Howo Truck used pamoja na spare parts zote za Howo

William Mwita

Member
Oct 29, 2023
45
19
Jipatie Howo tipper mende, tractor na spare parts zote za Howo.

Kwa bajeti ya Tsh Milioni 78 unajipatia Howo tipper mende used nzuri kabisa.

Mawasiliano: 0748270719

Karibu sana

IMG_20231208_142011.jpg
IMG_20231208_141426_HDR.jpg
 
Weka picha za Kutosha . Maana picha umeweka za Kiwizi wizi. Yaani kama vile unaibia.
Hiyo ni sample tu kwaajili ya tangazo, ukiwa na utayari wa Kununua nakukaribisha ofisini kwetu kurasini karibia na chuo Cha diplomasia
Mawasiliano 0748270719
Karibu
 
Jukwaa hili linahusisha wateja toka: Ifwenkenya, mbawe, Sakukwa, kamsamba, Biti manyanga, mji mdogo Laela, Ipwizi, Wanzani, Makongorosi, Chunya, Patamela, Saza, mkwajuni, Mbangala, Sangambi, Lupa, mswiswi, madabaga, chimala, Buyubi, Igogo, ibologelo, Malendi, Bulyang’ombe, Lulembela, Lwamgasa, Nyarugusu , Mgusu, Ikina, Bukoli, mwendakulima, Mbulu, Nyambula, segese, Lunguya, Kakola, Lwabakanga, Nyangwale bila kusahau Igusule.
Sasa unataka wote tuje ofisini kweli.
Wewe tuwekee picha za kutosha tujipime na Biashara
 
Sawa nimekuelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom