Asante Mwanza, nikirudi nakuja kuweka makazi

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
4,127
2,000
Siku moja naingia jiji la mwanza kikazi nilibaki kushangaa kwa niliyokuwa naona.

Mwanza kuna kila aina ya wanawake warembo mikoa yote.

Mwanza kuna vyuo vingi na ofisi nyingi kuanzia serekali na binafsi.

Wanawake wazuri na kila aina iliyopo toka mikoa mbalimbali mpaka mataifa jirani kote.

Jamani Mwanza kama umekuja kuleta uwanaume wako utajikuta umeoa au kuondoka na magonjwa au mtoto.

Asante Mwanza, nikirudi nakuja kuweka makazi kuwa sehemu ya makazi kikazi!

IMG_0001.jpg


chakula cha wanaume
 

keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,861
2,000
Huku mtu ananunua nahitaji yake bila hata ya kumuua kuwa huyu jamaa ni wa sehemu gani jamani. Ndicho naichopendea.
Sehemu zingine ukifungua biashara wateja ni kabila lako tu.
Wa Tigray hawanunui mahitaji Yao kwa wa omoro wanadai hawajasoma wao wakati wanasoma wao walikuwa wakipambana na kuchunga ama kuchunga ng'ombe
 

Agogwe

JF-Expert Member
Feb 20, 2013
2,149
2,000
siku moja naingia jiji la mwanza kikazi nilibaki kushangaa kwa niliyokuwa naona.

mwanza kuna kila aina ya wanawake warembo mikoa yote.

mwanza kuna vyuo vingi na ofisi nyingi kuanzia serekali na binafsi.

wanawake wazuri na kila aina iliyopo toka mikoa mbalimbali mpaka mataifa jirani kote.

jamani mwanza kama umekuja kuleta uwanaume wako utajikuta umeoa au kuondoka na magonjwa au mtoto.

asante mwanza nikirudi nakuja kuweka makazi kuwa sehemu ya makazi kikazi !


View attachment 1909633

chakula cha wanaume
Dona la sumu kuvu na viatilifu, broiler na chainizi kwa pembeni imetoka kando kando ya mto mirongo!!
 

Getang'wan

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
2,592
2,000
siku moja naingia jiji la mwanza kikazi nilibaki kushangaa kwa niliyokuwa naona.

mwanza kuna kila aina ya wanawake warembo mikoa yote.

mwanza kuna vyuo vingi na ofisi nyingi kuanzia serekali na binafsi.

wanawake wazuri na kila aina iliyopo toka mikoa mbalimbali mpaka mataifa jirani kote.

jamani mwanza kama umekuja kuleta uwanaume wako utajikuta umeoa au kuondoka na magonjwa au mtoto.

asante mwanza nikirudi nakuja kuweka makazi kuwa sehemu ya makazi kikazi !


View attachment 1909633

chakula cha wanaume
Ila nakuomba usiue mtoto wa watu
 

Mapank

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,392
2,000
Sikatai. Mkataa asili ni mtumwa. Nalipenda sana. Tena sana. NB: sikuwa na nia ya kudharau chakula ila tu nilikuwa nalinganisha dunia yetu na dunia ya walioendelea. Nimesema hivyo kwa sababu majuu kuku ni chakula cha kimaskini sana. Vinginevyo nimedondosha mate kwani nime-mis sana dona.
Ni kuku sawa, kuku wa kimasikini huko mbele ni (Broilers). Sawa na kwetu pia broiler (6,000-8,000). Wakienyeji (10,000-25,000)
 

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
53,857
2,000
Nimecheka kinoma Sana mkuu nikiwaza udaga huo na ulivyotamka nikakumbuka lafudhi ya kisukuma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Sina mbavu mie
Huo udaga unautaja kwa kukandamiza 😁😁....

Ugali wa muhogo/udaga mtamu sana imenichukua muda kuzoea ugali wa bila muhogo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom