Nahitaji misaada wa sheria jamani

Street brain

JF-Expert Member
Oct 24, 2022
486
606
Habari zenu wana jf,,, naombeni misaada wa mawazo na mawazo ya kisheri... Nipo katika wakati mgumu
Mimi baada ya kuhitimu MBA programme naliamua kujihusisha na shughuli za biashara. Kuanza na, nlianzisha kampuni iliyoitwa Mafuru Furniture Supplies Co Ltd ambapo alikuwa mmiliki mwenye hisa zaidi akiwa na 80% ya hisa huku mke mpendwa, Aneth, akiwa na 20% iliyobaki. Mmi na mkee wang pia ni wakurugenzi wa kampuni hiyo ambayo imekuwa ikifanya kazi kwa mafanikio kwa zaidi ya miaka sita. Siku moja, mke wangu alipokuwa akitumia simu ya yangue, aligundua kwamba nikuwa nikishiriki katika uhusiano wa nje ya ndoa na mwanamke aliyeitwa Chaurembo. Alifanikiwa kuomba talaka katika Mahakama.

Je, aneth anaweza kuomba Mahakama ivunje kampuni kwa kuwa yeye si tena mpenda hisa katika kampuni hiyo?
Taratibu za kufuata ili kampuni ivunjwe kwa hiari.
Kama hakuna kuvunjwa kwa kampuni je siku tukifariki, je, kampuni inaweza kuendelea kubaki na kufanya kazi?
Naomba mswada wenu wakuu nipo katika wakati mgumu sasa
 
Soma tena ulichoandika!! Au ndo la after boxing day??
 
Hii japo inaonekana kama ni assignment (siyo mbaya), ila nitajibu kwa uelewa wangu.

Kampuni ina katiba yake (MEMART-Memorandum and Articles of Association) ambayo inaeleza, ni kwa namna gani mali itakuwa iwapo mmeachana.

Na kwa kuwa hii ni kampuni ya familia, yaani mke na mume, maana yake ni mali ya ndoa.

Kwa kuwa Katiba ya Kampuni inatambua kwamba mke ana share 20% huku mume ana 80% basi itakuwa imeirahisishia Mahakama katika kufanya mgawanyo wa mali kwa mujibu wa matakwa ya Sheria ya Ndoa.

Sasa je, kampuni itavunjwa ili kugawana mali?

Hapa inategemeana na huyo mwanamke aliyeomba talaka iwapo anataka kuendelea na kampuni au la.

Kama hataki basi option inaweza ikawa kwamba ziuzwe hisa zake na apewe chake.

Hisa (shares) anaweza akaziuza kwa mumewe au mtu mwingine.

NB: kumbuka hili suala linahusisha Sheria ya Ndoa ya 1973 na Sheria ya Makampuni, na hizo MEMARTS hivyo kama ni assignment, basi hakikisha unapitia humo na pia soma case laws za Tanzania na case toka Mahakama za nchi za Jumuia ya Madola.

Asante!
 
Assignment nishaziacha kitambo wakuu,
Kwanza nashukuru kwa msaada waki
 
Habari zenu wana jf,,, naombeni misaada wa mawazo na mawazo ya kisheri... Nipo katika wakati mgumu
Mimi baada ya kuhitimu MBA programme naliamua kujihusisha na shughuli za biashara. Kuanza na, nlianzisha kampuni iliyoitwa Mafuru Furniture Supplies Co Ltd ambapo alikuwa mmiliki mwenye hisa zaidi akiwa na 80% ya hisa huku mke mpendwa, Aneth, akiwa na 20% iliyobaki. Mmi na mkee wang pia ni wakurugenzi wa kampuni hiyo ambayo imekuwa ikifanya kazi kwa mafanikio kwa zaidi ya miaka sita. Siku moja, mke wangu alipokuwa akitumia simu ya yangue, aligundua kwamba nikuwa nikishiriki katika uhusiano wa nje ya ndoa na mwanamke aliyeitwa Chaurembo. Alifanikiwa kuomba talaka katika Mahakama.

Je, aneth anaweza kuomba Mahakama ivunje kampuni kwa kuwa yeye si tena mpenda hisa katika kampuni hiyo?
Taratibu za kufuata ili kampuni ivunjwe kwa hiari.
Kama hakuna kuvunjwa kwa kampuni je siku tukifariki, je, kampuni inaweza kuendelea kubaki na kufanya kazi?
Naomba mswada wenu wakuu nipo katika wakati mgumu sasa
kitu Cha kwanza unachopaswa kujua. Kampuni ni separate entity from its owners. Hivyo swala la wao kuwa wanandoa na kuwa na share haviingiliani kabisa na kampuni.

Ikiwa ndo imevunjika sio sababu ya kuvunja kampuni kwa hiari. Kuvunja kampuni kwa hiari kunasababu zake Mfano. Kampuni kufilisika(yaani kampuni kushindwa kulipa madeni nk.)

issue ya kuachana haiathiri kampuni. Ukitaka kuvunja kampuni utaratibu upo. Nakuhusu kugawana hapo share zilishagawanywa kwahio hakuna chakugawa.

ukiwa na share kwenye kampuni huo ndio umiliki wako wa kampuni na unathibitishwa na CHETI Cha umiliki wa hisa.

Kwahio Hilo swala haliingiliani kabisa na kampuni
 
Well Explained
 
Back
Top Bottom