Video: Kumbe kabla Rais Samia kwenda kwenye UNGA - New York , waziri Liberata Mulamula alitangulia mwezi mmoja kabla. Why..?

The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,951
12,535
You may not like this. But it happened...

Kumbe bwana, kabla ya Rais Samia Hassan kuhudhuria summit ya kikao cha UNGA, NewYork wiki kadhaa zilizopita, balozi Liberata Mulamula, waziri wa mambo ya kigeni alitangulia mwezi mmoja kabla....

Shida siyo Balozi Mulamula kuwahi kutangulia mwezi mmoja kabla bali kilichonishitua mimi ni sababu za kuwahi kwake mapema kama anavyosema Tundu Lissu hapo...

Kwamba, eti ni ili kumwandalia Rais nafasi ya kukutana na Rais Joe Biden na kupiga picha naye. Bahati mbaya alikataliwa, hakupata kwa sababu zinazoelezwa kuwa ni utawala wake kuinajisi demokrasia nchini kwake...!

Na kama asemayo TL ni kweli [na ni kama kweli kwa 100%], basi bila shaka utawala wa CCM unàelekea ukingoni kwa sababu haiwezekani propaganda na udanganyifu uvuke mipaka mpaka kwa Rais Joe Biden wa USA...!!

Thank God kwa kuwa hawakufanikiwa kupitisha upuuzi wao kwa taifa hilo kubwa na rafiki yetu....

Msikilize Tundu Lissu...
 
You may not like this. But it happened...

Kumbe bwana, kabla ya Rais Samia Hassan kuhudhuria summit ya kikao cha UNGA, NewYork wiki kadhaa zilizopita, balozi Liberata Mulamula, waziri wa mambo ya kigeni alitangulia mwezi mmoja kabla ili kumwandalia Rais nafasi ya kukutana na Rais Joe Biden na kupiga picha naye. Bahati mbaya alikataliwa...!

Kwanini? Msikilize Tundu Lissu kwenye video hiyo chini...

View attachment 1970431
Kubwajinga kabisa wewe, urafiki wako na Joe Biden umeanza lini, ananikera sana mtu ambaye watu weupe kwake ni zaidi ya Mungu aliyetuwekea utajiri usiopatikana popote duniania tukianzia Mt. Kilimanjaro, Ngorongoro, Serengeti, Tanzanite, Wema Sepetu, Mwendazake Dr. Shika, Zanzibar ya bibi kidude binti kibaraka and so on and so on…..

Tony Blair nayeye alimtuma nani bongo before kale kapicha na mama?
 
Huo ni uongo na unafiki, Biden hakuweza kiafya kukutana na maraisi wengi, na protocol ya USA ulitaka Maraisi wa nchi nyingi wakutane na makamu wa Raisi wa USA , hilo lilikataliwa na nchi nyingi, kwani sio protocol na ingekuwa kujivunjia heshima, kama baadhi ya maraisi waliokubali kukutana na VP.
 
Nyie watoto inabidi mueleweshwe kazi za protokali za kidiplomasia.
Mtoto nani hapa?

Mimi mleta ujumbe au Tundu Lissu aliyefunua hili..?

Au Balozi Liberata Mulamula na Rais wake Samia Suluhu ndiyo wafundishwe protokali...?

Mimi nadhani tungejadili kama hili alisemalo Tundu Lussu ni kweli ama la...

Kama ni UONGO na kuwa ni protokali ya kawaida kwa Foreign Minister kwenda mwezi mmoja kabla, basi ni haki tumzodoe Tundu Lissu, siyo Mimi...

Kama ni KWELI walifanya hivyo huku protokali ikikataa, basi ni haki kuwashangaa kina Balozi Liberata Mulamula na wenzake...!!
 
Huo ni uongo na unafiki, Biden hakuweza kiafya kukutana na maraisi wengi, na protocol ya USA ulitaka Maraisi wa nchi nyingi wakutane na makamu wa Raisi wa USA , hilo lilikataliwa na nchi nyingi, kwani sio protocol na ingekuwa kujivunjia heshima, kama baadhi ya maraisi waliokubali kukutana na VP.
Unaweza ku justify hili? Au unahisi ndivyo ilivyo?
 
You may not like this. But it happened...

Kumbe bwana, kabla ya Rais Samia Hassan kuhudhuria summit ya kikao cha UNGA, NewYork wiki kadhaa zilizopita, balozi Liberata Mulamula, waziri wa mambo ya kigeni alitangulia mwezi mmoja kabla ili kumwandalia Rais nafasi ya kukutana na Rais Joe Biden na kupiga picha naye. Bahati mbaya alikataliwa...!

Kwanini? Msikilize Tundu Lissu kwenye video hiyo chini...

Na kama asemayo TL ni kweli [na ni kama kweli kwa 100%], basi bila shaka utawala wa CCM unàelekea ukingoni kwa sababu haiwezekani propaganda na udanganyifu uvuke mipaka mpaka kwa Rais Joe Biden wa USA...!!

Thank God kwa kuwa hawakufanikiwa kupitisha upuuzi wao kwa taifa hilo kubwa na rafiki yetu....

Msikilize Tundu Lissu...
View attachment 1970431
Jo Biden hana nafasi na Madikteta
 
Huo ni uongo na unafiki, Biden hakuweza kiafya kukutana na maraisi wengi, na protocol ya USA ulitaka Maraisi wa nchi nyingi wakutane na makamu wa Raisi wa USA , hilo lilikataliwa na nchi nyingi, kwani sio protocol na ingekuwa kujivunjia heshima, kama baadhi ya maraisi waliokubali kukutana na VP.
Mbona Hichilema alikuwa Ikulu 🤣🤣🤣
 
Kubwajinga kabisa wewe, urafiki wako na Joe Biden umeanza lini, ananikera sana mtu ambaye watu weupe kwake ni zaidi ya Mungu aliyetuwekea utajiri usiopatikana popote duniania tukianzia Mt. Kilimanjaro, Ngorongoro, Serengeti, Tanzanite, Wema Sepetu, Mwendazake Dr. Shika, Zanzibar ya bibi kidude binti kibaraka and so on and so on…..

Tony Blair nayeye alimtuma nani bongo before kale kapicha na mama?
Hivi na wewe unajihesabia ni mtu, unalazimisha kabisa uitwe mtu mweusi.
Sisi wafrika hatujawahi kuwa watu, sisi ni manyani na ni zaidi ya manyani tuna roho za kinyama, tuna roho mbaya sana.

Wazungu rafiki zake Mungu. Huo ndio ukweli mchungu.
 
Back
Top Bottom