mwezi

  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Siwezi kuyaona masikio yangu nikijipiga selfie au Passport size, nifanye nini?

    Kuanzia mwezi wa March nimekuja kugundua nikijipiga picha masikio siyaoni kabisa, ni mpaka nigeukie kamera upande wa sikio, kiukweli napata stress. Baadhi ya watu wanasema nmenenepa ila ni mara chache na mimi huwa najiona kawaida tu, kama ni hivyo nawezaje kutatua hilo tatizo la masikio
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Nimelima ekari tano za mihogo, itakuwa tayari kwa mavuno mwezi wa Ramadhani

    Ekari tano kulima ilinigharimu laki nne, nilipata vijana wanne kwa makubaliano unawapa sehemu ya kulala, wanatembea na kapu lao ndani wana sufuria. Wanaamaka asubuhi wanakwenda kulima mpaka saa tano wamemaliza. Wakirudi wanapika chakula chao wenyewe. Iliwachukua siku tatu kumaliza ekari tano...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mwezi Machi ni mwezi wa haki. Mungu ibariki Machi na watu wake

    Mwezi wa March ni mwezi wa haki kwa taifa la Tanzania. Mwezi March Mungu amekuwa akiwapa kicheko Watanzania wanaoonewa na kukandamizwa na udhalimu wa watawala dhalimu. Mwezi March mwaka jana taifa lilijawa na milango wazi ya haki, usawa, na furaha kwa watu wengi. Waliofungwa kwa kusingiziwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali: Hatujalipa kuweka tangazo jengo la Burj Khalifa lililopo Dubai

    Msemaji wa Serikali kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema haya.. Serikali HAIJALIPIA kuweka tangazo la Tanzania katika jengo refu kuliko yote Duniani liitwalo Burj Khalifa lililopo katika Jiji la Dubai. Tangazo hilo limewekwa kwa lengo la kuitangaza Tanzania kutokana na uhusiano mzuri uliopo...
  5. nyangelekene

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) mbona tunaongezeana deni kila mwezi, shida nini?

    Sijaelewa shida nini ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu mwezi uliopita(wa kwanza) deni lilikua milioni 3 mwezi wa pili milioni 3, watu wengi wanalalamika madeni kuongezeka wengine wanamaliza lakini mwezi unaofuata wanakuta ongezeko tena. Shida ni nini? Hakuna taarifa yoyote wala ufafanuzi au...
  6. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha tozo ya Tsh 100 kwa kila lita ya mafuta, yasema itapoteza Sh bilioni 30 kwa mwezi

    Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta katika soko la dunia kwa sababu mbalimbali ikiwemo vita ya Urusi na Ukraine, Serikali ya Tanzania imetangaza kuondoa Tozo ya Sh 100 kwa kila lita katika Dizeli, Petroli na Mafuta ya Taa kwa miezi mitatu. Wizara ya Nishati imetangaza maamuzi hayo ambapo...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Chato: Mapato yashuka kutoka Tsh mil 77 hadi mil 10 kwa mwezi

    Nimeona hilo kupitia star TV usiku huu wa saa mbili. Tatizo ni nini?!!! Mwenyekiti anashangaa kuwa vyanzo ndiyo kwanza vimezidi lakini mapato ndio yamashita kama hivyo yanashuka. Kamati yaundwa kuchunguza. Ndio hivyo!
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kwa maisha ya kawaida ya Mtanzania, angalau awe na kipato cha shilingi ngapi kwa mwezi ndio aweze kuoa?

    Amini kwamba unaweza kua na kibarua cha kawaida tu ambacho kinakupa walau laki 6, 7 - 8 kwa mwezi na ukakosa mke. Wasi wasi ukiwa ni kipato hakitoshi. Je mliofanikiwa hapa mlianza vipi?
  9. J

    JamiiForums Tanzania TANESCO wasaini mkataba wa kuuziana umeme na Geita Gold Mining

    TANESCO KUVUNA BILIONI 5 MAPATO YA MWEZI KUTOKA GGM Kukamilika kwa mradi wa kupeleka umeme kwenye Kampuni ya uchimbaji madini ya dhahabu ya Geita Gold Mining (GGM) kutaliwezeshaTANESCO kupata kiasi cha shilingi bilioni 5 kwa mwezi zitakazotokana na mauzo ya umeme. Source: TANESCO ===...
  10. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Manchester United yaona mwezi, yashinda 2-0 katika Premier League

    Baada ya kuwa na matokeo mabaya hivi karibuni ikiwemo kufungwa na kupata sare, Manchester United imefanikiwa kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Brighton katika mchezo wa Premier League. Mchezo huo uliochezwa usiku wa kuamkia leo Februari 16, 2022, mabao yamefungwa na Cristiano Ronaldo ambaye...
  11. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Fiston Mayele, Baraza, wabeba tuzo za Mwezi Ligi Kuu Bara

    FISTON MAYELE - Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Januari, 2022 FRANCIS BARAZA - Kocha Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Januari, 2022. JOHN NZWALLA - Meneja Bora wa Uwanja kwa mwezi Januari, 2022. #NelsonMandela
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Roketi ya Elon Musk itagongana na mwezi

    Roketi iliyorushwa na kampuni ya uvumbuzi wa anga za juu ya bilionea Elon Musk inakaribia kugonga ndani ya mwezi na kulipuka. Chombo kinachosaidia roketi kulipuka kwa Falcon 9 kilikwenda katika anga za juu mwaka 2015, lakini baada ya kukamilisha safari yake, hakikuwa na mafuta ya kutosha ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji mwenza anahitajika: Pata Faida ya Laki 5 kila mwezi

    Wadau, Niko kwenye hatua ya mwisho za kuanza mradi wa biashara ya Mboga Mboga, hii ni baada ya kufanya utafiti na majaribio kwa muda wa miezi 6 na kuwa na uhakika wa uwepo wa soko la Mboga Mboga( kwa jumla) katika eneo la Bunju B, Dar es salaam. Naitafuta mwekezaje mwenza(Partner) atakaewekeza...
  14. Ahmed Saidi

    JamiiForums Tanzania Uhauri: Nalipwa 170k kwa mwezi, how can I survive?

    Habari za muda huu Wana JF Kama nilivyotanguliza hapo juu, maisha mtaani ni magumu sana, kama una roho nyepesi unaweza kata tamaa. Baada ya kumaliza chuo (bachelor of education) ndio nilithibitisha yaliyosemwa na wengi kuwa maisha ya kitaa ni magumu sana, kwakweli sikua na mishe ya kuniingizia...
  15. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Natafuta blog na youtube channel patner ambaye tutasaidiana kukuza na kuweka contect baada ya mwezi kuna mafanikio nitaongeza na kukupa 50% ya mapato

    Habari mimi ndugu yenu Binadamu Mtakatifu ni mmiliki wa channeli ya youtube na blogu hasa kilicho nileta hapa ni kuwa kazi hii ni ngumu kuifanya pekeyangu pia bado visitors ni wachache sana hivyo kama wewe ni kujana na ungependa kushirikiana na mimi njooo PM kuhusu nitakulipa nini hapa ninacho...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Austria: Kuanzia mwanzoni mwa mwezi wa Februari, wale ambao hawajachanjwa watatozwa faini kubwa

    Baada ya wiki chache, chanjo ya watu wazima itakuwa ya lazima nchini Austria. Kuanzia mwanzoni mwa mwezi wa Februari, wale ambao hawajachanjwa watatozwa faini kubwa. Tangazo hili lilitolewa Jumapili hii, Januari 16, na Kansela wa Austria, Karl Nehammer. "Tutapitisha wajibu wa...
  17. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Kama hali ikiendelea hivi bila mvua mpaka mwezi wa Sita, mwaka huu utakuwa mgumu sana

    Kwenye Ile mikoa ambayo msimu wa Masika unaanza mwezi wa 11 hali ni mbaya mingine mpaka sahivi hakuna mvua ni msimu wa mvua. Na hii mikoa ndo mingi inayozalisha chakula kingi. Tofauti na Ile inayopata mvua mwezi wa tatu mpaka mwezi wa Sita mwanzoni Kama una hela weka akiba ya hela kwa sababu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Bunge linalokuja mwezi Februari lijadili kwa hati ya dharura Mkopo wa tril 1.3. kwa maslahi ya Taifa. Namna ulivyopatikana na matumizi yake

    Kila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene. Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa zilivyotumika na kugawanywa kati ya Zanzibar na Bara. Bara ni sh ngapi kwa ajili ya nini? Na Zenj sh...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Fremu inakodishwa Sinza Legho Tsh 450,000 kwa mwezi

    Fremu ipo mita 30 kutoka barabara ya lami ya shekilango road, nyuma ya rombo green view hotel mkabala na legho hotel. Kodi ya miezi 3/6/12 ndo inayopokelewa. Karibu kwa mawasiliano 0672037238
  20. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Inashangaza: Rais Samia mwezi Juni 2021 alisema akiba ya fedha za kigeni ni Dola bilioni 4,765

    Ndugu zangu haya mambo yanashangaza sana.Katika kipande cha video hapo chini Rais Samia Suluhu Hasan akiwa Mwanza mwezi juni 2021 alidai kuwa akiba yetu ya fedha za kigeni ni dola za kimarekani bilioni 4765. Ndugu zangu Mwezi Juni 2021 tuliambiwa tuna akiba ya fedha za kigeni dola bilioni 4765...
Back
Top Bottom