Sibabalwe Gladwin Mzazi (born 28 August 1988) is a South African athlete competing in the long-distance running events. He competed at five consecutive Summer Universiades winning gold medals in 2009 and 2013.
Anatafuta Kupewa Umakini Kila Wakati:
Mtoto huyu anakuwa ni mwenye kutaka sifa au kutambulika kwenye kila kitu hata vitu vidogo
Kuwa na Hasira za Haraka:
Mtoto anatumia hisia za Hasira katika kuonesha vile anavyojisikia ili tu apewe umakini kwenye mambo yake
Anakuwa Sio Mtulivu:
Mtoto...
Mimi ni mmoja wa watoto waliotungwa mimba wakati mzazi bado ananyonyesha, bahati mbaya aliyenitangulia alifariki dunia kabla sijazaliwa. Hivyo wakati nakua niliambiwa na majirani kuwa kutungwa kwangu mimba kulisababisha afya ya dadangu kudhoofu na kupelekea kifo.
Hili suala ni kweli au vihoja...
Kuna msemo unaosema ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, tukio la Baba mzazi mkazi wa mtaa wa Mafisa, Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kudaiwa kumuweka unyumba mtoto wake wa kike wa miaka mitatu limewachukiza wengi huku baadhi ya wananchi wakiiomba serikali kuchukua hatua kali...
HUNA WAJIBU WA KUMTUNZA AU KUMHUDUMIA MZAZI WAKO AKIWA CHINI YA MIAKA 60 KAMA HAUMWI.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Mada hii inaweza kuwa ngumu kwa baadhi ya Watu. Lakini nitakachojadili hapa ni Haki, kweli, akili na upendo kama ilivyo kwa Watibeli wote.
Kama ilivyo kwa mzazi hana wajibu...
Kipindi fulani, nilifuatwa na kijana mmoja aliyekuwa akiishi jirani na nilikokuwa nikifanyia kazi, na kuniomba nimsadie kumtafutia nafasi ya kujifunza masuala ya ufundi kwenye kampuni fulani. Alikuwa bado kijana mdogo, under 18. Aliamua kutafuta hiyo nafasi baada ya kufeli mitihani ya kidato cha...
Wadau habarini,
Kuna mwanamke mmoja nilikuwa na mahusiano nae, baada ya miezi mitatu ananiambia ana ujauzito nilipomwuliza kwa kina akasema ni wangu. Baada ya wiki mbili akanionesha mstar uliochora katikati ya tumbo akisema mimba Ina miezi mitatu kwenda wa nne huku Ina mstari...
Kuna nadharia imezagaa ktk jamii nyingi kwamba mtu akiziona tupu za mzazi wake analaaniwa, yaani anapata ukichaa/gundu na mikosi kisha mambo yote yanakwenda kombo.
Na inadaiwa mzazi akitaka kumlaani mwanaye huwa anavua nguo zake kisha kumuonesha mwanaye nyeti. Halafu anapata laana.
Hii ni kweli??
Kuna wanaokuwa vizuri lakini tuwaangalie wale walioharibika
Husika na kichwa cha habari,
Katika wale vijana kuanzia miaka 15 ambao kimaadili wameharibika, ni kwanini wengi wamelelewa na single mothers?
Habarini za asubuhi wapendwa
Naomba kuuliza kwa mwenye uelewa na haya mambo anijuze, hivi inawezekana mzazi kusaidia kuongea na afisa wa utumishi kazini kwa mtoto wake ili mtoto apate uhamisho baada ya mtoto kupitia changamoto kubwa kazini kuhusu mwanamke aliyezaa na ye yani ndugu wa mke wakawa...
https://vimeo.com/896717216?share=copy
Haya haya
Mtoto kajipongeza baada ya kumaliza mitihani yake.
Tukio hili limetokea huko kwa majirani 254.
Mkanye mwanao.
Habari zenu wakuu, kuna jambo lilikuwa likiniacha njia panda sana,
Kuna binamu yangu umri wake kwa sasa ni 33 to 34 hajaowa mpaka sasa na amekuwa akipambana kujiweka sawa kiuchumi na huku akitafuta mwenza wa maisha yake.
Baba yake mzazi amekuwa akimshauri mwanae umri umekwenda na muda...
Yaani unakuta mwalimu anamuadhibu mwanafunzi na baridi hili kwa kosa la eti mimi mzazi nimeshindwa kuhudhuria kikao cha wazazi.
Ama mwanao anaadhibiwa kisa wewe umeshindwa kufuata taarifa ya Masomo ya mwanao (Report)
Ama aadhibiwe kwa kuwa hujatoa hela ya mchango wa ujenzi wa darasa.
Hivi hii...
Huyu mzazi anaharibia watoto wake uzao alianza binti mdogo akapata bwana wakawaida tu huyu mama akamfukuza basi akaletewa tajiri tena wamadini akamfukuza akisema amekuja kumtoa sadaka na familia yake.
Saivi msichana akamuua kujenga nakuzaa na mtu wake wa mwanzo wakawaida hakuenda kwenye harusi...
Chama cha Mapinduzi kimefanya Kikao cha Kawaida cha Halmashauri Kuu ya CCM ambapo pamoja na mambo mengine, Kikao hicho kilijadili hali ya Kisiasa ndani ya Chama na nje ya Chama
Aidha, kimefanya uteuzi wa Mwisho wa Wagombea wa nafasi za Uongozi ndani ya Chama kwa ngazi ya Mkoa na Wilaya ili...
Inahuzunisha sana kuona kazi wafanyazo watoto waliosomeshwa kwa gharama wakiwa bodaboda na wachoma chips.
Mzazi kugharamia masomo ya mwanao ili aje kuwa mpambaniaji wa kazi hizo na za namna hiyo au kutokuja kuwa na future yoyote mtaani inaleta huzuni kwa mtoto mwenyewe hata kwa mzazi pia...
Nikisema hizi shule zinatuibia ninakosea???
Serikali isipokagua uwezo wa watendaji kwenye shule binafsi itakuwa haitendi majukumu yake.
Mtoto wa nursery arudie madude ya mwaka mzima aje. Vipi asipewe kama alivyoelewa??
Hii niliiokota sehem flan wakurugenz wa hizi shule za binafsi...
Hali ya taharuki imetokea katika shule ya msingi Narumu, katika Kijiji cha Narumu wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, baada ya mama mmoja ajulikanae kwa jina la Valentina Kweka, kuingia ofisi ya walimu na kumpiga Mwalimu.
Mwalimu huyo ambaye ni wa kike (jina limehifadhiwa) alijeruhiwa hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.