Tumeletewa Mkandarasi wa kuzoa takataka na uongozi wa Serikali ya Eneo letu, takataka zinachukuliwa baada ya wiki mbili. Naomba watu wanaohisika na Afya na Mazingira waingilie swala Hili na kuzuia huu wizi na kuepuka kurundika takataka kwa mda mrefu kama huko!
Watu wakishatoa rushwa na kupokea...
Kumekuwa na malalamiko mengi juu ya mishahara ya waajiriwa wengi kutokutana yaani mishahara kuwahi kuisha kabla ya muda wa kupokea mshahara mwingine. Hii hupelekea walio wengi kuamua kuzidharau kazi za kuajiriwa na kudai mishahara iongezwe bila kufikiria kuwa hata wenye mishahara mikubwa zaidi...
Kumekuwa na malalamiko mengi juu ya mishahara ya waajiriwa wengi kutokutana yaani mishahara kuwahi kuisha kabla ya muda wa kupokea mshahara mwingine. Hii hupelekea walio wengi kuamua kuzidharau kazi za kuajiriwa na kudai mishahara iongezwe bila kufikiria kuwa hata wenye mishahara mikubwa zaidi...
Nimefanikiwa kuwadodosa baaadhi ya wazee wenye nyadhfa serikalini kuhusu mkanganyiko wa mambo unaoendelea nimeshtushwa kwamba hata wao wanayojadili na kuyaamini si haya yanayotekea kwenye utendaji.
Nafasi ya wanasiasa Ni kubwa Sasa kwa Sasa hasa baada ya kutoa wataalam na wabobezi wengi kwenye...
POWER TILLER GT SHAKTI 880 hp 13 Diesel
Usithubutu kununua haka ka Power Tiller nimekanunua majuzi tu sh 2,200,000 HP 13 Diesel tayari kamevunja diff, na spare hawana
Naombeni msaada wa kupata hiyo Tube Housing ya Differential
Ndugu zangu na washikaji zangu ambao upepo wa kupanda daraja ulituacha mwezi uliopita japo tulistahili, tusipopanda mwezi huu tufanyaje? Tulioanza nao kazi na tuliowapita sasa wana mishahara mikubwa zaidi yetu japo elimu ni moja.
Inafahamika kwamba kila siku duniani kote wafanyabiashara wanapanga mbinu za kila aina kuweza kukwepa kodi,ndio maana watu kama Ronaldo na Messi wamewahi kukamatwa na kushtakiwa kwa kukwepa kodi,
Kama tumeamua kuwabembeleza wafanyabiashara, basi kuna mambo mawili ya kufanya mdaiwa asipolipa...
Huyu dem napishana nae kila mara hapa mtaani kwetu na kwa kuwa mimi si mtu wa story sana na washikaji hapa kitaa yaani nikitoka nimetoka nikiingia nimeingia hivyo sijazoeleka sana na watu wengi.
Sasa huyu dem kila nikirudi hua namkuta kibarazani kwao (sijui kakariri muda wangu wa kurudi home)...
Huu mradi wa maji ya kuleta umeme wa nyerere tumekuwa tukidanganywa kila siku kuwa utakamilika June 2022, kitu ambacho c Cha kweli hata kidogo, pia tukidanganywa Mwezi wa 11 maji yataanza kujazwa kwenye bwawa huu ni uongo mkubwa, kwanini nasema hivo
1. Njia za kupeleka maji kwenye mashine...
Kumbe inawezekana kwakweli namshukuru sana Mungu kwa sasa simu yangu nimeweza kukaa bila video au picha za ngono now hata watoto naweza kuwapa nyumbani wakachezea.
Dah! Mungu mwema sijui wenzangu mnaweza hali hii kukaa bila picha au video mimi nilikuwa kila nikifuta napata hii asa magroup...
Nawasalimu wakuu wote.
Mara nyingi nimekua nikiona watu wenye matatizo ya akili vichaa vyao hupanda zaidi wakati wa mwezi mchanga. Nimekua nikifanya pia hata uchunguzi kwa watoto wadogo kuna kitu wanaita mchango hua unawapata zaidi wakati wa mwezi mchanga.
Pia wakati huo hata kwa watu wengi...
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema bei ya Petrol na Diesel huko duniani inaendelea kupanda na amewataka watanzania kutoshangaa ikiendelea kupaa hapa nchini.
Mbatia amesema haya mafuta tunayouziwa Tsh 2400 kwa lita yalinunuliwa mwezi Aprili wakati mafuta hayajapanda bei kwenye soko...
Nchi ya China imesema mpango wake wa kutumia mwezi wake binafsi (Chinese's moon) 🌕
Mpango wa China kuanza kutengeneza mwezi wake binafsi ushaanza na China inategemea mwezi huo utakamilika mwaka 2022.
Ifikapo mwaka 2022 china itaanza kutumia mwezi wake ambao utakuwa na mwanga mara 8 zaidi ya...
Habari wakuu,
Nina ndugu anahitaji kwenda china kuangalia mazingira ya biashara,kutokana na hali ya Covid19, je safari zipo toka Tanzania kwenda China? Naamini JF ina member wa kada zote. Shukrani
Simu 0713-039 875
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kujua ukiwia unamtaji wako wa kiwango chochote cha pesa, unatakiwa upate kiasi gani cha faida kwa mwezi kwa mahesabu ya asilimia?
Wengine wanasema minimum angalau upate 20% ya mataji kwa mwezi, wengne wanasema 30% kwa mwezi ndio utasema...
Ripoti hii inahusisha utazamaji wa video zote za kazi zao zote za Youtube mpya na za zamani, kuna wengine hawajatoa kazi muda mrefu ila bado watu walikuwa wanacheki kazi zao za zamani.
Namba hazidanganyi, kama mnavyoona lebo ya WCB wasanii karibu wote wamo, kwa upande wa lebo nyingine labda...
Concern yangu ni kwenye ishu ya COVID -19. Zile story za kwamba ukifika DIZONGA lazima ukae karantini wiki mbili kwenye hoteli ya 5 star kwa gharama zako mwenyewe zina ukweli wowote? Vipi kuhusu wimbi jipya la maambukizi ya COVID ni kama tunavyo aminishwa na media au huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.