mwanza

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mwanza kiwingu cha mvua kimetanda. Rais Samia Suluhu karibu sana

    Katika kuazimisha miaka hamsini ya Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, tumeshuhudia ugeni mkubwa wa Mh. Rais Samia S. Hassani, watu wamejitokeza kwenye viunga vya Jiji la Mwanza kumpokea. Tunaomba uongeze nguvu katika hospitali yetu ya Bugando iweze kutoa huduma bora zaidi kwa wananchi wa...
  2. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Ukihitaji kiwanja/shamba Jijini Mwanza usisite kunitafuta

    Habari JF? Mimi nahusika na kutafutia watu viwanja na mashamba, nawaunganisha na wauzaji kwa bei nafuu kabisa. Kwa sasa nina kiwanja maeneo ya kisesa karibu na round about ya usagara, mita 200 kutoka lami. Size yake ni 25*30 Miundo mbini yote ipo, umeme na maji yapo karibu Bei yake ni...
  3. Tuelimishanee

    JamiiForums Tanzania Lodge / Hotel nzuri Mwanza

    Wadau wa JF naomba kuhulizia Lodge / Gest house nzuri ambayo inapatikana Maeneo ya Nyegezi au karibia hayo maeneo ni ipi?? Ambayo bei zake ni nafuu Msaada tafadhali itapendeza ukinitajia jina na mawasiliano tafadhali.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Marekebisho yafanyike kwenye tawi la NMB Buzuruga - Mwanza

    Nianze kwa kusema kuwa NMB ni Benki inayopendwa na Watanzania wengi kuliko Mabenki mengine yote. Katika Tawi la NMB - Buzuruga kuna matatizo makubwa. (1) Kuna madirisha 6 ya kuwahudumia wateja lakini madirisha 2 au moja ndiyo kila siku inafanya kazi. Mteja anaweza akapanga foleni kwa muda wa...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Watu watano wa familia moja waungua moto na kufariki dunia

    Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Ramadhani Ng'anzi amethibitisha vifo vya watu watano wa familia moja walioungua moto ndani ya nyumba yao katika eneo la Mandela jijini Mwanza. Chanzo: Nipashe
  6. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

    Hakika ubora wa miundombinu ya barabara ikiwa mizuri hakuna kinachoshindikana. Muda huu ni saa 22:30 basi la kampuni ya Super Feo limeondoka Singida kuelekea Jiji la miamba Mwanza. Wale wadau wa usafirishaji mnaionaje na imekaaje hii..? 🧭 Yule anayetaka kujua umbali kwa mfumo wa picha...
  7. beka jr

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu bei ya dagaa mafuta Mwanza

    Anayefahamu bei ya dagaa mafuta Mwanza. Msaada hapo
  8. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania Rushwa yatawala SGR Mwanza

    Habari za muda huu wanajukwaa. Moja kwa moja naomba niende kwenye mada. Katika mradi wa SGR katika kituo cha Fela katika wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, kumekuwa na tabia ya mafomeni kupokea rushwa ili kuwapa kazi watu ambao wapo nje ya kampuni. Kitendo hicho kimepelekea watu kufukuzwa kazi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwa mlio Mwanza tafadhali nisaidieni case law hii

    Ipo kwenye TanzLii lakini kuna some missing pages page no.6 and 13.. Naomba tafadhali kama kuna aliye Court of Appeal Mwanza anisaidie kuniwekea complete judgement. Pia ikiwezekana na High Court Judgement. Please and please IN THE COURT OF APPEAL OF TANZANIA...
  10. Kelvin X

    JamiiForums Tanzania Ni basi gani zuri la Dar - Mwanza?

    Naomba kuuliza ni bus gani zuri luxury lenye choo ndani linalo toka Dar kwenda Mwanza. Asante
  11. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Kuhamisha Wamachinga kwa kuvunja miundombinu yao na kupora mali zao ni uhalifu kwa DSM na Mwanza

    Ni takribani wiki mbili sasa wafanyabiashara ndogo-ndogo (wajasiriamali au wamachinga) waliagizwa na serikali za mikoa mbalimbali kuhama kutoka katikati ya miji mikubwa na ama kuelekezwa wapi waende au bila kupewa eneo mbadala na rafiki kwa biashara. Wamachinga walitoa mawazo yao ili...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu imemteua Jaji Joachim Tiganga kutoka Kanda ya Mwanza kuendelea kusikiliza Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake

    Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Mahakama Kuu kwa vyombo vya habari Yeyote mwenye wasifu wa Jaji huyu mpya atuwekee hapa ili tupate kumfahamu , Bali taarifa za awali zinaonyesha kwamba ALIAPISHWA KUWA JAJI NA RAIS WA AWAMU YA 5 , HAYATI JOHN MAGUFULI ------ Jaji mpya katika kesi ya...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Nyamhanga na Metu, majambazi waliotikisa jiji la Mwanza baada ya vita vya Kagera. Hivi bado wapo hai?

    Baada ya ya vita vya Kagera siraha zilitapakaa sana mkoani Mwanza na kanda ya ziwa. Majambazi wakubwa waliotikisa jiji la Mwanza miaka ya 19805-1988 ni Methu na Nyamhanga. Hivi hawa watu bado wapo? Nyamhanga kwao ilikuwa milima ya Nyashana. Methu alikiwa akiishi maeneo ya Mkudi. Siku moja...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwanza: The Cask yawaka moto

    ======= Popular entertainment joint in Mwanza City, ‘The Cask and Grill’ has been reduced to ashes after a fire broke out on Sunday evening October 24. According to sources, the fire which started at around 5:00 pm caused panic among customers who were at the joint with authorities yet to...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Wamachinga waandamana kutaka kupewa vizimba katika maeneo waliyopangiwa

    Ni patashika. Ndivyo unavyoweza kuelezea mvutano kati ya wafanyabiashara wadogo jijini Mwanza na mamlaka ya Jiji hilo baada ya wafanyabiashara hao kuandamana leo Jumamosi Oktoba 23,2021 na kufunga barabara ya Nyerere eneo ya Voil kushinikiza kupewa vizimba kwenye maeneo rasmi. Kundi la...
  16. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Machinga waandamana Mwanza leo

    Mytake: Hakika Magufuli asingeruhusu watanzania wa hali ya chini kunyanyasika ndani ya nchi yao. Tupo zama hatari sana kwa wasio na pesa.
  17. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kazi za uzabuni: Buzuruga Dispensary mwanza

  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Bomoabomoa yaacha Machinga na vilio

    Hapa ni pale walipokuwa wanabomoa mabanda yao kwenye maeneo yaliyokatazwa. Sikufurahishwa na Wamachinga kuzagaa kila mahali, lakini kilio chao kimenisikitisha sana, Viongozi waliowatapeli hawa watu na kuwaweka kwenye maeneo hatarishi hadi wakajisahau namna hii walaaniwe haraka.
  19. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Karibu Galilaya nikuuzie kiwanja. 10Kms from Mwanza city centre

    Karibu sana Kiwanja kiko Jijini Mwanza. Kata: Muhandu wilaya: Nyamagana mtaa: Galilaya kiwanja kimepimwa, beacon tayari zishawekwa ukubwa wake ni 28 by 18 hatua za miguu. Miundombinu yote ipo kiwanjani. Kiko Barabarani kabisa. Bei ni 10million Tshs karibu tuwasiliane 0713096076
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Tanzania kupokea dozi 500,000 za chanjo ya Pfizer

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi 500,000 za Chanjo dhidi ya COVID19 ya Pfizer kupitia Mpango wa COVAX. Imeelezwa, Dozi hizo zitachanjwa mara mbili Akitoa Taarifa ya Wiki Jijini Mwanza amesema, "Hizi Pfizer ni sehemu ya Chanjo Dozi 3,700,000 ambazo...
Back
Top Bottom