chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 7,581
- 15,721
Napenda sana kusafiri kujifunza maisha na watu wapoje.
Ila nimejifunza kuhusu maisha ya Mwanza.
Mwanza ni mji ambao kama umechelewa kidogo japo ni mji.unazidi kuongezeka na idadi ya watu kuwa wengi sana.
Kuna maeneo kipindi cha miaka 9 iliyopita ni ngumu kukuta watu,makazi,sehemu za starehee na n.k.
Idadi ya wafanyabiashara ni kubwa mpaka watu naowafahamu kutoka dar na mikoa ya mbalimbali kama mtwara,mbeya,tanga na n.k wote wapo huku.
Kasoro ya mwanza barabara za ndani bado ni tatizo na sehemu kubwa ya mwanza kunaitaji mitaro mikubwa na midogo kutokana na jografia yake.
Suala la chakula mwanza sio tatizo unaweza kula hata kwa shilingi 1000.
Mzunguko wa pesa mwanza ni mkubwa kwa kila biashara.
Maswala ya bata mwanza wameweza kila kona ni viwanja kujimwaga.
Chizcom wiki inayokuja naelekea Bukoba