Dear Nyerere hatujalipwa mafao yetu na nauli zetu toka mwaka jana mwezi wa kumi na moja

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Dear Nyerere tunakukumbuka Baba yetu, ulale mahala pema peponi.

Baba PSSSF chini ya Serikali iliyopo madarakani haijatulipa MAFAO yetu sisi na ma Askari Polisi tulio staafu mwezi wa 11 Mwaka jana hadi leo hii tarehe 14/10/2021 zikiwemo na Nauli ambazo zipo kisheria kwamba tupewe turudi majumbani kwetu hazijalipwa Baba.
 
Mnampa mzigo wa lawama buree mzee wa watu, muacheni apumzike.

Alishawaambia mkikubali kutawaliwa kidikteta basi ni ujinga wenu.
 
Hii nchi kuendelea ni ngumu sana, yaani kuna tatizo badala wewe uliye hai utatue unamlilia mfu akusaidie.

"Je tuwaendee wafu kwa ajili ya walio hai?"
 
Dear Nyerere tunakukumbuka Baba yetu, ulale mahala pema peponi.

Baba PSSSF chini ya Serikali iliyopo madarakani haijatulipa MAFAO yetu sisi na ma Askari Polisi tulio staafu mwezi wa 11 Mwaka jana hadi leo hii tarehe 14/10/2021 zikiwemo na Nauli ambazo zipo kisheria kwamba tupewe turudi majumbani kwetu hazijalipwa Baba.

6503FD04-1F95-404E-8163-1A2ED0243811.jpeg
 
Kwani PGO inasemaje kuhusu malipo ya Askari walioumiza wananchi wasio na hatia?
 
Hii nchi kuendelea ni ngumu sana, yaani kuna tatizo badala wewe uliye hai utatue unamlilia mfu akusaidie.

"Je tuwaendee wafu kwa ajili ya walio hai?"
Unaelewa maana ya fasihi!!mtia mada ametumia sanaa
 
Back
Top Bottom