Napenda sana kusafiri kujifunza maisha na watu wapoje.
Ila nimejifunza kuhusu maisha ya Mwanza.
Mwanza ni mji ambao kama umechelewa kidogo japo ni mji.unazidi kuongezeka na idadi ya watu kuwa wengi sana.
Kuna maeneo kipindi cha miaka 9 iliyopita ni ngumu kukuta watu,makazi,sehemu za starehee...
Planet Open School ni taasisi inayochojihusisha na utoaji wa elimu kwa wale wanaojiendeleza kielimu.
Taasisi hii inahitaji mwalimu wa biology na chemistry mwenye uwezo wa kufundisha kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita.
Mwalimu atakuwa na vipindi vitatu kila week kwa kila somo. Baada ya...
Habari wadau,
Napenda kujua upatikanaji wa Usafiri (gari) wa kutoka Mwanza kwenda Dodoma Nyakati za Mchana kuanzia saa 4!
Unakuwaje Kuna basi?
Naweza kupata private Kama ilivyo Dar, Moro au Dodoma?
Nawasilisha kwa msaada please!
Rais Samia: Tunataka Mwanza iwe kitovu cha biashara nchi za maziwa makuu, lazima tuiendeleze Mwanza iwe kitovu majirani wasitupite. Yale yote yaliyopangwa na serikali ya Mkoa wafuateni nayo, Serikali kuu tuko nyuma yenu tunakwenda kumaliza shida zilizobakia.
Najua kuna ahadi ya mpendwa wetu...
Rais Samia Suluhu Hassan leo Septemba 8, 2021 atashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania lililoandaliwa na Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) katika Viwanja vya Redcross - Magu, mkoani Mwanza.
UPDATES
- Katika Viwanja vya Redcross - Magu tukio linaendelea huku Machifu...
Kiwanja kinauzwa Buhongwa mwanza mita 800 tu kutoka stendi ya daladala buhongwa.
Ukubwa ni Squaremeter 1200
Kiwanja ni tambalale na kipo barabarani kabisa, eneo limeendelea kwa makazi ya watu.... Huduma za umeme na maji zimefika.
Bei Tsh. 18,000,000. Hakina udalali ongea na mwenye nyumba...
Siku moja naingia jiji la mwanza kikazi nilibaki kushangaa kwa niliyokuwa naona.
Mwanza kuna kila aina ya wanawake warembo mikoa yote.
Mwanza kuna vyuo vingi na ofisi nyingi kuanzia serekali na binafsi.
Wanawake wazuri na kila aina iliyopo toka mikoa mbalimbali mpaka mataifa jirani kote...
Habari zenu wakuu,
Katika kutafuta mishe za kazi nimefikiria kutua mwanza kufatilia kazi kwenye mradi wa reli. Naombeni ushauri niende nikajitose au namna kwa sasa nipo Dsm.
Ni basi gani zuri kwasasa nikiwa na maana sio uzuri tu wa muonekano wa nje na ndani bali pia ambalo linaweza nifikisha mapema ukilinganisha na mabasi ya kampuni nyingine.
Mana kuna yale mabasi ambayo ukitoka hapa Dar saa 12 asubuhi Mwanza unafika kuanzia saa saba usiku sasa haya mabasi hapana...
Hebu tuwe serious na maisha nyie Wana ccm hivi mnaona sahihi haya MAKATO ya MIAMALA? Imagine nikitaka kufanya transaction ya milioni moja ni 40,000/= hii ni nauli ya Msamvu mpaka Nyegezi stand au stand ya Nato.
Salaam Wakuu,
Afisa Biashara Manispaa ya Ilemela, amelalamikiwa na Wafanyabiashara wadogo kwamba anafanya kazi kwa kukomoa na hasikilizi Matatizo yao.
Wafanyabiashara wadogo Manispaa ya Ilemela wameomba Serikali iwasikilize kilio chao kuliko kuwafungia biashara.
Hapa chini ni nukuu ya Maneno...
Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa Mwanza - Isaka waanza kwa kasi
Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
Mpaka sasa hivi tunaendelea kushughulikia sakata la kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA walipokuwa kwenye misa jana Kawekamo, Mwanza. Waliopo mahabusu ni katibu wa kanda ya Victoria, Mwenyekiti wa Ilemela, katibu wa Nyamagana na wanachama wengine jumla yao ni 20.
OCD asubuhi ya leo...
Wakuu, nimepata hii updates ila kwa kweli hata kama Polisi wetu wanatumwa basi at least watumie hata akili. Why wanalazimisha kujenga chuki isiyomithilika kwenye jamii?? Was it necessary?
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi na baadhi ya Askari Wanyama pori wanaozea gerezani kwa kufanya...
Watu wa kanda ya ziwa ni wengi sana nchini na ndiyo maana kila mgombea urais huwa anakimbilia huko kuomba akubalike. Watu wa kanda ya ziwa wanakadiliwa kufikia million 32 kwa mjibu wa sensa ya 2002.
2. Kanda ya ziwa imetawaliwa na kabila la Wasukuma ambao wamejaa mikoa ya Simiyu, Shinyanga...
Katibu wa Kanda ya Victoria Zacharia Obad pamoja na viongozi na wanachama kadhaa wamekamatwa na Polisi walipohudhuria misa leo Agosti 15, 2021 katika Parokia ya Kawekamo, Mwanza kumwombea mwenyekiti wa chama Mhe. @freemanmbowetz
Tutaendelea kufuatilia tutatoa taarifa zaidi. https://t.co/P7Euv1cI2S
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.