Nahitaji shughuli yoyote mkoani Iringa

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Mar 25, 2020
4,418
9,806
Wakazi wa Iringa mjini kwa yoyote mwenye nafasi au anajua sehemu ambayo naweza kupata nafasi ya shughuli yoyote hapa Iringa mjini kama kubeba/kupanga mizigo godown/store, kibarua shambani kwa kipindi hiki cha kilimo, cash wash, kujaza mafuta sheli, kuuza duka/stationary, uhasibu, huduma za kifedha, n.k naomba connection.

Nimesomea taaluma ya procurement and logistic management na business management nina uzoefu wa kufanya field kwenye vitengo vya procurement and supply chain, business banking na finance and accounting katika bank ya CRDB

Pia nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote. Asanteni sana
 
Back
Top Bottom