nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Faw Mende tipper or Howo Mende tipper za kununua. Nahitaji unit 14 ziwe used

    Nahitaji Howo tipper mende or Faw tipper mende used za kununua naitaji pc 14 . Kama unazo naomba uje inbox
  2. Uwesutanzania

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke aliyezaliwa kati ya 1982 mpaka 1970

    Nimechoka kuwa mwenyewe, nahitaji mzee mwenzangu wa kuja kujenga na kupanga maisha. Sitaki vidada vya mjini vya hovyo maana nimechoka stress za mapenzi. Hivyo nahitaji MWANAMKE aliyezaliwa kati 1970 mpaka 1982. Aliyetayari na mimi akuje inbox au hata kama una jirani yako njoo PM uchukue namba...
  3. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Audi A4 B7

    .
  4. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kati ya hizi

    Wapendwa, Ukiwa 2mil unaweza anzisha biashara ya uwakala/miamala ya cm Na je inalipa ?? Nahitaji kufahamu faida na changamoto zake
  5. diuretic

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji vifaa vya mazoezi vya mtumba (Dumbbells)

    Wakuu habari. Nipo jijini Dar nilikuwa nahitaji dumb bells used au za mtumba au hata zile wanazotengeneza mtaani. Mpaka nakuja kuuliza humu ina maana sina pa kuanzia na naamini ntapata msaada humu. Uchumi kidogo umebana siwezi kununua vipya kwahiyo yoyote anaeweza nisaidie chimbo la dumb...
  6. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Mwenye Ipad anikodishe dakika kadhaa nahitaji ku screenshot iOS App

    Ndugu zangu mimi sio mtumiaji wa Ipad ila nina uhitaji nayo wa dakika tano tu. Nahitaji kuchukua App yangu screenshot za App Store na baada ya hapo ndio mwisho wa matumizi yangu Kama unayo basi nikodishe kwa dakika tano tu nitakupooza kidogo
  7. kekule benzene

    JamiiForums Tanzania Nahitaji fundi mzuri wa kuflash simu

    Habarini wanajamvi, nina simu BASIO KYV43 ambayo nilikuwa nahitaji kuiflash. Kwa bahati mbaya nimeenda kwa mafundi wawili wamehangaika mwisho wakashindwa. Kama kuna fundi (Dar es Salaam) anaweza kuflash simu hii basi anipm ili tufanye kazi. Pesa ipo mfuko wa shati
  8. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Nahitaji chumba cha kupanga mabibo kwa uharaka

    Habari Wakuu, Nina kijana wangu amejiunga NIT ngazi ya cheti(HR). Naomba chumba cha kupanga (single room) ndani ya kata ya mabibo au maeneo jirani. Piga 0713 039 875.
  9. urusername

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji chumba cha kupanga

    Habari zenu ndugu zangu wa jf 🖐, Mimi shida yangu kubwa iliyonileta hapa ni uhitaji wa chumba cha kuishi maeneo ya kigamboni ila kisiwe mbali sana na kivuko cha feri. Sababu iliyopelekea kuja kuomba huku ni baada ya kuhangaika bila mafanikio, ila nina uhakika wakupata chumba moja kwa moja...
  10. Jicholamwewe

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada ndugu zangu kwenye kupata Hati ya kusafiria

    Nina ndoto za kusoma nje, nilifanikiwa kupata chuo na scholarship lakini napata changamoto nimekosa passport yaani nimenyimwa sababu mzazi alishindwa kujieleza yaani alipishana kauli na Afisa uhamiaji. Sasa nimepeleka documents zote na barua ambayo nimetumiwa na chuo ili wanisaidie hata...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kukodi Malori 5 ya Kichanja

    Wanabodi, Nahitaji kukodi Malori Matano ya Kichanja (not box body, preferably Scania 113) haraka iwezekanavyo. Terms & Conditions ni kama ifuatavyo:- Malipo kwa siku ni 500k (Laki 5). Hii ni net payment wakati gharama zote za Dereva pamoja na mafuta ni juu yangu; Gari liwe katika hali nzuri...
  12. hamza mahundu

    JamiiForums Tanzania Chumba cha kupanga kinahitajika Daresalam maeneo yawe Tandika

    Bei ya chumba isizidi elf 30 kwa mwez. Ambaye anamjua dalali anitafute kwa namba hii 0656376814 Pesa ipo mfuko wa shati
  13. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwekeza kwenye Ujenzi, naomba ushauri

    Ukihitaji salamu rudi kijijini kwenu, kwangu utaambulia chuya ukalishie kuku! Wakuu nimekuja kwenu nahitaji ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kutoka kwenu,natambua ya ksmaba humu jukwaani wapo wadau ambao sekta ya ujenzi wamesomea na wanaifahamu kinagaubaga. Mimi kama mbangaizaji na mganganjaa...
  14. mjengwa

    JamiiForums Tanzania Nahitaji supplier wa hii miti

    Habari wana jamii nahitaji supplier wa hii miti ni micharaka inaitwa au mkambara nahitaji PC 8000 location bagamoyo kidomole kila PC ntalipia 3000 namba zangu 0658009530
  15. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuwekeza kwenye kilimo cha kimkakati (perennial crops)

    Kuna haya mazao hapa Almonds Macadamia Cashew nuts Palm Nimeyafanyia utafiti sana na nimeona yana potential kubwa ya kutengeneza pesa. Embu naombeni mawazo wadau. Kuna amefanikiwa kulima hayo mavitu? Nimetafiti kidogo ni mazao ambayo yanahitaji kuwa na subira mfano Almonds na Macadamia...
  16. Bexb

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtaalam wa mfumo wa kuomba kibali cha mgeni kuishi nchini Tanzania (residential permit)

    Habari ya jioni wakuu. Ninahitaji mtu/consultant mzoefu ama mtaalam wa kazi ya kuomba vibali vya mgani toka nje ya Tanzania kuishi nchini kwa njia ya mtandao. Tayari maombi ya work permit yamefanyika na yamekubaliwa lakini tumekwama kwenye residential permit pekee. Kama unaweza kutukwamua...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya shughuli au sherehe ya Engagement: Nahitaji Ushauri Wenu

    Nina mpenzi wangu ambaye natarajia kabisa kufunga naye ndoa, lakini kuna mambo ambayo naona yanakwenda kinyume na matarajio yangu. Kibinafsi, sipendi kufanya sherehe za harusi zenye gharama kubwa ambazo mara nyingine huwa ni israfu. Hata hivyo, mpenzi wangu ni mtu ambaye anathamini na kupenda...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Anahitajika kijana wa kusambaza ice cream

    Kichwa cha habari chajieleza, Anahitajika kijana mdogo na mchapakazi mwenye umri kuanzia 18-20 atakayefundishika kutengeneza bidhaa tajwa hapo juu, kisha kuzichukua na kuzipeleka eneo la mauzo. ipo mashine ya kutengenezea. Umri huu wengi hawatumii jf, lkn lengo ni kama wewe mwanajf una kijana...
  19. chichiboy1

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mchapaji wa vitabu

    Habari za majukumu wakuu, Kwa wale wenye ufahamu/uzoefu wa uchapishaji, naomba kufahamu mchapaji mzuri wa vitabu hapa Dar. Kuna kazi kubwa ya kufanya. Asante.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri kuhusu mbegu bora ya mahindi

    NI mbegu ipi ya mahindi nikiitumia naweza kupata matunda Bora? Ushauri wenu ni muhimu Sana, #Elimu ya kilimo
Back
Top Bottom