mwezi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji mwenza anahitajika: Pata Faida ya Laki 5 kila mwezi

    Wadau, Niko kwenye hatua ya mwisho za kuanza mradi wa biashara ya Mboga Mboga, hii ni baada ya kufanya utafiti na majaribio kwa muda wa miezi 6 na kuwa na uhakika wa uwepo wa soko la Mboga Mboga( kwa jumla) katika eneo la Bunju B, Dar es salaam. Naitafuta mwekezaje mwenza(Partner) atakaewekeza...
  2. Ahmed Saidi

    JamiiForums Tanzania Uhauri: Nalipwa 170k kwa mwezi, how can I survive?

    Habari za muda huu Wana JF Kama nilivyotanguliza hapo juu, maisha mtaani ni magumu sana, kama una roho nyepesi unaweza kata tamaa. Baada ya kumaliza chuo (bachelor of education) ndio nilithibitisha yaliyosemwa na wengi kuwa maisha ya kitaa ni magumu sana, kwakweli sikua na mishe ya kuniingizia...
  3. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Natafuta blog na youtube channel patner ambaye tutasaidiana kukuza na kuweka contect baada ya mwezi kuna mafanikio nitaongeza na kukupa 50% ya mapato

    Habari mimi ndugu yenu Binadamu Mtakatifu ni mmiliki wa channeli ya youtube na blogu hasa kilicho nileta hapa ni kuwa kazi hii ni ngumu kuifanya pekeyangu pia bado visitors ni wachache sana hivyo kama wewe ni kujana na ungependa kushirikiana na mimi njooo PM kuhusu nitakulipa nini hapa ninacho...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Austria: Kuanzia mwanzoni mwa mwezi wa Februari, wale ambao hawajachanjwa watatozwa faini kubwa

    Baada ya wiki chache, chanjo ya watu wazima itakuwa ya lazima nchini Austria. Kuanzia mwanzoni mwa mwezi wa Februari, wale ambao hawajachanjwa watatozwa faini kubwa. Tangazo hili lilitolewa Jumapili hii, Januari 16, na Kansela wa Austria, Karl Nehammer. "Tutapitisha wajibu wa...
  5. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Kama hali ikiendelea hivi bila mvua mpaka mwezi wa Sita, mwaka huu utakuwa mgumu sana

    Kwenye Ile mikoa ambayo msimu wa Masika unaanza mwezi wa 11 hali ni mbaya mingine mpaka sahivi hakuna mvua ni msimu wa mvua. Na hii mikoa ndo mingi inayozalisha chakula kingi. Tofauti na Ile inayopata mvua mwezi wa tatu mpaka mwezi wa Sita mwanzoni Kama una hela weka akiba ya hela kwa sababu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Bunge linalokuja mwezi Februari lijadili kwa hati ya dharura Mkopo wa tril 1.3. kwa maslahi ya Taifa. Namna ulivyopatikana na matumizi yake

    Kila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene. Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa zilivyotumika na kugawanywa kati ya Zanzibar na Bara. Bara ni sh ngapi kwa ajili ya nini? Na Zenj sh...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Fremu inakodishwa Sinza Legho Tsh 450,000 kwa mwezi

    Fremu ipo mita 30 kutoka barabara ya lami ya shekilango road, nyuma ya rombo green view hotel mkabala na legho hotel. Kodi ya miezi 3/6/12 ndo inayopokelewa. Karibu kwa mawasiliano 0672037238
  8. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Inashangaza: Rais Samia mwezi Juni 2021 alisema akiba ya fedha za kigeni ni Dola bilioni 4,765

    Ndugu zangu haya mambo yanashangaza sana.Katika kipande cha video hapo chini Rais Samia Suluhu Hasan akiwa Mwanza mwezi juni 2021 alidai kuwa akiba yetu ya fedha za kigeni ni dola za kimarekani bilioni 4765. Ndugu zangu Mwezi Juni 2021 tuliambiwa tuna akiba ya fedha za kigeni dola bilioni 4765...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TRA imekusanya Trilioni 11.11 kuanzia Julai hadi Desemba 2021 na trilioni 2.51 Desemba 2021 pekee

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya TZS trilioni 2.51 Desemba 2021, kikiwa ni kiwango cha juu zaidi kuwahi kufikiwa tangu kuanzishwa mamlaka hiyo mwaka 1996. Aidha, Julai - Desemba 2021, TRA imekusanya TZS trilioni 11.11, sawa 98% ya lengo la TZS trilioni 11.302.
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Makusanyo ya nchi ni trilioni 1.2 kwa mwezi, mishahara tu bilioni 600,Baki bilioni 600,stiglers,SGR trilioni 30, bila kukopa ni ngumu kumaliza miradi!

    Wale wanaosema tusikope, waje mezani na hesabu, nchi inakusanya Kila mwezi trilioni 1.2. Mishahara inakula bilioni 600, inabaki bilioni 600, hii ilipie umeme, maji, karatasi, mafuta ya magari,posho na mengineyo, inabaki ngapi? Haya, kama SGR inaweza kula trilioni karibu 20, maana yake serikali...
  11. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Nesi aliyesajiliwa Mshahara ni Zaidi ya 4,000,000/= kwa Mwezi.

    Ubalozi wa Marekani, Tanzania wanahitaji Nesi. Aliyessajiliwa, Mwenye uzoefu walau Miaka 2. Kazi nzuri. Kutuma Maombi fungua link hapa chini... https://erajobs.state.gov/dos-era/vacancy/viewVacancyDetail.hms?_ref=n0dhqwvrpt0&returnToSearch=true&jnum=30260&orgId=22
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania DC Hashim Komba: waliouziwa ardhi kuanzia mwezi Juni 2020 mpaka Disemba 2021, rudisha Ardhi hiyo kwani ni batili

    Wananchi wilayani Nachingwea mkoani Lindi waliouziwa ardhi katika vijiji mbalimbali kuanzia mwezi Juni 2020 mpaka Disemba 2021 wametakiwa kurudisha Ardhi hiyo kwani mauziano hayo ni batili. Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa wilaya hiyo Hashim Komba alipokuwa akizungumza katika mkutano maalumu wa...
  13. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Nashauri Rais Samia apate mapumziko, amefanya kazi kubwa sana, tangu mwezi march hajapumzika

    Afya ya Rais ni muhimu. Kazi ya Urais ni ngumu, kiongozi wa nchi halali isipokuwa masaa mchahe sana, wakati mwingine analala akiwa safarini, wakati wote kiongozi anapokea taarifa mpya kutoka ndania na nje ya nchi, Wakati wote atatakiwa kutatua changamoto au kutoa maelekezo, yamkini asipate muda...
  14. Chacha Steven Mokiri

    JamiiForums Tanzania Account ya netflix kwa mwezi

    Wale wanangu wa Kustream movies, hii hapa ofa. Unapewa log in details za NETFLIX kwa mwezi mzima. Baadala ya kulipa 10,000/- , hapa utachangia kiasi kidogo tu. 6,000/-. Ofa ni kwa watu kumi wa kwanza tu. Namba: 0621391581.
  15. Doctor MD

    JamiiForums Tanzania Njia bora zaidi za kupunguza uzito 3-4 kg kwa mwezi kwa njia ya lishe

    LISHE BORA KWA AFYA Fuata maelekezo haya ili uweze kujua aina za vyakula ili kuboresha afya yako. 1. Ulaji wa mboga za majani na matunda mbalimbali ambayo yana rangi tofauti tofauti. Hii husaidia kuzuia magonjwa mbalimbali ambayo ni sugu kwa hiyo fanya ulaji wa matunda kuwa sehemu ya mlo wako...
  16. T

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Mkoa gani mwezi huu wa December watu wake hurudi sana kwao.?

    Ni kile kipindi cha mwaka ambacho watu hupotea jijini, nafanya kautafiti kadogo kujua mkoa gani watu wake hurudi kwa wingi kushinda mkoa mwingine. Karibuni
  17. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Ni Mwezi wa Misukosuko...!

    9th December 2021.
  18. Mzee Wa Republican

    JamiiForums Tanzania Lengo la kuwa na saving ya milioni 20 ifikapo mwaka 2022 mwezi Oktoba

    Salaam sana wakuu, Tunamshukuru Muumba wa mbingu na nchi kwa kutufikisha disemba hii 2021 ambapo tunapata nafasi mtawalia ya kutafakari kwa kina malengo tuliyojiwekea kwa mwaka 2021 huku tukijipanga kwa ajili ya mwaka mpya 2022. Binafsi nina lengo la kufanya savings ifike milioni 20 ifikapo...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja, mchepuko ana ujauzito wa miezi mitatu

    Wakuu Jamaa angu kaniaomba ushauri hapa, ana mchepuko wake una mimba ya miezi mitatu na wife wake nae leo kamwambia ana mimba ya mwezi mmoja. Yeye amepanga kuwaambia wote watoe hizo mimba. Me nimemshauri amuache wife wake azae ila mchepuko utoe tu. Nyie mnampa ushauri gani huyu raia?
  20. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Serikali/Mabenki yawe na mkopo special kwaajili ya mwezi wa kwanza.

    Imekuwa ni wimbi wa kila mwaka ifikapo January watu kupiga kelele ukata. Ni wazi kuwa mwezi january uchumi huwa unadorora. Si vizuri kulialia kila mwaka. Serikali/mabenki wangekuja na mkakati wa kutoa mkopo special kwa mwezi january. Kama mtu mshahara wake takehome ni laki sita basi akapeshwe...
Back
Top Bottom