Ni hatua zipi nifuate niweze kupewa namba ya siri ya huduma za kifedha kwenye simu iliyokuwa inamilikiwa na marehemu?

man dunga

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
3,211
5,561
Habari waungwana.

Nimeteuliwa kufuatilia mirathi ya ndugu yetu aliyetutoka kwa ajali. Nimeshathibitishwa tayari mahakamani. Sasa nauliza namna naweza kupata namba ya siri ya line ya simu ya marehemu maana kuna uwezekano marehemu alikuwa anahifadhi pesa huko.

Je huu uthibitisho wa mahakamani unatosha kupewa namba ya siri na kampuni husika?
 
Nenda na makaratasi yako watakuelekeza tu.
 
Back
Top Bottom