mwezi

  1. balimar

    Malalamiko ya Makato ya Deni la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) Mwezi Juni, 2021

    Hello Wadau!! Tumekuwa na tatizo la upatikanaji wa Kilipia Mshahara (Salary Slip) kwa miezi kama miwili mfululizo Hatimae mwezi June Salary Slip zinapatikana kwa mtandao Nilichokiona ni kuongezeka kwa deni la Bodi ya Mikopo (HESLB) kwa zaidi ya 100% Hiki kinanifanya nijiulize Mosi, ni...
  2. Kasomi

    Mambo tisa ya kushangaza kuuhusu Mwezi na Marekani ilipotaka kuulipua

    Umbo la mwezi hubadilika na hata rangi yake, lakini tangu jadi binadamu amekuwa akivutiwa na maumbile yake. Kuna Mwezi Mpevu, Mwezi Mwandamo, Hilali na hata wakati mwezi hupatwa na jua. Hapa ni mambo tisa ya kushangaza kuuhusu Mwezi. 1. Mwezi si tufe Mwezi una umbo la yai. Ukiuangalia kile...
  3. iamwangdamin

    Ndugu Kibosile Msemakweli, Mtanzania wa kwanza kwenda mwezini

    Wanasayansi wa anga kutoka Tanzania wanatarajia kurusha chombo kinachoitwa HAPA KAZI TU SPACE ROCKET kwenda mwezini kikiwa na Mtanzania mmoja kwenda kufanya uchunguzi na kutembelea mwezi mnamo mwezi ujao. Waziri wa Uchukuzi kamkabidhi funguo Ndugu Kibosile Msemakweli ili aweze kuwasha chombo...
  4. S

    Napendekeza tuwe na Mbunge mmoja tu kila mkoa. Halafu walipwe 50M kwa mwezi.

    Sioni sababu ya kuwa na wabunge 393 ktk nchi maskini kama hii. Halafu tija yao mm binafsi siioni kabisa japo ni wengi kiasi hicho. Kwann tusiwe na mbunge mmoja tu toka kila mkoa? Huyu awe anahushuria vikao vya RCC na kupokea mihutasari ya vikao vya madiwani toka halmashauri zote ktk mkoa husika...
  5. Samia atosha tukutane2030

    Mwezi ukiandama mnishtue. Nimekula pesa ya wife ananidai

    Wife ananidai laki 7. Take home yangu haifiki hiyo laki 7. Si mnajua jinsi bank wanavyokaba mpaka penalty. Hawana cha kuruka mwezi, wao kila mwezi wanachukua chao mapema. Mkiuona mwezi nishtueni chap nipunguze laki 5 mbili atanisamehe nikimpa chips chumbani.
  6. Meneja Wa Makampuni

    Utawala wa Biden watengeneza ajira kuliko utawala mwingine wowote katika historia - zaidi ya ajira 500,000 kwa wastani kwa mwezi

    Uchumi umetengeneza ajira zaidi ndani ya miezi minne ya kwanza ya Utawala wa Biden kuliko utawala mwingine wowote katika historia - zaidi ya ajira 500,000 kwa mwezi kwa wastani. Hiyo sio kwa bahati - mpango wa uchumi wa Biden unafanya kazi. The economy has created more jobs under the Biden...
  7. mjusilizard

    Namna ya kuishi kwa kipato cha chini ya Tsh. 330,000/- kwa mwezi

    Wasalaam, Watu wengi maeneo ya mijini vipato vyao ni wastani wa Tsh. 10,000 kwa siku, hii inafanya wengi wafikishe angalau Tsh. 330,000 kwa mwezi. Kwa kipato hiki wapo wanaishi vizuri kabisa kwa familia za watu wachache na wanaishi bila kuwa na madeni. Mchanganuo rahisi ni kama huu hapa chini...
  8. N

    Mwezi ujao Yanga itashushwa madaraja mawili, serikali ijitetee hivi huko FIFA

    Wakati wako busy kusajili wachezaji wa bilioni 1.2 na mwingine wa billion 5 huko South Africa huku itaaarifiwa pia wanaenda kutoa billions 12 kuchukua mwingine toka Misri team ya yanga fc mwezi ujao itashushwa daraja baada ya tarehe 3 july pale watakapogoma kuingiza team uwanjani vs simba. Hii...
  9. L

    Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni haijalipa nauli za likizo Desemba 2020

    Halmashauri ya tatu kwa ukusanyaji mapato Tanzania. Halmashauri inayomiliki timu ya mpira ligi kuu Tanzania. Sasa ni mwezi wa sita watumishi wengine wanaanza likizo wakati huo huo kuna watumishi walioenda likizo mwaka Jana bado hawajaipwa nauli zao. Nauli ya likizo sio hisani ni lazima kila...
  10. Erythrocyte

    CHADEMA kuitisha Baraza Kuu mwezi Julai, suala la Wabunge 19 wa Viti Maalum kumalizwa rasmi

    Hii ndio Taarifa ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe au waweza kumuita Mtemi Isike aliyoitoa kwa waandishi wa habari, alipokuwa kanda ya Magharibi katika ziara yake ya Operesheni Haki. Amesema baada ya vikao vya Baraza Kuu ratiba ya Mikutano ya hadhara nchi nzima itapangwa.
  11. Sky Eclat

    Ukiweka milioni 200 kwenye fixed deposit unapata mrejesho wa 1.5m kwa mwezi

    Wale waliokuwa wanauliza interest inayolipwa na benki kwa fixed deposit account. Niliongea na mmoja aliniambia wastani wa malipo ni kama hivyo ilivyo. Hii inawafaa wasioweza kuzungusha pesa kwa njia ya biashara. Una uhakika wa kula kila mwezi na pesa yako iko pale pale.
  12. R

    Orodha ya kesi zitakazosikilizwa na CAS mwezi Juni hadi Julai

    Hizi hapa ni orodha ya kesi zilizopo CAS ambazo zitasikilizwa mwezi wa sita hadi tarehe 1 mwezi wa saba 02.06.21 CAS 2020/A/7582 Al Sadd Sports Club v. Parma Calcio 1913 srl (FC Parma) CAS 2020/A/7583 Parma Calcio 1913 srl (FC Parma) v. Al Sadd Sports Club CAS 2021/A/7760 André Onana v. UEFA...
  13. M

    Jamani niko mitaa ya Korogwe, Same na Moshi mwezi na ila treni siioni wadau mna taarifa zozote?

    Sina hakika na badiliko lolote la ratiba lakini Treni kwa sasa inatakakuwa kama wagosi wa kaya walivyoimba, "tulizoe kusikia vijihoni". Yale makelele ya lile limashine na vijioni kama vinadisiapia hivi, hebu wadau tupeni taarifa zozote, au wanafanya sevisi kidogo.
  14. Mwande na Mndewa

    Posho za Wizara ya Fedha mwezi Machi, Aprili na Mei

    POSHO ZA WIZARA YA FEDHA MWEZI MARCH,APRIL NA MEI. Tarehe 31/03/2021 Shilingi 251,000,000/= (kazi maalum) Siku hiyo hiyo tena tarehe 31/03/2021 Shilingi 198,000,000/= -Mwezi April ilikuwa balaa. Tarehe 08/04/2021 Shilingi 44,500,000/= Tarehe 13/04/2021 Shilingi 155,295,000/= -Tarehe 30...
  15. Evelyn Salt

    Ni marekebisho gani hayo ya mfumo yanayoendelea mwezi mzima?

    Habari za jioni wataalamu..... Ni mwezi sasa mambo ya ankra yamekwama....maafisa utumishi wanasema hawajui, wengine wanasema jibu kutoka Dodoma ni "mfumo umefungwa kwa ajili ya maboresho". Maafisa wa bank hawatoi mikopo kwasababu makato hayawezi kuingizwa, mfumo umefungwa, jamani mwezi...
  16. Regent

    Mwezi wa 6 na 7 (2021) ningekuwa na uwezo ningeifuta kwenye Calender

    Mwezi unaofata wa 6 na 7 nataka uwishe fasta yaani kama ningekuwa na uwezo ningeli Edit Calender nifute mwezi wa 6 na 7. Hivi wapi kuna Time Machine nifanye Time Travel From Today to August.
  17. jitombashisho

    Hujuma? Mwezi sasa wafanyakazi hawapewi mikopo yao kisa mfumo haufanyi kazi

    Ni takribani mwezi sasa wafanyakazi walioomba mkopo benki hawapewi pesa kwa kile kinachodaiwa ni mfumo wa mawasiliano kati ya benki na mwajiri kuwa na hitilafu. Hoja hapa ni je, huo mfumo pia umechezewa ili kumchonganisha mama na wafanyakazi? Na kwanini mamlaka inayohusika na mfumo huo haitoi...
  18. jitombashisho

    Kwanini TRA sasa hawatangazi mapato ya kikodi ya kila mwezi kama ulivyokuwa utaratibu?

    Mazoea yana tabu na ukikosa kitu ama jambo ulilolizoea pia huja maswali. Mimi jitombashisho nataka kujuzwa na TRA ni kwanini takribani miezi miwili sasa hamtoi taarifa juu ya mapato ya kila mwezi?!
  19. Jokajeusi

    Sherehe za mwezi uliojaa damu, nitazianza 09 Agosti to 10 Novemba 2021. Anguko la masalia wa adui zangu

    Kwema Wakuu!! Masalia wa adui zangu mjiandae. Katika sherehe za Mwezi wa Damu, ambazo zitaanza 09August na kuisha 10November. Sherehe zitavurumushwa Kwa miezi mitatu mfululizo. Masalia wa adui zangu mjiandae, code zenu zipo tayari, mafaili yenu yapo juu ya meza hapa. Sare zitakuwa mavazi...
  20. N

    Probably mwezi ninateuliwa uDC au UDED then ninaacha kuja kuja JF

    Nina matarajio makubwa sana. Ndugu yangu Afisa kipenyo kanitonya jina langu lipo kote kote - kwenye UDC au kwenye UDED. Mwezi huu huu tunatolewa kwenye Press Release ya Msigwa - Ikiniangukia UDED basi tena JF nitakuwa ninakuja kusoma tu. Ikija kwenye UDC angalau nitakuwa ninachangia mada kwa...
Back
Top Bottom