nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufanya operation ya kuondoa bawasiri

    Wakuu nahitaji kufanya hiyo operation husika napata maumivu ya hatari. Ni hospital gani yenye watu makini katika Hilo suala?
  2. Kinyozi_tz

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Toyota Premio 2010

    Kama kichwa kinavyo eleza hapo yeyote anae uza gari ya aina hiyo aje pm.
  3. Webbyllon

    JamiiForums Tanzania Nahitaji wavuna mikaa na kuni tuongee biashara juu ya eneo langu

    Nina ShambaPori lenye ukubwa wa heka 100 lipo Gwata mkoa wa Pwani ambalo limejaa miti mikubwa sana hivyo natafuta maboss ambao watahitaji kuvuna mikaa na kuni tuongee biashara napatikana kwa namba 0743699500 for call/whatsapp.
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mchumba

    Jina : Albus Dini : Muislam Umri : 29 Mkoa : Mwanza Kazi : Dereva NAHITAJI MCHUMBA umri kuanzia miaka 20 mpaka 27 Sichagui dini Wala kabila Kwa aliye tayari anaweza kunipata Kwa 0753112138 Ahsante
  5. Siwamilele

    JamiiForums Tanzania Nahitaji location nzuri yenye mzunguko kwa biashara ya stationary

    Wakuu poleni na purukushani za kujitafutia mkate wa kila siku. Kwa mwenye kufahamu wapi nikifungua biashara tajwa hapo juu naweza kupata mzunguko mzuri? Tafadhari share nami location nikapambane mwenzenu, maana hapa nilipo hainilipi kabisa. Napendekeza iwe mkoa wa Morogoro au Pwani. Hata...
  6. Zikwe

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Eneo la Biashara ya Chipsi

    Habari Wana JF, Kama Kichwa Kilivyoeleza. Nahitaji Eneo la Biashara ya Chipsi Na Mgahawa Kwa Kupanga Na Ikiwezekana Tuma Na Picha Ya Eneo Lenyewe tuje tuingie Mkataba. Haya ndo Maeneo Ninayoitaji Eneo Hilo Liwepo; i) - Sinza ii) - Kinondoni iii) - Magomeni !v) - Mbezi Karibu na Magufuri...
  7. emmarki

    JamiiForums Tanzania Nahitaji iPhone XR au Xs max

    Nahitaji iPhone XR au Xs max, simu iwe clean
  8. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kukutana au kuwasiliana na Waziri Bashe

    Mimi kama Mtanzania wa kawaida, ninayo haki na wajibu wa kukutana na kiongozi wangu yeyote na kubadilishana naye mawazo ili kujenge nchi yetu kwa pamoja. Mimi nimebehetika kukaa katika biashara ya mazao na pia kulima mazao katika mikoa minne ya kanza ya Magharibi na kusini. Nimefanya export ya...
  9. Jasuma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Mke

    Naitwa Emason umri Wangu miaka 35, Elimu yangu Degree, Ajira yangu nipo serikalini, lakini pia nimewekeza katika business, situmii kilevi chochote, Mimi ni mkristo, pia nipo social sana, siyo kwamba najisifu ila najieleza uhalisia juu yangu. Natafuta mke wa kuoa, na hii imetokea baada ya Mimi...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Tank la Maji used

    Nahitaji used simtank la maji lita 10,0000 Angalizo Liwe bado zima Iwe Dodoma
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi Powerful Laptop (Mobile Workstation)?

    Nahitaji laptop powerful iwe; 1. DELL au HP 2. 15 inch screen size and above 3. Numeric keyboard 4. 11th generation and above 5. Minimum Core i7 Wapi naweza pata?
  12. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Msaada Nahitaji Display Original ya Samsung Galaxy A10

    Simu yangu ilitumbukia kwenye maji display ikaharibika niikaweka display nyingine kwa sh 70,000,display hii mpya haina ubora kama ile original iliyokuja na simu na napasuka kama kioo cha dirisha pia inastack ovyo nikitouch.Nauliza kuna anayejua wapi naweza kupata display nzuri na original ya...
  13. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Nyumba ya kununua iwe mabibo mwisho

    Kama nilivyo sema ninahitaji nyumba ya kununua mabibo ofa yangu mil 20 madalali wekeni picha msilete biashara za kufatana inbox
  14. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Nahitaji flemu ya kununua Kariakoo

    Kama nilivyo sema ninahitaji flemu ya kununua kariakoo ipo mil 10 hapa
  15. The last don

    JamiiForums Tanzania Nahitaji licenced windows 10pro na ms office 2016

    Habari wadau nahitaji licenced windows 10pro na ms office 2016 Ninatoa 100k Nicheki 0621973591. Note: Sihitaji pirated wala cracked version. Ikiwa kwenye cd yake ni bora zaidi.
  16. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kupingwa kwa hoja kwa mambo ninayo amini kuhusu watu weusi

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane. Huwezi kuniambia niendelee kuusifu Uafrika wakati kuna mambo ya kutumia tu akili ndogo tumeshindwa kuyafanya. Mfano. Taifa la Tanzania ni moja ya nchi inayopatikana kwenye hili bara la Afrika (BARA LILILOJAA NEEMA).Moja ya Rasilimali tulizonazo kama...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari used (Saloon car)

    Salaam wakuu, Nahitaji gari ndogo kwa ajili ya matumizi na mizunguko midogo midogo hapa mjini Dar es salaam. Napendelea zaidi Spacio, Premio, Allex, Runnex, Raum, Ractic na Rumion. Bajeti yangu ni TZS 6M. Tuwasilisane kupitia namba 0622078182.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji kiasi gani unatosha kufanya biashara ya kuuza vifaa (accessories) za simu?

    Wakuu habari, Mtaji wa kuuza accessories za simu kama vile. Earphones, Battery, Cover, Screen protector na Charger. Unahitaji mtaji wa shingapi yaani kianzio
  19. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa nauli za safari hizi

    Naombeni Msaada wa mabus mazuri ya luxury ya kawaida kwa routes izi na bei zake. Dar to Tanga city Tanga city to Lushoto Lushoto to Mwanza Mwanza to Dar Dar to Lindi city Lindi city to Mtwara city Mtwara city to Songea Songea to Mbeya city Mbeya city to Kigoma Kigoma to Dar. Serious answers plz...
  20. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mke aliye serious na mwenye hofu ya Mungu

    Umri wangu miaka 34. Mwajiriwa serikalini, Natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo: 1. Awe na umri kuanzia miaka 20 Hadi 30 2. Awe na Elimu kuanzia ngazi ya chuo 3. Awe mweupe au maji ya kunde 4. Awe na hofu ya Mungu 5. Awe amezaa au hajaza lakini asiwe na zaidi ya mtoto moja 6. Awe mkristo...
Back
Top Bottom