kwetumasoko
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 866
- 510
Wana MMU, heshima kwenu.
Nahitaji mwanamke wa kufunga nae pingu za maisha (Ndoa) mwenye kujiheshimu na kumcha Mungu. Awe na umri usiopungua miaka 40 mwenye kazi halali inayomuingizia kipato, kabila lolote na awe mkristo. Itapendeza asiwe na mtoto zaidi ya mmoja. Awe tayari kupima afya.
Umri wangu ni miaka 48, nina watoto 2 na ninafanya kazi binafsi zilizo halali.
Mwenye hitaji hilo aje PM