Natafuta mpenzi, baadaye mke

Danp36

JF-Expert Member
Jul 31, 2010
2,097
920
Habari,

Mimi ni mkazi wa Dar es salaam
Umri - 33.6
Kazi - Ajira/biashara
Dini - Mkristo
Elimu - Masters
Rangi - mweusi na mrefu kiasi
Mtoto - Sina mtoto

Natafuta binti
Umri - 24 hadi 29
Kazi - Sio lazima
Elimu - Form 4 na kuendelea
Dini - Ikipendeza mkristo dhehebu lolote ila mcha Mungu sana
Rangi - Mweupe
Mwili - Asiwe mnene, awe kiasi na shepu
Mkoa - Popote Tanzania

Asiwe na mtoto wala mahusiano mengine

Nipo serious, nimepepesa sana macho na kuzunguka najaribu na huku😹

Karibu PM.
 
Habari,

Mimi ni mkazi wa Dar es salaam
Umri - 33.6
Kazi - Ajira/biashara
Dini - Mkristo
Elimu - Masters
Rangi - mweusi na mrefu kiasi
Mtoto - Sina mtoto

Natafuta binti
Umri - 24 hadi 29
Kazi - Sio lazima
Elimu - Form 4 na kuendelea
Dini - Ikipendeza mkristo dhehebu lolote ila mcha Mungu sana
Rangi - Mweupe
Mwili - Asiwe mnene, awe kiasi na shepu
Mkoa - Popote Tanzania

Asiwe na mtoto wala mahusiano mengine

Nipo serious, nimepepesa sana macho na kuzunguka najaribu na huku😹

Karibu PM.
Kila la heri mkuu....miaka 24 wanakuwa wasumbufuuuu...lakini hutulia wakipata guidance na wayoto majukumuuuii....wape watoto 3 hutuliaa kukomaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom