mwanza

  1. Mpingamkoloni

    Chalamila amalize kwanza tatizo la Daladala na Bajaj Mbeya Kabla hajapelekwa Mwanza

    Mheshimiwa Samia! Ninakubaliana na uteuzi wako kwa Mhe. Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Kijana mdogo, mchapakazi, lakini mara nyingi huwa anakuwa moto na kukosa busara, kitu ambacho kwa umri wake bado ana muda mwingi wa kujifunza. Lakini taarifa zinasema, kwa muda mrefu sana Mkuu wa...
  2. J

    Mwanza limetoka jembe limeingia sululu hakuna kisiki kitabakia, Hongereni sana!

    Mwanza na Mbeya ni mikoa inayotegemeana na kutendeana haki, hongereni sana. Ujio wa komredi Albert Chalamila unakwenda kuinua zaidi uchumi wa mkoa wa Mwanza, jambo la muhimu ni kumpa ushirikiano wa kutosha na kuchapa kazi. Mwanza limetoka jembe limeingia sululu, Yote heri. Mungu awabariki!
  3. Yenga08

    Hongereni wana Mbeya na poleni wana Mwanza

    Toka ateuliwe kuwa mkuu wa mkoa wa Mbeya huyu ndugu wana Mbeya hawajawahi kumkubali kabisa, maana utendaji wake wa kazi ni wa sifasifa tu na mda wote kwa media siyo kama Jembe la Simiyu lililopelekwa Dodoma, hongereni saana pia wana Idodomya. Naamin kabisa watu wa Mbeya watakuwa na furaha sana...
  4. Roving Journalist

    Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

    Salaam Wakuu, Huu ndo uteuzi rais kafanya. Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Bw. Mwakitalu kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka(DPP), Hamduni Mkuu wa TAKUKURU, Amos Makala kawa mkuu wa Mkoa wa Dar, Kafulila kawa mkuu wa Mkoa Arusha, Chalamila kawa mkuu wa Mkoa Mwanza, Queen...
  5. Chizi Maarifa

    Watu wa Mwanza tumemkosea nini Rais kutuletea Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa? Tumekosa nini Yarabbi!

    Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu. Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho. Mbeya wanashukuru sana maana...
  6. Nyanswe Nsame

    Mwanza yatajwa kuwa na watoto wabwia ugoro wengi

    Mwanza yatajwa kuwa na watoto wabwia ugoro wengi Mkoa wa Mwanza umetajwa kuwa ni miongoni mwa mikoa nchini yenye vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwemo ubakaji, ulawiti na mimba za utotoni kitendo ambacho kinatajwa kuwa ni hatari kwa ukuaji wa uchumi na kukosa nguvu kazi ya Taifa. Inaelezwa...
  7. Erythrocyte

    Uchumi wa Tanzania Waporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7% kutokana na Corona

    Hayo yamefichuka leo baada ya hotuba ya Mh Rais Samia Suluhu alipokuwa anawahutubia Wafanyakazi wa Tanzania kwenye kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Ameitaja Corona kama sababu kubwa ya kuanguka kwa uchumi wa Nchi yetu , ambapo amewaomba wafanyakazi kuvumilia hadi mwakani ili kuongezwa...
  8. B

    Hotuba za Wafanyakazi zimejaa malalamiko na makasiriko dhidi ya serikali, zimejaa uzuni na maumivu

    Hotuba za wafanyakazi zimejaa malalamiko na makasiriko dhidi ya serikali, zimejaa uzuni na maumivu. Wanasoma hotuba Kama hizi kwa mara ya Kwanza toka mwaka 2016 ndoto zakuandika uhalisia wa Watumishi zilipozimwa rasmi. Kwa namna zilivyoandaliwa ni Kama wanamategemeo makubwa na Rais mpya bila...
  9. instagram

    Ndugai awaponda wana Mwanza kwa kuezeka nyumba zao na Mabati ya kizamani, Masufuria

    Akitoa salamu zake mbele ya Rais Samia kwenye sherehe za wafanyakazi, spika wa bunge Job Ndugai amesema Mwanza ingependeza kama wangeacha kuezeka nyumba zao kwa masufuria, akisema "Mwanza kunapendeza lakini kwanini mnafunika nyumba zenu na masufuria? ,Ingependeza kama mngeezeka nyumba zenu na...
  10. Roving Journalist

    Mei Mosi Mwanza: Rais Samia ahutubia, aahidi kuongeza mishahara kuanzia mwakani, agusia mafao ya wastaafu

    Kutoka jijini Mwanza tunawaletea taarifa za moja kwa moja, maadhimisho ya sherehe ya siku ya wafanyakazi duniani,ambayo kitaifa yanafanyika hapa. Mgeni rasmi anatarajiwa kua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mama Samia Suluhu Hassan, ambapo atapokea maandamano ya wafanyakazi...
  11. Mwita Mtu Mrefu

    Hili ndio eneo la soko la ndizi, soko la machinjioni jijini Mwanza. Hali inatisha

    Wana bodi, natumai mko poa Katika hali ya kusikitisha, wakazi wengi wa jiji la Mwanza wanapata huduma katika hili soko la machinjioni (kitengo cha ndizi na matunda mengine) ingali hali ya mazingira ikiwa hovyo namna hii Maradhi ya mlipuko yanawanyemelea wateja na wauzaji
  12. MK254

    Wakazi wa mkoa wa Mwanza Tanzana kunufaika na huduma ya reli ya Nairobi hadi Kisumu, yajayo raha tu

    Hayawi hayawi huwa... Kenya Railways Corporation (KRC) has begun refurbishing 31 trains ahead of the launch of Nairobi - Kisumu train service. In a statement shared on Wednesday, April 28, the corporation noted that the refurbishment is being done by the state-owned Numerical Machining Complex...
  13. J

    Kanisa la SDA la Kirumba jijini Mwanza lawafuturisha waislamu!

    Katika kuonyesha Upendo na mshikamano Kanisa la SDA la Kirumba jijini Mwanza limewafuturisha waislamu. Sheikh wa Kirumba amemshukuru mchungaji wa Kanisa hilo kwa Upendo waliouonyesha. Source: Star tv
  14. Mwita Mtu Mrefu

    INAUZWA Je, unahitaji kiwanja au nyumba ya kununua jijini Mwanza?

    Hello, kama unahitaji huduma tajwa hapo juu.. kununua kiwanja/viwanja kununua nyumba karibu tukuhudumie ndani ya jiji la Mwanza (igoma, kisesa, nyegezi, n.k) Mawasiliano; 0744033555
  15. N

    Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Mwanza naomba Mwenyekiti wa Waendesha Daladala Jijini Mwanza awekwe ndani mara moja

    Jana nimemsikia Mwenyekiti wa Waendesha Daladala jijini Mwanza anaitishia serikali kwamba wasipowaondoa Waendesha Bajaji eneo la Buzuruga ataitisha mgomo mara moja! Ni ajabu sana huyu mtu kubaki uraiani mpaka sasa, anaitishia serikali yeye kama nani? Kuna watu wameanza kuleta dharau za...
  16. Mwita Mtu Mrefu

    Plot4Sale Unahitaji Nyumba/ kiwanja/Shamba ndani ya jiji la Mwanza?

    Hello JF. Karibu tukuhudumie katika Mahitaji ya kununua Nyumba katika maeneo mbalimbali ya jiji kama igoma nyegezi kisesa n.k Kununua viwanja na mashamba ndani ya jiji la mwanza sehemu kama Fumagila bado kuna mashamba makubwa yanahitaji wanunuzi Viwanja vipo vyenye hati na visivyo na hati...
  17. Kasomi

    Majaribio ya awali kiwanda cha kusafisha dhahabu Mwanza yaonesha matokeo mazuri

    Kutoa ajira 100 za mwanzo Asteria Muhozya na Tito Mselem, Dodoma Imeelezwa kuwa, Majaribio ya Awali ya Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu cha Mwanza Precious Metal Refinery ambacho ni Ubia kati ya Serikali kupiti a Shirika la Madini la Taifa (STAMICO.), yameonesha Matokeo Mazuri. Hayo yameelezwa...
  18. peno hasegawa

    Kamishna wa ardhi mkoa wa Geita haonekani ofisini, anaishi mkoa wa Mwanza

    Mh. William Lukuvi, tunaomba utusaidie kumwajibisha kamishina wa ardhi mkoa wa Geita akae ofisi ahudumie wananchi. Mtumishi huyu amekuwa haonekani ofisini na anaishi mkoa wa Mwanza anafanyia kazimkoa wa Geita. Wananchi wanateseka kupata huduma kupitia ofisi yake na ukizingatia kuwa nafasi...
  19. L

    INAUZWA Samaki fresh from Mwanza

    Anahitaji kufanya biashara ya samaki fresh kutoka Mwanza ziwa Victoria awasiliane na mimi nauza in bulk. Pia wanaohitaji samaki kwa matumizi ya nyumbani karibuni tunauza ndoo kubwa na ndogo kwa bei poa. Samaki wetu tunawasafirisha kwa ndege hivyo ukitoa oda na kulipia kesho yake unapata samaki...
  20. Nyankurungu2020

    Jiwe la msingi SGR Mwanza - Isaka kuwekwa hivi karibuni, ujenzi kuanza punde si punde

    Maandalizi kwa ajiri ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Sgr kati ya Mwanza na Isaka yamekamilika. Na jiwe la msingi litawekwa wakati wowote na rais wa JMT, SSH. Ziara ya kukagua maandalizi hayo imefanywa na waziri wa ujenzi Leonard Chamuriho akiwa na naibu wake Mwita Mwikabe na maandalizi...
Back
Top Bottom