nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari la kukodi aina ya Toyota fortune new model, Toyota everest new model, Toyota Prado new model

    Tarehe 13 October 2022 nitakuwa na send off ya bint yangu. Mwenye gari la kukodisha aina hizo hapo juu na liwe rangi nyeusi tuwasiliane. Root itakuwa kutoa ukumbini (Baracuda Hall) Tabata Baracuda saa za asubuhi kwa ajili ya kupambwa gari. Baadae jioni litamfuta Kimara Korogwe (salon) na...
  2. mens12

    JamiiForums Tanzania Kila nikikutana nae kimapenzi tu basi siku inayofuata anaingia kwenye siku zake

    Habari wana jf, poleni na majukumu. Nimefikwa na jambo linalo nitatiza ikabidi niwakimbilie kupata msaada. Hivi karibuni nimepata mwanamke ambaye ameonesha upendo mkubwa na kunijali sana ila kuna kitu hakiko sawa naninahitaji ushauri au tiba hasa. Tatizo: Kila nikikutana nae kimapenzi tu basi...
  3. Chiwaso

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Min bus (COASTER) ya 26 seater ya kununua

    Za mchana wana JF, Kichwa cha habari kinajieleza. Bugget yangu ni 30mil. iwe ya namba E. Call 0759888018 for more details
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji min bus ya 26 seater ya kukodi

    Tarehe 13 October 2022 nina send off ya bint yangu, nahitaji huduma ya min bus kama vile toyota coaster, Nissan civilian nk. Root itakuwa kutoka nyumbani Tabata kwa Swai saa 11.30 jioni kwenda Tabata Baracuda holini kurudi nyumbani ni saa 6.00 usiku. Ni umbali kama km 5 hivyo go return ni...
  5. Tanteki

    JamiiForums Tanzania Nahitaji semitrailer

    Nahitaji roli la kubebea mzigo songea hadi pwani mwenye nafasj piga 0629812001
  6. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Nahitaji movie /series hizi hapa

    Location Dar!! -Haves and haves not season 4 kuendelea -Tyrant season 4 -Deep state season3 -Queen of south season4 -Condor season 3 Movie -the witch (ile ya kizungu) -Oblivion -inception (2010) Mode of payment -Exchange : Tunabadilishana series mi nakupa nilizonazo naww unanipa hizo -Nalipia...
  7. Sidee01

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi

    Jamani nahitaji msaada wa kazi yoyote ya halali, maana hali ni mbaya kwangu. Niko tayari kwa kazi yoyote, maana ntaisha kwa njaa. Nisaidieni jamani.Nipi boko Dar.
  8. bahati93

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji tiba la limbwata

    Wanaumee kamanda hapa nahitaji msaada wa haraka sana. Nahisi manzi yangu kanitengeneza kwa watalamu, hivyo nataka nitegue ambaye anajua tiba anieleze hapa. Nimeanza kuhisi kutengenezwa kwa sababu nikianza kugombana naye tuu na Mashine inaamka! Kadiri navyojaa nyembe na kuzitema kwa kufoka foka...
  9. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Nahitaji infinix smart 6 used

    Habari wakuu, mwenye simu tajwa hapo juu , nicheki kwa 0713 039 875
  10. Mr mdandavuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Iwapo itampendeza Mwenyezi Mungu, nahitaji Mke

    Mimi ni kijana mwenyewe umri wa miaka 34, muislam, natokea familia ya kawaida sana, elimu yangu ya kawaida sana, ninafanya kazi halali ya kumpendeza Allah. Nahitaji rafiki mwenye hitaji la kuwa mama wa familia. Sichagui dini, umri kuanzia 20 mpaka 32, awe mkweli mwenye hofu na Mungu. Mengine...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mtu mwenye Post Gradute ya CBE Supply Chain

    Habari wana bodi, Kama una kijana nahitaji awe na PGD ya Supply Chain preferable from CBE. Anichek PM nimpe email atume CV urgent.
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nahitaji 'Critical Thinking' katika Kulijadili Tukio Baya la Jana Kawe Maringo

    Kutokana na Unyeti wa hilo Eneo na maeneo mengi ya Kawe ambayo kwa 75% yanazungukwa na hata kukaliwa na Majeshi yetu JKT na JWTZ naomba GENTAMYCINE niwe muwazi kuwa siamini na nakataa kuwa Wahusika ni hawa Panya Road tunaowaimba kila Uchao. Inakuwaje Eneo lililotokea Tukio Baya jana liwe na...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji usafiri wa kusafirisha mizigo(vitu vya nyumbani) kutoka Magu Mwanza kwenda Morogoro

    Wakuu naomba koneksheni ya kuweza kusafirisha mizigo ya nyumbani kutoka Magu Mwanza kwenda Morogoro. So nahitaji gari ya mizigo inayopita hapa Magu kuelekea Morogoro au Dar..
  14. Chomo

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nahitaji ushauri ni friji aina ipi bora kati hii HISENSE au BRUHM

    Wakuu salaam, Nahitaji kununua friji kwa bei ya hizi zetu watu wa hali ya kawaida,sasa ktk pita zangu nimeona angalau HISENSE na BRUHM ni bora kidg kulingana na pesa niliyonayo naomba ushaur je ipi ni bora kati izo ya izo mbili hapo je zile za condeser nje yaan nyuma ya friji na zile...
  15. Tripp

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza wa kufunga naye ndoa

    Habari. Mimi ni kijana wa Kitanzania, umri wangu miaka 33, dini mkristo KKKT, naishi Dar es Salaam, nimejiajiri. Nahitaji mpenzi ambaye lengo letu kuu ni ndoa mwakani tukielewana. Vigezo vya mke wangu ni umri miaka 25-38, awe tayari kwa maisha ya ndoa, kama ana mtoto asizidi mmoja; ndio uwezo...
  16. Rurakha

    JamiiForums Tanzania Nahitaji POS ya NMB kukodi au kununua

    Habari mimi ni wakala nahitaji mwenye machine ya uwakala ya NMB aliepo dar es salaam offer ni 700k kununua na kama mtu anayo basi niko tayari anikodishe ntampa 30% ya kamisheni itakayopatikana taratibu za kisheria za makabidhiano zitazingatiwa nakaribisha pm
  17. Mwasapile

    JamiiForums Tanzania Nahitaji posters kwajili ya matangazo ya biashara

    Habari wana JF, kama kuna mtu anaweza kunitengenezea posters kwajili ya matangazo ya biashara yangu online plse nicheki kwa namba 0717217520 calls & whatsapp.
  18. KingOligarchy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji flutter App Developer

    Habari wanajamvi, Natafuta Flutter App developer wa kutengeneza 1. Main App 2. Partners app 3. Admin panel Hzo app mbili (moja ni kwa ajili ya users, yapili ni kwa ajili ya Partners , kama Uber na uber ya madereva) Design za App zote ziko tayari, Ni kuandika code TU. Maelezo mengine...
  19. Zamaulid

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Solar TV

    Habari wakubwa, kama mada inavyosema hapo juu!ninahitaji kununua television inayotumia umeme wa juu (solar TV) naomba mnisaidie kunishauri aina na siyo mbaya mkaniambia hata bei zake
  20. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Gerage proper kwajili ya kupiga rangi gari yangu

    Habari zenu ndugu zangu. kwa yeyote anaejua sehem nzuri na yenye usalama mkubwa ambapo naweza acha gari yangu kwa mda mrefu kwajili ya kufanya ukarabati wa board na kupiga rangi. Gari ni IST New Model Location: Dar Es Salaam Rangi: Silver Watsapp: 0783 242247 Board ipo sawa lkn kuna sehem...
Back
Top Bottom