nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zamaulid

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Solar TV

    Habari wakubwa, kama mada inavyosema hapo juu!ninahitaji kununua television inayotumia umeme wa juu (solar TV) naomba mnisaidie kunishauri aina na siyo mbaya mkaniambia hata bei zake
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Gerage proper kwajili ya kupiga rangi gari yangu

    Habari zenu ndugu zangu. kwa yeyote anaejua sehem nzuri na yenye usalama mkubwa ambapo naweza acha gari yangu kwa mda mrefu kwajili ya kufanya ukarabati wa board na kupiga rangi. Gari ni IST New Model Location: Dar Es Salaam Rangi: Silver Watsapp: 0783 242247 Board ipo sawa lkn kuna sehem...
  3. De Professor

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua Kanga na Bata Mzinga kwa bei ya Shamba

    Habari zenu wakuu. Pasipo kupiga chenga nyingi ni kwamba ninataka kuweka mifugo shambani hasa Kanga na Bata Mzinga, Nipo Dar ila kwa wauzaji wa Dar bei zao zipo juu sana nataka kwa Bei ya shamba. Kama wewe unao kimojawapo au unaweza kuniunganisha na wauzaji wa bei ya chini kabisa nipatie...
  4. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nahitaji iPhone X used

    Ebwana wakuu, nahitaji kujua wapi naweza kupata iPhone X used. Nataka used kwa sababu sina hela ya kununua mpya. Naweza pia kutrade iPhone 6S nikaongeza kiasi kidogo kupata hiyo X.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kondoo aina ya Dorper

    Mambo vp Wadau wa ufugaji. Nimevutiwa sana una ufugaji wa awa kondoo aina ya Dorper weupe ila kuanzia kichwan wana rangi nyeusi nitapata wapi na bei zake wanauzawaje ?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kutatua tatizo hili la AVN

    Nilijirejista kuangalia AVN number yangu na ikafika kweny kipengele Cha kuangalia information zangu Kama ziko sawa nikajiridhisha kuwa zipo sawa nikabonyeza continue lakini mtandao nahisi ulikuwa unasumbua ivyo ikaja blank page Haina kuti. So nikaamua kurudi nyuma na iliporudi kuingia tena...
  7. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua kuhusu biashara ya mitumba

    Habari za muda huu wakuu natumai mmeamka vyema sana. Kwa wale wazoefu wa kuchukua mzigo Karume au Ilala je mabero ya viatu hasa raba na viatu vya shule pamoja na vya kike huwa vinafunguliwa wapi? Na kuhusu mabero ya nguo pia huwa yanafunguliwa wapi kati ya sehemu hizo mbili? Pia nasikia...
  8. Ahmed Saidi

    JamiiForums Tanzania Nimeaza kuandika vitabu, Nahitaji msaada zaidi

    Salamu wapendwa Katika kitu ambacho nilikuwa natamani basi ni kuwa na kitabu changu (Ni passion yangu). Nime-plan kuandika vitabu kadhaa Kama reference kwa wanafunzi. Basi Kwenye hii likizo nilianza kuandika kitabu kimoja, ni ngumu lakini naona inawezekana. Nimepanga kuandika vitabu sita...
  9. Baba Ndubwi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji godauni (Godown)la kupangisha Zanzibar

    Wakuu kherii. Ninahitaji godauni la kupangisha hapa Zanzibar. Liwe la mita 100-120 bila kujali upana ni ngapi mita. Lisiwe mbali saana na mjini kati. Mwenye kufahamu mahali laweza patikana au kama unalo tuwasiliane kwa PM. Karibuni.
  10. emmarki

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mbegu F2 za mbogamboga

    Habari, Ninahitaji mbegu F2 za mbogamboga zifuatazo. CARROTS SPINACH (Fordhook Giant) SUKUMAWIKI (Collards Green) BEETROOTS Nachukua mpaka kilo 50 kwa kila aina ya mbegu 0752042670
  11. Ibn Abdillah6

    JamiiForums Tanzania Budget 260k nahitaji Simu

    Offer yangu 260k simu ikiwa kali naongeza pesa.. Mali halali Android Phones Only Simu iwe kwenye good condition.. Na iwe double line.. Nichek 0733575632 tufanye biashara
  12. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhari Nahitaji kitabu cha lejendari Mr II Jongwe, Sugu au Taita

    Mwenye navyo au mwenye nacho ani dm, tafadhari .
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nahitaji 'Kudanganywa' zaidi kuwa Maafande akina Mbuge na Gaguti wametumbuliwa kama RC's ili Kupandishwa Vyeo vya Kijeshi

    Na mkinijibu hili naomba mniambie pia je, na wale waliokuwa Mawaziri akina Kabudi na Lukuvi tulioambiwa watakuwa Jirani nae hivi sasa wanafanya nini? Kazi ipo.
  14. Jolvin J Lug

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu anashida pindi anapokutana na jambo gumu katika mawazo(stress) huzimia

    Habari za majukumu na JF. Nina mpenzi wangu ambae nampenda pia nae ananipenda. Na tumekua na mahusiano yaliyodumi kwa muda wa mwaka mmoja Mara kadhaa ameniomba nimpelekee moto nimekua nikimzungusha kwa sababu mi nimuathithika wa Virus vya Ukimwi na yeye anajua. Hatimae siku moja nikafanya...
  15. Ene magari

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Uber na Bolt natafuta gari la mkataba

    Kwa jina Naitwa Ernest ni dereva Uber na Bolt mwenye uzoefu katika kazii hii nina leseni yenye madaraja yote nilikuwa natafutaa Gari ya kazi iwe yenye private namba Au commercial kwa ajili ya kazi ' Kwa mawasailiano zaidi Ernest : +255628729873 Naomba ushirikiano wenu
  16. Mwenda_Pole

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua sola, ushauri wenu please

    Waheshimiwa nahitaji kununua solar panel pamoja na vifaa vyoote Kwa ajili ya matumizi yafuatayo. 1 Kuwasha taa 10 nje na ndani ya nyumba 2 Kuwasha TV 3 . Redio 4. Kichaji Naomba msaada kwenye maeneo yafuatayo A. Ukubwa WA panel B ukubwa WA inverter B. Nyaya C.mahitaji mengine Nitafurahi kama...
  17. Natafuta Ajira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji dawa ya kupunguza nguvu za kiume

    Natafuta dawa ya kupunguza nguvu za kiume, ni hali ambayo inanisababishia changamoto kadhaa katika mahusiano yangu yote. Naweza kupiga pump non-stop mpaka masaa manne mfululizo na mashine bado inakua na hasira kama nyati aliejeluiwa ila sasa mwenzangu anakua tayari ashachoka sana sometimes...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji connection AUWSA - Kuunganishiwa Maji Taka Kwa Haraka

    Kwema Wakuu. Nahitaji Mtu wa Kunisaidia Niunganishiwe Huduma Tajwa Hapo Juu (kwa Haraka). NB: 1. Nyumba Ipo Hapa Arusha (Ya Wapangaji) 2. Mimi ni Muajiriwa Mahali na Sina Muda Wakwenda Kupanga Foleni AUWSA kufuata Procedure/s Karibu PM tuyajenge/tumalizane
  19. Isolated

    JamiiForums Tanzania Nahitaji connection

    Wakuu Habari zenu Nina mdgo wangu anahitaji kusoma kosama kozi za afya Lakini matokoe yake Ya advance pamoja na ukweli na competition... ni ngumu kutoboa tofauti na miaka ile Sisi tunasoma div2 ya 10 unapata kozi yoyote ya afya.. Dogo Kavurugwa anataka kozi za afya Nime jaribu kumshawish...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Nime-apply chuo NACTE nahitaji kujua tulio apply ni wa ngapi?

    Maana nikingia kwenye tovuti ya NACTE kuna sehemu imeandikwa applicant choose as:36 afu kwa mbele wameandika capacity 50 Sasa naomba kuuliza Hao 36 ndo idadi ya watu walio apply.. Samahan lakin kwa usumbufu
Back
Top Bottom