Tangazo la nafasi ya kazi Mhasibu Msaidizi (1)

EITCB

New Member
Oct 9, 2020
2
0
SIFA

1. Awe mkazi wa Dar es Salaam,
2. Awe na stashahada ya fani ya uhasibu,
3. Awe na uzoefu wa kufanya kazi katika kampuni binafsi kwa angalau miaka 2,
4. Awe kijana wa kiume (Nafahii hii ni kwa kijana wa kiume pekee)


Naomba tutumie CV yako kwa baruapepe; eitcbengineering@gmail.com kabla ya tarehe 20 December 2023.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom