mzazi

Sibabalwe Gladwin Mzazi (born 28 August 1988) is a South African athlete competing in the long-distance running events. He competed at five consecutive Summer Universiades winning gold medals in 2009 and 2013.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mzazi unapaswa kutambua dalili kama Mtoto wako ana Tatizo la Afya ya Akili

    Mtoto mwenye tatizo la #AfyaYaAkili anaweza kuwa na changamoto mbalimbali zinazomfanya awe na Tabia zisizo za kawaida au hali ya kutokuelewana na wengine katika jamii yake. Baadhi ya matatizo ya Afya ya Akili yanayoweza kuathiri Watoto ni pamoja na kuvurugika Kihisia kama vile kuongezeka kwa...
  2. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Mzazi mpumbavu huaribu familia yake kwa mkono mwenyewe

    Leo nimeona thread nyingi watu wakilalamika dada zetu kuzalishwa nyumbani na kutelekezwa ukweli ni kuwa wengi wao wazazi wao au walezi hawakusimama imara katika majukumu yao
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Baba mzazi wa Mchekeshaji Hakika Ruben adai amekata tamaa na mwanaye, asema Dunia ndio itamfunza

    Baada ya taarifa kuibuka mitandaoni na kusambaa kwa kasi zikimhusisha mchekeshaji Hakika Reuben kuwa anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja, kuna mengi kadhaa yameendelea kuzungumzwa na kuacha maswali mengi. Licha ya kuwa Hakika mwenyewe hajatoka hadharani na kutoa ufafanuzi rasmi kuna mambo...
  4. Zingzingzing

    JamiiForums Tanzania Nina mahusiano na mwanamke fulani, lakini kauli hii aliyoitoa mzazi wangu inanipa wasiwasi kwenda kumtambulisha

    Habari za usiku wana JF, Niende kwenye mada moja kwa moja, nikuwa ninamwanamke ambaye nampnda sana, na bila shaka nataman nianze nae maisha kama mungu akijalia. Huyu mwanamke amewai kuzaa miaka 5 iliyopita, anamtoto, alizaa akiwa na 17 yrs, japo hawasiliani na baba wa mtoto na waligombana...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mama mzazi wa Feisal aitaka TFF itende haki

    Akihojiwa na chombo kimoja cha habari Mama mzazi wa Mchezaji Feisal Salum Fei Toto amelitaka shirikisho la Mpira wa Miguu kutenda haki hapo kesho.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mtoto wako ni mke na mume wa mtu ajae, mlee vyema kuokoa ndoa yake

    Mzazi tambua huyo mtoto wako ni mke na mtu ajae. Wazazi wanaishi na watoto mda mfupi kuliko mda ambao mtoto ataishi pekee yake, ikiwemo kumaliza muda wake kwenye ndoa yake. Kwa miaka ya kibiblia kuishi ni miaka 70,80 kwa Neema ni zaidi ya hapo. Watu uingia kwenye ndoa kuanzia miaka 23 sababu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini kama Mzazi wa Kiume ukimkanya Binti yako Maneno ya Kisela anakutii, ila ukimkanya Kiustaarabu anakupuuza?

    Tokea nimkanye Binti yangu kwa Maneno ya Kisela ( Kimjini Mjini ) kama haya yafuatayo amebadilika, ananiogopa na ananitii ile mbaya. "Oya si unajiona umeshakua sawa Viziwa vimejitokeza na Makalio yako Kuvimba kama Maandazi ya Azam? Sasa Wewe neng'eneka tu hovyo na Wanaume Wakulale mpaka hizo...
  8. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Mzazi zungumza na mwanao kila mara, dunia imeharibika hii

    Wakuu, nimewaza sana kuhusu malezi ya watoto leo. Wazazi tunapaswa kujua mabadiliko ya tabia za watoto yanategemea zaidi ukaribu walionao kwa Mzazi au Mlezi wao na kwa kiasi gani Wazazi wanazungumza kuhusu makuzi, fursa, hatari zilizo mbele yao na jinsi ya kuzikabili au kuziepuka. Watoto wengi...
  9. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Nani anatakiwa kulipa mahari? Aneyeoa au mzazi wake?

    Hellow, Hivi karibuni kumezuka mzozo mkubwa sana katika familia, chanzo kaka yetu anataka kuoa lakini mahari anasema mzazi wetu ndio atoe, kisa huyo mchumba wake amemuambia kuwa mahari yako kisheria anatakiwa atoe mzazi wako na sio wewe. Na yeye bila kujiongeza kashupalia kweli kuwa yeye...
  10. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Hamna kitu kibaya Kama harufu ya bahari, mzazi shtuka

    Upepo unaotoka baharini pamoja na harufu yake ni kitu kibaya kuliko vyote kwa watoto wadogo hasa wanafunzi. Mzazi unashauriwa kumsogeza Mtoto wako mbali kidogo na bahari ili kuuwezesha ubongo wake kudevelop. Ogopa mikoa ifuatayo Dar Pwani Lindi Mtwara Tanga Zanzibar Na mikoa ya jirani na hiyo.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mzazi usibomoe ndoa ya mwanao

    Unakuta mzazi anamlea vibaya mtoto kisha mtoto wake anaenda leta maumivu kwenye maisha ya mwenzake. Mtoto yeyote siyo wa kwako mzazi, huyo ni mke au mume wa mtu mtarajiwa, unapomlea vibaya unaharibu ndoa yake. Hata kama wewe ni single mama huo usingle ni wa kwako siyo wake, mlee ipasavyo...
  12. Lyrics Master

    JamiiForums Tanzania Feisal Salum Feitoto amekosa mzazi

    Mbwana Samatta amekulia katika viunga vya Mbagala huko ndiko kuliko mtambulishan katika uga wa kandanda. Historia ya huyu mchezaji haikuwa rahisi kutoboa hadi kufikia hapo alipofikia. Kuna kipindi alikuwa anakosa hata sh. 200 ya nauli ya kumpeleka mazoezi. Waliokuwa karibu yake walimsaidia pesa...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo mzazi au mlezi anatakiwa kuzingatia pindi mtoto akiwa likizo

    Kipindi hiki watoto wamerudi nyumbani au kutokwenda shule kutokana na uwepo wa likizo, ni vizuri wazazi kuzingatia haya: 1. Jipe muda wa kuzungumza na mtoto kila siku. 2. Muulizie juu ya changamoto alizokutana nazo akiwa shule. 3. Kagua vitu anavyovitizama kama picha, simu. 4. Jadiliana naye...
  14. Kalpana

    JamiiForums Tanzania Faiza Ally amjia juu mzazi mwenzie Sugu na anajuta kuzaa nae

    Wana jukwaa hivi hapa anaejuta kuzaa na mwenzie ni nani kati ya Faiza na Sugu? Faiza ana mtusi matusi makubwa sijui kama anajenga kwakweli, pia mwanaume kama ni kweli hamjali mtoto kwa lolote anafanya vibaya sanaa.
  15. She Quoted you

    JamiiForums Tanzania Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

    Mambo vipi wakuu, Nimemaliza chuo mwaka jana, I am 24. nipo nakaa hapa nyumbani ila kuna tatizo la kiimani. Mom analazimisha kila jumapili niende kanisani. Kiuhalisia mimi saivi sina imani kabisa na kanisa au maswala ya Mungu naona kama ni utapeli na mambo ambayo binadamu walitengeneza tu...
  16. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi binti kulala na baba yake mzazi au mlezi?

    Hello Naomba kujua ni sahihi binti kulala na baba yake mzazi au mlezi kama mama yake hayupo kwa mazingira ya sasa hivi?
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mzazi wakati unasomesha usisahau kuwekeza kwaajili ya kesho yako

    Habari wana JF, Asilimia kubwa humu wazazi wetu wameishia elimu ya msingi na wengine hawakusoma kabisa, lakini wamepambana kwaajili yetu na kwakiwango kikubwa wamefanikiwa tumesoma sekondari na wengine mpaka chuo. Hata wewe hapo ulipo unapambana mwanao afikie elimu ambayo wewe hukufika na ili...
  18. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Je, hii ni hatua sahihi kwa mzazi kuichukua?

    Nauilza tu waungwana
  19. I

    JamiiForums Tanzania Hivi inampasa mtoto kumtumia fedha mzazi wake hata kama mzazi hana shida ya pesa?

    Nipo na ajira nashkuru mungu inayofanya nisogeze maisha. Nina mshahara mdogo tu lkn kwa ubachela wangu unanitosha. Mdingi wangu (mzazi pekee nliyebaki nae kwa sasa) ana kipato cha uhakika na hana shida ya pesa ndogondogo. Kipato chake ni mara 5 zaidi ya changu kwa mwezi. Nimekuwa nikiumiza...
  20. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Pombe ilimfanya apoteze utu wake, akose familia yake na kumzika mama yake mzazi

    Leo nataka niwape kisa cha anko wangu moja hivi wa mtaani ambae kwa sasa ni marehemu, ubaya pia sikubahatika kwenda kumzika. Wakati wa makuzi yangu nilibahatika kulelewa katika mtaa ambao umezungukwa na watu wenye dini. Mtaa ambao nilikuwa naishi ulikuwa na misikiti miwili, madrasa tatu na...
Back
Top Bottom