Vodacom nani aliyewaruhusu kuwapa CCM namba yangu ya simu?

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,849
2,000
Ndugu Mwananchi, Mimi John Pombe Joseph Magufuli, mgombea nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninaomba kura yako ya NDIYO kwangu, Mbunge na Diwani wa CCM ifikapo tarehe 28/10/2020, Tumetekeleza kwa kishindo tunasonga mbele pamoja. Asante sana na Mungu akubariki.

Nitachukua hatua zaidi.
 
Prince Kesh Jr

Senior Member
Jul 21, 2018
197
500
Ndugu Mwananchi, Mimi John Pombe Joseph Magufuli, mgombea nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninaomba kura yako ya NDIYO kwangu, Mbunge na Diwani wa CCM ifikapo tarehe 28/10/2020, Tumetekeleza kwa kishindo tunasonga mbele pamoja. Asante sana na Mungu akubariki.

Nitachukua hatua zaidi.
Si walisema ccm hawatopiga kampeni na kutokutumia wasanii??Vip tena kwa Sms😊
 
njinjo

JF-Expert Member
Feb 15, 2019
2,335
2,000
Ndugu Mwananchi, Mimi John Pombe Joseph Magufuli, mgombea nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninaomba kura yako ya NDIYO kwangu, Mbunge na Diwani wa CCM ifikapo tarehe 28/10/2020, Tumetekeleza kwa kishindo tunasonga mbele pamoja. Asante sana na Mungu akubariki.

Nitachukua hatua zaidi.
Mimi hapa
 
mugah di mathew

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
3,727
2,000
Kuna

Kuna ukweli hapa?
Jane Lowassa mama D johnthebaptist Kawe Alumni Pascal Mayalla nk tuambieni ndio mmefikia huku?
 
Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
975
1,000
Binafsi sijaona tatizo kupata meseji za vyama tofauti tofauti kwani hata Nchi zilizo endelea hawatangazi kwenye magari barabarani ya kupigia watu kelele wakichapa kazi
Badala yake hutumia TV, Twitter, sms na njia mbalimbali mbadala za kielekroniki kuwasiliana na watu
 
Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,822
2,000
Ndugu Mwananchi, Mimi John Pombe Joseph Magufuli, mgombea nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninaomba kura yako ya NDIYO kwangu, Mbunge na Diwani wa CCM ifikapo tarehe 28/10/2020, Tumetekeleza kwa kishindo tunasonga mbele pamoja. Asante sana na Mungu akubariki.

Nitachukua hatua zaidi.

Kamanda kwa mfano ukipewa nafasi ya kufungua mashitaka au ungekuwa mfungua mashitaka ungeweka mashitaka gani au kosa gani kwa Vodacom?

Hahahaha Kamanda
 
Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
6,121
2,000
Hali ni tete sana Pale CCM makao makuu.
Tathmini ya kikao cha siri cha jana inasemekana ripoti zinasema maji yamezidi unga na kuni za kuchochea moto zimekuwa majivu. Kila silaha sasa inaingizwa vitani.
 
mugah di mathew

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
3,727
2,000
Binafsi sijaona tatizo kupata meseji za vyama tofauti tofauti kwani hata Nchi zilizo endelea hawatangazi kwenye magari barabarani ya kupigia watu kelele wakichapa kazi
Badala yake hutumia TV, Twitter, sms na njia mbalimbali mbadala za kielekroniki kuwasiliana na watu
Twitter, Facebook nk huko si wanapost tu
Lakini kwenye namba ya simu (SMS,kupigiana na WhatsApp) lazima iwe tunajuana au kwa hiari yangu.
Hiyo ni kosa la kunifanyia vurugu,hata zile SMS za sijui voda mtonyo ni kosa
 
Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
11,655
2,000
hii habari ni za kweli, hata dada yangu ni Mwl kanihoji mbona anatumiwa sms na VODA
jina lake wamemtaja kabisa
Jamani Vodacom kura ni siri ya mtu na anajua trh 28 atafanya nini leo huwezi kumbadili
na KURA zitalindwa Nchi nzima watu hawataondoka vituoni, labda vijijini huko Ikungi Singida
 
Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
975
1,000
Twitter, Facebook nk huko si wanapost tu
Lakini kwenye namba ya simu (SMS,kupigiana na WhatsApp) lazima iwe tunajuana au kwa hiari yangu.
Hiyo ni kosa la kunifanyia vurugu,hata zile SMS za sijui voda mtonyo ni kosa
ni kosa kwa kifungu gani?
Ulipo nunua line ya simu uliomba upewe masharti ya umilikaji wa hiyo laini ukajua kampuni (service provider) anamamlaka gani juu ya laini yako?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom