Rais Samia nakuomba umuondoe Mzee Kikwete kwenye nafasi ya Chancellor wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

badison

JF-Expert Member
May 29, 2015
1,450
2,702
Sio kwa ubaya wala chuki na Rais Mstaafu Kikwete hapana mimi nakupenda na heshima yako ipo pale pale. Lakini Mkuu naomba uachie hiyo nafasi kwani wewe sio mtu sahihi kushika cheo kama hicho.

Toka umeteuliwa hiyo nafasi mkuu kila mtu alijua kuwa UDSM inaenda kufa na kweli chuo chetu pendwa ndiyo basi tena umekiua. Baadhi wanajua wewe ni recruiter hapo UDSM na hiyo nafasi upo nayo very strategic.

Mimi nilijua wewe na vice chancellor wako mgeachia madaraka baada ya ile video ya mwanafunzi kufanyiwa black mail na kumuonyesha akijiekeza chupa lakini hamkujali kwasababu hamna moral authority yoyote.

Mama Samia tafadhali sana mpangie Mheshimiwa Kikwete majukumu mengine naomba sana na hapo UDSM wawekwe watu ambao ni EDUCARE and EDUCERE. Tazama mwanafunzi bora amechaguliwa msanii mpiga kinanda? What a shame;

Jenerali Ulimwengu amezungumza kwa uchungu sana sema kwa nafasi yake hawezi kusema tatizo ni Kikwete hapo chuoni. Ni bora Mheshimiwa Rais ikikufaa uondoe siasa na elimu ya juu kwani vyuoni tunazalisha wajinga na wazinzi tuu tazama watoto wa filed makazini hawajui kitu.

Au ni kweli mnaanda watoto wenu wawe watawala na watoto wetu wawe watumwa? Chuo cha UDSM kimekuwa extended high school hakuna cha maana pale zaidi ya mavazi ya kipumbavu na kuzunguka zunguka changanyikeni na savey pamoja na mlimani city.

Tunaomba utuwekee watu ambao ni serious tena watu wakawaida tuu ambao sio OCCULTISTS.
 
naomba ueleze kwa ushahidi ubaya wa jakaya hapo chuoni ni upi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unayemuomba tunapaswa kumkataa 2025 kwa sababu ndiye chanzo cha haya yote
 
Chancellor hana mamlaka ya kiuetendaji isipokuwa ni kazi ya Vice Chancellors.

Chancellor hana kazi nyingine zaidi ya kuongoza vikao na kutunuku vyeti.

Ni kama umlaumu Rais wa Israel kwa matendo ya Serikali ya nchi hiyo badala ya Waziri Mkuu.
 
Kile alichobaini na kukisema MH TWAHA JENERALI ULIMWENGU ni kitu kinachopaswa KILIHAMSHE TAIFA kama kauli ile itapita kimya basi tujue tumekwisha.

Maneno aliyoyasema Mwamba huyu katika UANDISHI wa habari ni maneno mazito yenye kuturudisha kwenye kumbukumbu nyingi za kujivunia UZALISHAJI wa vijana wengi WASOMI wenye maono makubwa kwa Taifa Lao

Je, hivi sasa tuko hivyo? TUNARIDHIKA na hali hiyo. Iko wapi ile MIDAHALO iliyokuwa ikiitishwa pale na kualika wahusika mbalimbali KUELIMISHA na kujibu HOJA.

NAKUMBUKA umaarufu mkubwa wa Marehemu MTIKILA naye alianzia pale baada ya kujenga hoja na kujibu maswali WANAFUNZI walimshangilia na kumbeba juu, juu wiki iliyofuata alikuwa pale JANGWANI wananchi wakajiuliza huyu ni nani, mpaka wanafunzi watata na wasomi wamekubali hoja zake kiasi cha kumbeba juu juu, akiwa JANGWANI aliwasha moto mkali neno GABACHOLI likazaliwa.

Marehemu DR JOHN POMBE MAGUFULI akiwa waziri katika serikali ya awamu ya 3, alipita pale chuoni na kukuta MDAHALO serikali ikiwa inashambuliwa na muendesha mdahalo akauliza kama kuna kiongozi wa serikali kwenye ule UKUMBI.

RIP MAGUFULI hakuwa mualikwa ukumbi ulikuwa umejaa, yy kasimama anachungulia kama wanafunzi wengine lkn DIRA ikamuulika na kumpeleka mbele ya UKUMBI na kujibu HOJA.

RIP MAGUFULI alijibu kila HOJA kwa ufasaha mkubwa mpaka wanafunzi walimshangilia mno, mwisho wakatamka wao waliamini WANASIASA ni waongowaongo lkn kumbe wana vitu vikubwa kwa maendeleo ya nchi.

Hiyo ni mifano midogo ya kutaka TUFUFUE chuo chetu, kiwe moto WATU TUNAO, CHUO KIPO, WANAFUNZI WAPO !!
 
wasomi wetu wa siku hizi haswa UD wengi wao ni mbumbuu ndio maana wanafeli sana mitihani, wengi wao wanatafuta digirii za kuchapa uhuni...........na ukahaba. Hakuna wasomi pale ovyo kabisa
 
Back
Top Bottom