TRA waja na rungu kwenye TIN namba wale tulio na magari kama private ukikutwa umebeba mzigo inatakiwa kulipia kama gari la biashara

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
IMG_20200901_151236.jpg
IMG_20200901_151241.jpg
 
🎼Tuliipenda wenyeweeee....🥁 Ta.. ta.. Chaguo letu wenyeweee..🥁 tataa... wacha tuisome namba eeeeeh... CCM mbele kwa mbelee🎼

Na bado manina zetu, tutapiga pande zote mpaka tunyooke!
 
Nchi lazima ijengwe na watanzania wenyewe, je Tunaijenga kwa namna gani? Ni kwakuwajibika watanzania kulipa kodi tuu hakuna namna nyingine.
 
Usishangae kufunguliwa kesi ya 'uhujumu uchumi' ukikutwa gari yako imebeba mzigo wakati ilisajiliwa kama'private':mad:
 
Back
Top Bottom