Msaada: Usafiri wa Mwanza kwenda Dodoma Mchana!

Msaada: Usafiri wa Mwanza kwenda Dodoma Mchana!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
8,097
Reaction score
10,945
Habari wadau,

Napenda kujua upatikanaji wa Usafiri (gari) wa kutoka Mwanza kwenda Dodoma Nyakati za Mchana kuanzia saa 4!

Unakuwaje Kuna basi?

Naweza kupata private Kama ilivyo Dar, Moro au Dodoma?

Nawasilisha kwa msaada please!
 
Kuanzia SAA ulizotaja.... panda gari ikakuache Shy... za kutoka Bukoba na Kampala kuelekea DSM zitakukuta kwenye saa 6
 
Back
Top Bottom