nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JOEkizyi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujifunza saikolojia

    Wakuu nahitaji kujifunza saikolojia ni wapi nianzie na vitabu gani nivisome?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Line ya Safaricom

    Kwa mwenye Line ya safaricom ambaye yupo Dar,nahitaji fasta mimi nipo Dar es Salaam ofa 10k
  3. Street brain

    JamiiForums Tanzania Nahitaji misaada wa sheria jamani

    Habari zenu wana jf,,, naombeni misaada wa mawazo na mawazo ya kisheri... Nipo katika wakati mgumu Mimi baada ya kuhitimu MBA programme naliamua kujihusisha na shughuli za biashara. Kuanza na, nlianzisha kampuni iliyoitwa Mafuru Furniture Supplies Co Ltd ambapo alikuwa mmiliki mwenye hisa zaidi...
  4. Intelligent businessman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji hard copies ya vitabu hivi

    Habari wakuu, nina hitaji hasrd copy ya vitabu vya Alex rider by Anthony Horowitz. List ya vitabu vyenyewe ni hivi. Stormbreaker (2000) Point Blanc (2001) Skeleton Key (2002) Eagle Strike (2003) Scorpia (2004) Ark Angel (2005) Snakehead (2007) Crocodile Tears (2009) Scorpia Rising (2011)...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Msaada NSSF - nahitaji kupata hela zangu

    Habarini ndugu JF. Mimi ni kijana ambaye nimemaliza mkataba kwenye shirika ambalo nilkuwa nikifanya kazi. Katika kufuatilia nilijulishwa kuwa kwa mtu mwenye elimu kama yangu "certificate" anaruhusiwa kupata pesa zake zote na sio 33.33%, Hivyo nilijaza fomu zote na kurejesha nikitarajia kwamba...
  6. Mgalula MzTz

    JamiiForums Tanzania Nahitaji laptop kwa 250,000/=

    Nahitaji laptop hp kwa bei ya 250,000/= Specs:- Core i3 Ram,8gb Hdd 300gb Battery 3hrs Note: isiwe imechoka Cont:- 0758 597106
  7. AfricaUnited

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi, baadaye mke

    Habari, Mimi ni mkazi wa Dar es salaam Umri - 33.6 Kazi - Ajira/biashara Dini - Mkristo Elimu - Masters Rangi - mweusi na mrefu kiasi Mtoto - Sina mtoto Natafuta binti Umri - 24 hadi 29 Kazi - Sio lazima Elimu - Form 4 na kuendelea Dini - Ikipendeza mkristo dhehebu lolote ila mcha Mungu sana...
  8. Bangila

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI IST 1290 cc

    Mmiliki wa gari aina ya Toyota IST mwenye shida na fedha ya haraka, namba zinazonzia DP..DQ..DR....DS...na kuendelea anicheki inbox bajeti yangu ni Tsh.8.5mil. Tafadhali madalali habari ya kuambiana fedha yangu ndogo au kukatisha tamaa tuache pembeni
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kuku wa kienyeji pure wakubwa

    Habari nina tafuta kuku wa kienyeji pure kwa ajli ya kufuga wale mbegu kubwa. Nipo Dar es salaam kwa alyenao tuwasiliane.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Howo Truck used pamoja na spare parts zote za Howo

    Jipatie Howo tipper mende, tractor na spare parts zote za Howo. Kwa bajeti ya Tsh Milioni 78 unajipatia Howo tipper mende used nzuri kabisa. Mawasiliano: 0748270719 Karibu sana
  11. C

    JamiiForums Tanzania My Gx110 produces a loud clunk sound when i shift to drive(D) and reverse-R i need solution

    I have Grand mark ii gx110 produces a loud clunk when I shift from parking to reverse and drive , I have changed all the rear bushing and CV cross joint but still the problem persist I need your help please
  12. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji connection ya kupata chumba kwenye nyumba za NHC Dar

    Hi, Kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata connection ya nyumba NHC mkoa wa Dsm, nahitaji kupanga katika hizi nyumba mda wowote kuanzia sasa. Naombeni msaada wenu please, naamini wapo wapangaji ambao wana plan ya kutoka katika hizi nyumba kwa sababu mbali mbali. Eneo langu la kazi ni Posta...
  13. Baba Uzia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua ni lazima kuoana hadi mthibitishwe kidini ndo iwe ni ndoa halali?

    Ukisoma katika biblia Mwanzo 2:24 haijalazimisha kuwa ili unganiko lenu liwe halali ni lazima ndoa ifanyike kanisani (kwa Wakristo). Kufunga ndoa kidini ni UTARATIBU WA KIBINADAMU ULIOPANGWA AU NI UTARATIBU WA "LAZIMA" WA MUNGU?
  14. Ezeki62

    JamiiForums Tanzania Engine ya Toyota inayoweza kuvaa kwenye TATA PICK-UP

    Waungwana habari zenu. Naombeni ushauri,nina gari yangu TATA XENON DICOR 3.0L. Nahitaji kuibali Engine niweke injini ya Toyota. Je niweke injini gani inaweza kuwa poa.?
  15. stan john

    JamiiForums Tanzania Nahitaji maharage ya njano kilo 100 nipo dar mabibo kwa bei ya jumla

    Hellow habari nahitaji anayeuza maharage ya jano mazuri ya jumla jumla anicheki kupitia 0788768480,ni vizuri kama hutatokea mikoa jirani kama Morogoro na Mbeya itakuwa poa sana napatikana dar es salaam
  16. Supu ya kokoto

    JamiiForums Tanzania Nahitaji shamba la kulima Mahindi Mkoani Katavi

    Wakuu salama. Nahitaji shamba la kulima mahindi mkoa wa Katavi. Linaweza kuwa pori nisafishe au shamba la mtu anayehama. Wilaya ninazohitaji Ni: Tanganyika au Mlele Shamba la karibu na mto itapendza zaidi. Angalizo: Isiwe kwenye hifadhi yoyote. Leteni offa.
  17. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mabati used yaliyoko katika hali nzuri

    Habari , nahitaji mabati used. Pc 50 nalipa cash mkononi nipo moshi mjini Mawasiliano 0672701329
  18. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mabati used yaliyoko katika hali nzuri ,,

    Habari waungwana , nipo hanitaji mabati used yaliyoko katika hali nzuri Nahitaji. Pc 50 Nipo moshi mjini Mawasiliano ni. 0672701329
  19. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kwenda Mombasa kupitia mpaka wa Sirari

    Naombeni mwongozo wakuu! Safari ni wiki ijayo. Kwa Sasa nipo Mwanza. Nitavukia mpaka wa Sirari. Naomba kufahamishwa kuhusu yafuatayo: 1. Ni muda gani mzuri kusafiri kutoka Sirari kwenda Mombasa kati ya Asubuhi, Mchana, Jioni na Usiku? 2. Kuna usafiri wa moja kwa moja kutokea Sirari hadi...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari

    Wajomba...nahitaji gari aina ya subaru forester XT nyeusi..budget ni 23M. Ntatoboa kwa hii budget hadi kuingia road?
Back
Top Bottom