mzazi

Sibabalwe Gladwin Mzazi (born 28 August 1988) is a South African athlete competing in the long-distance running events. He competed at five consecutive Summer Universiades winning gold medals in 2009 and 2013.

View More On Wikipedia.org
  1. Stroke

    JamiiForums Tanzania Nimegeuka adui wa mzazi dhidi ya wanangu

    Wakuu sijui ni upendo ama nini maana wazazi wananigeukia balaa. Mfano ; Mwanangu akikosea nikimuadhibu mzazi wangu anakua mkali mno ananishambulia mpaka naona aibu, Nifanyaje maana watoto ni wangu ila wazazi wangu wamewamiliki.
  2. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Mzazi kumchagulia mtoto wako aoe/kuolewa na nani ni ushamba

    Sio Kila mzazi ni Mungu wako wa Duniani wengine wanaongozwa kwa sera na itikadi za kishamba sana, kwa upande wangu na ninayoyaona naenda kupotea nyumbani kwa miaka ya kutosha na kurudi huko sidhani. Fikiria umempata mchumba umekaa nae miaka ya kutosha kuanzia minne, hajawai kukuletea shida Wala...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Malezi bora anayotakiwa kupata mtoto kutoka kwa mlezi aw mzazi wakee...

    Habari wna jf naomb tupitie hii nakala fupi itatusaidia mahali🙏🤝 Ni vizur mtoto kupata mda mzur wa kupata malezi mema kutoka kwa wazazi aw walezi wake kabla dunia haijamfunza kip cha kufanya Maan walezi aw wazazi ndio waalimu wakwanza kuwafundisha watot mambo mema na maadili mazuri na ata...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Moto kichakani: Kama mtoto hajafanana na wewe au mzazi wako, kaka huyo mtoto umebambikwa.

    Sina muda wa kupoteza, natupa kiberiti kichakani. Wa kuungua aungue wa kujisalimisha ajisalimishe. Mungu alijua kabisa kuwa wanaume ni watu watata na wenye utawala ndani yao. Hivyo anahakikisha kila mtoto anayetaka kiunoni mwa mwanaume lazima afanane naye, lazima. Bila kujali jinsia ya mtoto...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kasumba ya kuna uchungu wa mzazi kwa mtoto aliyemzaa haina ukweli

    KASUMBA YA KUNA UCHUNGU WA MZAZI KWA MTOTO ALIYEMZAA HAINA UKWELI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mada hii inaweza ikawa Tata. Pengine ikazua mfuragano wa kutoleana hoja. Ni vizuri kila mmoja atoe hoja zake Kwa utulivu kutetea upande wake. Kuna dhana au tuseme Kasumba iliyoenea Duniani...
  6. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Je, Mahakama ya mwanzo inatoa afidavit ya mzazi?

    Nilikuwa nafuatilia passport nikaambiwa niandae Cheti Cha kuzaliwa Cha mzazi au kiapo/ afidavit. Naomba kufahamu namna ya kupata afidavit. Je, inawezekana kuipata katika Mahakama ya mwanzo? Natanguliza shukrani.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mzazi peleka jicho lako hapa: Watoto wa kiume na unyanyasaji wa kijinsia kutoka kwa wasichana wa kazi

    Wakuu, Watoto ni moja ya kundi ambalo linapitia sana unyanyasaji wa kijinsia hasa kwa kuwa hawawezi kujitetea kutokana na udogo wao. Kwenye upande huu majumbani, wazazi/walezi huwa macho hasa wakiwa na mfanyakazi wa kiume, mfanyakazi akiwa wakike kunakuwa na ka uaminifu kuwa hawezi kuwafanyia...
  8. Ms Billionaire

    JamiiForums Tanzania Haki ya mtoto nje ya ndoa kurithi mali

    Historia ya Nafasi ya Mtoto wa nje ya Ndoa katika Mirathi Katika masuala ya mirathi jambo mojawapo ambalo limekuwepo katika jamii na limeibua changamoto kubwa ni nafasi ya mtoto wa nje ya ndoa kurithi mali ya mzazi wake. Suala hili limeibua migogoro ya kila aina kwenye familia mara baada ya...
  9. Mdigokhan

    JamiiForums Tanzania Anampenda baba yake mzazi kimapenzi mpaka anamuonea wivu mama yake!

    Kuna mwanamke fulani nilimkuta baa fulani analewa nikaona acha nijisogeze, kweli nikafanikiwa kukaa naye hakuniringi. Alikuwa analewa huku analia nikamuuliza Mbona unalia akagoma kuniambia ila baada ya kumbembeleza ili anijuze Sababu za Yeye kulia akaniambia ataniambia. Muda ulikwenda na...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kucheza mpira kuna uhakika zaidi kuliko kuimba Bongo Flava. Ewe kijana ama mzazi mwenye kijana, Mpira Ruksa ila Bongo Flava iwe burudani tu

    Ni ushauri kwa vijana na wazazi wenye vijana ambao wanataka kuingia kwenye haya mambo, Kwa nchi yetu tuwaase zaidi vijana wanaotaka kucheza mpira kuna chance nzuri ya kufanikiwa ila hawa wanaotaka kuimba watafute shughuli zingine, mziki waufanye kwa burudani tu maana chance yake ni ndogo sana...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Director wa RayVanny atuhumiwa ‘kumuiba’ mtoto wake na kutokomea naye, mzazi mwenzake abaki analia

    Mpigapicha na Muongozaji Video (Director) wa Msanii Rayvanny anayefahamika kwa jina la Eric Mzava anatuhumiwa kuiba mtoto wake na kutokomea naye huku akimuacha mzazi wenzake akihaha kumtafuta. Akisimulia stori hiyo, mama wa mtoto ambaye ndiye mzazi mwenza wa Mzava anasema: “Mzava ni mzazi...
  12. Ebejo

    JamiiForums Tanzania Je, ni kiwango gani sahihi cha fedha kumpatia mzazi mwenzako kwa ajiri ya malezi ya mtoto?

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33, pia ni kijana ninayezidi kupamba kukumbizana na umasikini, Nahitaji ushauri maana mimi mwaka jana nilibahatika kupata mtoto japo haikua malengo yangu kwani mama wa mtoto tulikutana naye kwa mara ya kwanza kwenye tamasha la sabasaba nikiwa na ni rafiki...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tutakuheshimu Mzazi kwa yaliyo Mema na sio Mambo ya kishenzi na kidhalimu

    TUTAKUHESHIMU MZAZI KWA YALIYO MEMA NA SIO MAMBO YA KISHENZI NA KIDHALIMU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Angalizo: Lugha itakayotumika inaweza kuwa Kali. Hivyo kama sio Mpenzi wa Lugha Kali, na unahitaji Roho yako iwe na utulivu nakuomba usisome, uishie hapahapa. Kukaidi, madhara yoyote...
  14. Fabian Vitus

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha mzazi kukulazimisha uwahi kuoa husababishwa na nini wana jukwaa tusaidiane hapa?!

    Hali sio nzuri ni Mwaka sasa tangu nimevunja mahusiano kutokana na sababu za kutokua na amani katka mahusiano. Leo tangu Mwaka ulivyoanza hata kabla mzazi wangu wa kike amekua akiforce niweze kuchukua mwanamke nakuweka ndani nikajua au kwakua yupo kizamani zaidi pamoja nakumwelewesha yote hayo...
  15. mshamba_hachekwi

    JamiiForums Tanzania Nahisi kama napoteza mahusiano na mzazi

    Nimekua nikipata changamoto kwenye mahusiano na mzazi, kuna kuwa hamna maelewano kati yetu, tunagombana sana, hatuwezi kukaa sehemu moja tukazungumza usitokee ugomvi kati yetu. Kinachonishangaza zaidi, nikijaribu kuangalia sababu sielewi, hii hali imekua ikiendelea kwa muda mrefu sasa na inanipa...
  16. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Wajibu wa mzazi ni kukulea, na kukusomesha mengine ni yako

    Kijana, shtuka! Apaswayo kuyafanya mzazi wako anapokuzaa ni mambo mawili pekee, nayo ni; kukulea ( ki-maadili), kuhakikisha unapata chakula ( kwa umri komo) na kuhakikisha unapata elimu ( kama una akili hiyo). Vinginevyo, mali za baba yako siyo zako. Na, anaweza kutokukupa urithi akiamua na...
  17. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Wanawake jifunzeni kuwatunza na kuwaheshimu wafanyakazi wenu wa ndani yasije kuwatokea haya anayopitia mzazi mwenzangu

    Ni dhahiri kuna baadhi ya watu hata ukiwastili vipi au kuwaheshimu vipi au kuwasaidia vipi ipo siku watukufanyia ubaya tu bila sababu ya msingi. Lakini hilo lisiwe ndio chachu ya kuwatendea wengine mabaya, ni bora uwe neutral (mtu wa haki sio mtu wa favors) kuliko kuwa negative. Hii ni kwa...
  18. political monger senior

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya soka la Afrika: Guélor Kanga kukutana na kamati ya nidhau kuhusu sakata la umri wake

    Mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon Guélor Kanga Kaku atakutana na kamati ya nidhamu ya CAF kueleza kwa nini mama yake alifariki mwaka 1986 lakini yeye alizaliwa 1990. [emoji20]
  19. Urban Edmund

    JamiiForums Tanzania Ombi la mtoto kwa baba yake mzazi (SHAIRI)

    watoto (wanafunzi) wanaendelea na story zao za hapa na pale huku wanasimuliana jinsi siku ilivyokuwa nzuri shuleni. watoto hao wanaagana na kila mmoja anaenda nyumbani kwake, Huyu mmoja anakaribia kwake na anamkuta baba ake akiwa ana furaha sana. baba anamuita mtoto wake na kumuambia jinsi...
  20. James Hadley Chase

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwana JamiiForums mwenzetu Kanungila Karim amefiwa na baba yake mzazi

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu mwenzetu, rafiki, Kanungila Karim amefiwa na baba yake mzazi! Msiba upo Morogoro, Kilombero. Binafsi nachukua nafasi hii kumpa pole sana sana, Mwenyezi MUNGU akawape subra na wepesi katika kipindi...
Back
Top Bottom