Katika Jiji la Mwanza Tanesco Nyakato imeshindwa kutatua kero za wananchi. Wananchi wamelalamika kutofungiwa umeme kwa muda mrefu huku wakidai kupeleka form zao katika kituo hicho kwa mda mrefu wakiahidiwa surveyor kupigiwa simu bila Mafanikio
Manager wa Tanesco amedai wanagali mbili na...
Wakuu mnogage.
Kwa mujibu wa BBC ikimhoji mtaalam wa Uchumi imebainika kwamba mzigo unaoingia bandari ya Dar es Salaam kuelekea Nchi za jirani via Central corridor ni asilimia 10% tu ya mzigo huo unaelekea bandari ya Mwanza wakati asilimia 41% huelekea bandari ya Kigoma.
Cha kushangaza...
Natafuta chimbo zuri la kupata mzigo mzuri wa nguo za mtumba grade one kwa Mwanza ni wapi naweza pata, nataka nifanye biashara ya nguo na mtaji wangu ni kidogo siwezi kununua belo lakini pia naogopa kupata lonya ipo 250k
Naomba msaada kwa wajuzi?
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel Luhumbi ameagiza uchunguzi dhidi ya upotevu wa Tsh. Milioni 353.2 zilizotekwa kwa ajili ya maendeleo ya Wilaya ya Sengerema lakini hazikutumika.
RC amesema fedha hizo hazikufuata sheria za fedha za umma na hivyo zinaonekana ni sawa na wizi tu. Fedha hizo...
Taarifa ya ajali
SSP Babu Sanare OCD Bukoba amepata ajali mbaya gari yake kupinduka maeneo ya Igaka Sengerema na kupelekea kifo chake.
Bwana ametwaa jina la bwana lihidimiwe.
Nina mtaji WA laki 7. Nahitaji mtu mwema anaejua kwa mtaji huo naweza kufanya nn japo nipate elfu tano kwa siku au Kama kuna biashara anafanya tuunganishe nguvu pamoja
Wale wa Mambo ya forever sjui smile we care mkae mbali kabisa
NB: Matapeli pia msjidanganye tamtoa roho mtu wala sihitaji enda...
Kiwanja chenye nyumba na frem za maduka kinauzwa Igoma Jijini Mwanza
Details
Size: hatua 60 kwa 40 (hatua za miguu za mtu mzima)
Huduma zote za kijamii zipo wakuu wangu.
Eneo lilishaendelea zamani tu ndio maana bei imechangamka.!!
Bei: 75 million.
Piga simu 0683011003
JINSI YA KUFIKA...
Wakuu Salam kwenu,
Naenda kwenye mada moja kwa moja
UDSM inaendesha medicine pitia brunch yao iliyopo Mbeya na hutumia Mbeya zonal referal hospital Kama teaching hospital,
Kuna tahalifa za Mambo mengi ikiwa ni pamoja na mdau mmoja aliewahi leta malamiko yake apa jf kuhusu Mbeya ZONAL...
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Mwanza anatafakari kuhusu Ramani ya Kimkakati (Strategy Map) iliyo muhtasari wa ukurasa mmoja wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa 2021/22 hadi 2025/26 (uk. 70)
Tangu serikali ya wamu ya sita, chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, ilipoanza kazi nimekuwa najiuliza...
VIJANA TUKISHINDWA KUFANIKIWA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MATENDO YA MAONO HAYA YA MH RAIS MAMA SAMIA, BASI TENA.
Na: Philipo Mwakibinga.
Leo nimepata bahati ya kuudhuria Kongamano la Mh Rais wa JMT na Vijana wa Tanzania kupitia Vijana wa Wakanda ya Ziwa lililofanyika katika uwanja wa Nyamagana...
Leo Rais ametunyoshea mkono vijana kwa kuwa hatueleweki. Hatuna mipango. Amesema kuwa Vijana wamekuwa wabeba maono/ Mabegi wa watu. Hatuna dira kama Vijana hata sera ya tangu 2007 haina maboresho yoyote.
Nikiri kuwa Mimi ni sehemu ya tulioshiriki kuandaa rasimu ya Vijana ambayo sasa ni miaka 6...
Binafsi nilijiandaa sana kuja kuongea na Mh. Rais nimweleze changamoto na masuluhisho kadhaa kwa baadhi ya changamoto tulizo nazo vijana mitaani.
Achana na mawaziri hawajui changamoto zetu sababu hawajavaa viatu vyetu. Mimi sikuja na chama chochote. Nilikuja na hoja na naona ntaondoka nazo kama...
Rais amesema Leo kuwa Ma-DC wote wapya watakuwa vijana maana karibuni anataka kufanya mabadiliko makubwa na wote watakaochukua nafasi ni vijana.
Kama ni kweli hii basi Natoa pongezi kwake.
========
"Vijana tunaomba mjitambue kuwa niyi vijana ndio wenye maoni ya taifa hili kwa sasa na karibu...
Katika muendelezo wa Rais Samia kukutana na kuongea na Makundi mbalimbali nchini, leo ataongea na Vijana wa Tanzania kupitia vijana wa mkoa wa Mwanza katika Uwanja wa Michezo wa Nyamagana.
Taarifa zaidi zinafuata:
Mkuu wa mkoa wa Mwanza ameanza kwa kuwatambulisha watu mbalimbali kwa...
Huu ni uzi huru (sio rasmi)
Kumulika Ziara ya Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan mkoani Mwanza ambapo ataongea na vijana wa Kanda ya ziwa kwa niaba ya vijana watanzania yote.
Huu ni muendelezo wa Rais Samia kukutana na kuongea na Makundi Mbali mbali katika jamii.
Ikumbukwa...
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan yuko katika siku ya 2 ya ziara yake Jijini mwanza ambapo leo tarehe 14 Juni, 2021 atakagua Mradi wa Ujenzi wa Daraja la JPM (Kigongo -Busisi), utafungua Mradi wa Maji Misungwi na kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) (Mwanza - Isaka).
Tutapeana...
MAMBO 6 ATAKAYOYAFANYA MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWENYE ZIARA YAKE YA SIKU 3 MKOANI MWANZA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Mhe Samia Suluhu Hassan anaanza rasmi ziara ya siku 3 mkoani Mwanza kuanzia leo Jumapili Juni 13, 2021. Haya ndiyo mambo 6 atakayoyafanya...
Saa Nne Kamili Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan atawasili mkoani Mwanza kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu.
Rais wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan katika Ziara hii anatarajiwa kutembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali mkoani Mwanza ukiwemo wa ujenzi wa daraja la...
Huyu aliekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ndugu Albert Chalamila na kuhamishiwa Mwanza kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa inawezekana kabisa hakuridhika na uhamisho wake hivyo zile kauli zake baada ya uhamisho ukiangalia kwa jicho la ukamisaa inaonyesha kabisa kama ameropoka makusudi kabisa.
Na katika utenguzi...
Chalamila alitoa ruksa kwamba tunaweza kubeba mabango kumkaribisha Raisi na kuandika chochote, hata tusi. Chalamila kaondolewa, lakini sijasikia serikali ikibatilisha tamko hili la ruksa.
Nadhani busara zitumike, na batilisho litolewe. La sivyo mkiona bango langu lina matusi ya nguoni tusilaumiane.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.