nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Anayejua nafasi special zinazotolewa na jeshi je, Ni kwel zipo na kama zipo zinatolewa kwa mfumo gani?

    Msaada tafadhali kwa anayejua zaidi kuhusu nafasi special zinazotolewa na jeshi je? Ni kweli zipo na kama zipo zinatolewa kwa mfumo gani?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Vyuo Gani Bora vya ufundi vya private? VETA kupata nafasi ni shida

    Wadau naomba mnijuze vyuo vya ufundi vya private vilivyobora sana hapa Tanzania vilivyo SAWA na VETA au zaidi
  3. J

    JamiiForums Tanzania Aweso afanya mabadiliko ya watendaji maji Rufiji, amuondoa kwenye nafasi yake Mkurugenzi Utete

    AWESO AFANYA MABADILIKO YA WATENDAJI MAJI RUFIJI, AMUONDOA KWENYE NAFASI YAKE MKURUGENZI UTETE. Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefanya mabadiliko ya Kiuongozi katika Mamlaka ya Maji Utete kwa kumuondoa kwenye nafasi yake Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo bwana Christopher Mwigune akiwa wilayani...
  4. Mla Bata

    JamiiForums Tanzania Nafasi na mchango wa watu maarufu katika maandamano ya leo tarehe 24 Januari

    Wasalaam, Kwanza nianze kwa kuwapongeza chama cha demokrasia na maendelea (CHADEMA) kwa uthubutu wao wa kuanzisha na kuratibu maandamano haya ya amani kama njia ya kufikisha ujumbe wao kwa serikali tawala na hata jamii ya kimataifa. Kwa upekee sana nipende kuisifu serikali tawala na vyombo vya...
  5. dr namugari

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

    Kwa mujibu wa mkuu wa majeshi Gen Jacob John Mkunda amemueleza Rais kuwa Kuna wakimbizi wapo Hadi Serikalini na wamepewa nafsi za juu kabisa za kimaamuzi Hili inashangza na kufikirisha Sana inakuwaje Hadi mkuu wa majeshi anawajua wakimbizi na wameteuliwa na wala hajawasiliana na mamlaka za...
  6. ChawaWaMama

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi kashafeli nafasi ya Katibu Mkuu CCM

    GTs, Kwa maoni ya watanzania walio wengi, Dkt Nchimbi hatoshi kwenye nafasi ya KM wa CCM. Hii inatokana na kuendesha siasa za miaka ya 1990s na za 2000s ambazo zililenga kulinda kundi la watawala badala ya wananchi. Ukimsikiliza kwa makini utagundua kimawazo Dkt. Nchimbi hayupo miaka hii ya...
  7. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Luhaga Mpina nakuombea 2025 upate nafasi ya kugombea urais kupitia CCM

    Kati ya kundi zima la wana CCM mafisadi wa kizazi hiki ni wewe tu angalau umejitanabaisha kuwa MZALENDO WA KWELI, na unaehumizwa kwa wizi na ubadhirifu uliotamalaki katika awamu hii ya sita (IBA KWA UREFU WA KAMBA YAKO) Mama Samia ni rais wa mpito Tanzania kwa sababu kama nchi tulipatwa na...
  8. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: 2024 na 2025 tutakupima kwa kazi; sio kwa maneno, sio kwa kugawa kanga kipindi cha uchaguzi

    Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda, leo January 19,2024 ameanza ziara yake kwa kuongea na Wakazi wa Tegeta Jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amesema Wabunge, Wawakilishi na Madiwani watapimwa kwa kazi wanazofanya na sio kwa maneno au kujipendekeza kwa...
  9. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa kuwa CHADEMA ndio chama kikuu, nashauri kampeni zake ziwe kama za Kiinjilisiti

    Mimi nikiwa namba moja wa kujitolea kufanya kampeni hizo za kiinjilisiti, ambapo zitakuwa za nyumba hadi nyumba, mtu hadi mtu Kampeni aina hiii huvuna wanachama kwa wingi, na uhakika wa kuwafikia wananchi wengi na kwa haraka zaidi, CCM anachapika vizuri mno na chepesi zaidi, ukweli ni kwamba...
  10. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuseme ukweli: Rais Samia akiruhusu mchujo kwenye nafasi yake atabaki?

    Rais Samia, amekitaka chama chake kuweka mchujo kwa wawakilishi ili ambao wamekuwa hawafanyi vizuri kwa wananchi, wapigwe chini. Kwenye hili nampongeza sana, hii itawafanya wabunge wetu wafanye kile wananchi wamewatuma huko bungeni. Hata hivyo, shida yangu ni moja, kutokana na hoja hiyo hiyo...
  11. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Mwanangu Makonda, umeichoka na kuikinai nafasi yako chamani?

    Jana nilikusikia na kukusikitikia sana. Jinsi unavyojikaanga kwa mafuta yako mwenyewe. Jinsi unavyoonesha kuchoka na kukinai nafasi uliyonayo kwasasa chamani. Pale ulipozungumzia kuhusu mdahalo na viongozi wa CHADEMA. Ngoja nikusaidie kwakuwa nilikuwa kiongozi mwandamizi chamani kabla yako...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Gervais Milton kuchukua Nafasi ya Chongolo CCM

    Gervais Milton anatarajiwa kutangazwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM kuchukua nafasi ya Chongolo. Pamoja na exposure yake akiwa mwana Diaspora bado hana nguvu nje ya mfumo wa siasa. Nguvu kubwa aliyonayo ni utaalam wa masuala ya utawala, lobbying, negotiations na mikakati. Pamoja na umahiri wake bado...
  13. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Ukipata nafasi ya kufurahia maisha usiichezee

    Pamoja na pilikapilika za utafutaji wa pesa ni muhimu ku enjoy life kila upatapo nafasi, siyo kila siku busy busy, Nimebahatika kufanya kazi na wazungu, wao muda wa kazi ni kazi inapigwa kwelikweli, lakini ikifika ijumaa jioni ni bata hadi jumapili, jumatatu kazi kama kawaida, kwa mtazamo wangu...
  14. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Sadaka ya kweli ni ipi?

    SADAKA YA KWELI NI IPI? Mtoto mmoja alikuwa amesimama, bila viatu, mbele ya duka la viatu akitetemeka kwa baridi. Mwanamke mmoja alikuja na kusema: "Rafiki yangu, unatafuta nini hapa au umependezwa na dirisha la dukahilo?" Akajibu, "Nimekuja hapa kumuomba Mungu anipe jozi ya viatu." Mwanamke...
  15. Brightly

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi za kazi TAA la Tarehe 01/09/2023

    Habarii wanaJF, Ni takribanii miezi minne imepita tangia Tanzania airports authority (TAA) watoe tangazo la nafasi za kazi tarehe 1/09/2023 ajira za mkataba kwenye kada mbalimbali. Lakini mpaka ninapoandika Uzi hapa hakuna taarifa yeyote kama watu waliishaitwa kwenye usailii au wapo kazini...
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania vijana msome mjaribu bahati ya ajira, mjiajiajiri / biashara, kuwa msanii au mwamichezo ni kundi halizidi watu elf 1 nchi nzima waliofanikiwa.

    >> MOVED <<
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema "ikimaliza" mambo ya Mdee na wenzake ikawapa nafasi wagombee, naliona jimbo la Kawe na Bunda yakirudi Chadema kwa kishindo kitakatifu

    Ni dhahiri kwamba miamba hawa wa kisiasa bado wana nguvu kubwa sana ambayo ni vigumu kuimaliza kwa siasa uchwara. Chadema wakiamua kutumia busara na kufanya siasa badala ta kukomoana, naliona jimbo la Bunda na Kawe yakitikisa uchaguzi wa 2025. Endapo Chadema itawasimamisha, hakika italeta...
  18. Jozedan56009

    JamiiForums Tanzania Nafasi za sales & closer (5)

    Habari Watu 5 wanaitajika kwa ajili ya kazi ya sales na ku close deals Location: Mbezi , Dar Es Salaam Namba: 0763497384
  19. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Language body ya mawaziri wengi, wanapenda nafasi walizopo, ila hawamtaki kiongozi wao!

    Hiyo lugha itadhihirika zaidi nyakati za uchaguzi 2025 Rais anao mawaziri wengi, ila kati ya hao, wengi hawamtaki ila kwa sababu ya desturina mila zetu za kiafrika, mtu hutakiwi kumpinga mkubwa wako hadharani, unachoruhusiwa ubakie na chuki zako moyoni Mh Rais, anasukuma gurudumu lenye...
  20. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Uhamiaji

    Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi za Ajira Mpya za Askari wa Uhamiaji kwa Vijana wa Kitanzania wenye sifa zifuatazo:- 1. SIFA ZA MWOMBAJI i. Awe ni raia wa Tanzania; ii. Awe...
Back
Top Bottom