Natafuta ajira ya uingizaji wa taarifa (data clerk) na ukusanyaji wa taarifa (data collection)

minh

Member
Dec 12, 2023
5
1
Habari wanajamii, naombeni connection za upatikanaji wa ajira za data clerk, data collection na zingine zinaxohusiana na maswala ya data. Ninauzoefu wa matumizi ya komputer na elimu ya diploma ya project management.

Asanteni
 
Back
Top Bottom