokeza kuchukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA

    Leonard Toja Manyama amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea Urais kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Bwana Manyama ni mwalimu na mtaalam wa mipango miji, kauli mbiu yake niamini nikuvushe. Ameeleza vipaumbele alivyonavyo endapo atakuwa Rais wa Tanzania. "Atairejesha Rasimu ya...
  15. dosama

    JamiiForums Tanzania Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo

    Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ,ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo 7.07.2020. Jeshi la Magereza limegeuzwa nguvu kazi ya CCM
  16. A

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wadada kukubali uchukue namba zao ila wao kuja gheto ni kama unatongoza mara ya pili...

    Nawapa hongera wale wadada wasiotoa namba zao za simu, kuliko hawa wanaotoa namba ila ukiomba kukutana nao siku flani, hata kama ni kwenye mgahawa mpate soda mbili tatu, ni kama vile unapanga appointment ya kukutana na mheshimiwa rais..hizo sababu na kalenda utakazopigwa, usipoweza jizuia...
  17. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Nataka gari mpya toka showroom.. namba d

    Nina milion 1 na laki 3..maelewano yapo ila isizidi milion 1 na laki 4
  18. Influenza

    JamiiForums Tanzania Namba 30: Mussa Aboud Jumbe, Mtoto wa Rais wa zamani wa Zanzibar, Aboud Jumbe amechukua fomu ya CCM kuwania Urais wa Zanzibar

    Mussa Aboud Jumbe, Mtoto wa Rais wa zamani wa Zanzibar, Aboud Jumbe amechukua fomu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Jumbe amekuwa mgombea wa 30 katika mbio hizo za Urais. Vile vile Mussa ni Mkurugenzi katika Idara ya Maendeleo ya Uvuvi...
  19. Influenza

    JamiiForums Tanzania Namba 29: Shaame Simai Mcha achukua fomu kuwania kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM

    Shaame Simai Mcha ambaye ni Mwandishi wa Habari, ameingia katika mbio za Urais wa Zanzibar kwa kuchukua fomu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020.
  20. Influenza

    JamiiForums Tanzania Namba 28: Idd Hamad Idd achukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia CCM

    Kada wa CCM, Idd hamad Idd amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombe Urais wa Zanzibar kupitia CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 - Idd Hamad anakuwa mwanachama wa 28 wa chama hicho kuchukua fomu hiyo ambapo tayari Wanawake 3 na Wanaume 24 wameshachukua
Back
Top Bottom