Moto kichakani: Kama mtoto hajafanana na wewe au mzazi wako, kaka huyo mtoto umebambikwa.

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,705
36,158
Sina muda wa kupoteza, natupa kiberiti kichakani. Wa kuungua aungue wa kujisalimisha ajisalimishe.
Mungu alijua kabisa kuwa wanaume ni watu watata na wenye utawala ndani yao. Hivyo anahakikisha kila mtoto anayetaka kiunoni mwa mwanaume lazima afanane naye, lazima. Bila kujali jinsia ya mtoto.
Kama huijui vizuri sura yako au mwonekano wako watazame wazazi wako hasa mama yako maana yawezekana baba yako naye alichezewa mchezo.
Mimi wife akizaa tu ile namwangalia mtoto nikiiona sura ya maza tu nasema good naandaa zawadi kwa wife.
Kama huyo mtoto wako hajalandana na wewe ndugu mlee tu kama kiumbe wa Mungu ukitaraji thawabu za Muumba ila si wako.
 
Azam walizulumiwa goli Lao la haki kabisa bila ya kipingamizi, goli lilifungwa lakini mshika kibendera alinyanyua juu kibendera kuashiria kuwa mfungaji kaotea Lakini katika marejeo ni goli halali kabisa bila hata ya kupepesa macho Azam walizulumiwa
 
Sina muda wa kupoteza, natupa kiberiti kichakani. Wa kuungua aungue wa kujisalimisha ajisalimishe.
Mungu alijua kabisa kuwa wanaume ni watu watata na wenye utawala ndani yao. Hivyo anahakikisha kila mtoto anayetaka kiunoni mwa mwanaume lazima afanane naye, lazima. Bila kujali jinsia ya mtoto.
Kama huijui vizuri sura yako au mwonekano wako watazame wazazi wako hasa mama yako maana yawezekana baba yako naye alichezewa mchezo.
Mimi wife akizaa tu ile namwangalia mtoto nikiiona sura ya maza tu nasema good naandaa zawadi kwa wife.
Kama huyo mtoto wako hajalandana na wewe ndugu mlee tu kama kiumbe wa Mungu ukitaraji thawabu za Muumba ila si wako.
Hauna akili, unajiona mjaanja unapimisha na mamako, kwan mamako ndo mtia mimba? wenzako wapo hatua 1000 mbele ya kizazi chako wanatumia dna, we endelea kujipimisha ma mama yako ukimaliza unyonye ulale
 
Kwahiyo mtoto wako akifanana na babu/bibi yake na mkeo, unamkataa?
 
Somo la genetics linatakiwa lifundishwe kwa undani sana japo hadi kidato cha nne.
 
Bichwa,kucha, mpua au rangi ukikosa kimoja wapo shtukaa, umepandiwa mbegu😆😆😆

Baba mpare mama msukuma mtoto shombe shombe nywele inapepea na upepo😆😆😆 hustuki tu
 
Back
Top Bottom