Geita: Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa Richa 4.8 latikisa

MC44

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
2,170
3,270
Limepita saa hii 05:38am na kudumu kwa sek 10 hv.

Sijui maeneo mengine vipi.

2736BC72-9F40-47D8-8519-946B7B7CC46A.jpeg

5707B758-301D-4F3E-BA81-C8029C883FF2.jpeg


389093DB-7119-4B7A-918A-A79235DAF421.jpeg
 
Muda huu majira ya saa 5:38 alfajiri, tetemeko la ardhi limepita viunga vya mwanza.

Tetemeko hilo la ardhi limedumu kwa takribani sekunde 9-10 lakini hakuna madhara yoyote yaliyotokea hadi sasa
 
Nachojiuliza kwanini miaka ya hivi karibuni limekuwa likipimata Sana Kuna shida gani..? Waseme haraka tusije tumbukia ardhini!
 
Nachojiuliza kwanini miaka ya hivi karibuni limekuwa likipimata Sana Kuna shida gani..? Waseme haraka tusije tumbukia ardhini!
... Unlike other natural disasters whose occurrance can be predicted with high precision, earthquakes can't be. Earthquake parameters can only be available aftermath and not otherwise!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom