Munishi1698
Member
- Mar 25, 2021
- 59
- 108
Ndugu zangu habarini,
Mimi naitwa Caroline ni mwanachama wa mda mrefu wa JF natafta kaz yoyote halali, katika Duka, kiwandani, supermarket n.k
Elimu yangu nina degree ya human resource naombeni ndugu zangu mnisaidie ambae ana connection ya kazi anibebe.