mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. cold water

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka huyu mwanaume hana uwezo wa kunipa mimba

    Amenikuta na mtoto mmoja lakini tangu niwe na mahusiano na uyu mwanaume wa sasa mimba sikamati ameshanitambulisha kwao mahali kila kitu tayari. Situmii kizuizi chochote tunakutana siku za hatari kushiriki tendo la ndoa lakini mimba hakuna aya nilibrid tarehe 1/10/2023 nikamaliza period tarehe...
  2. PromiseLand

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya mwanaume na mwanamke

    Zipo tofauti nyingi kati ya MWANAUME na MWANAMKE zinazosababisha migongano mingi kwa wahusika kwa kutokujua, laiti kama wangezijua tungepunguza migongano na migogoro isiyo ya lazima. 1) MWANAUME aliumbwa kutokana na udongo lakini MWANAMKE hakuumbwa kutokana na udongo yeye alitolewa kwenye ubavu...
  3. cold water

    JamiiForums Tanzania Mahusiano yangu magumu mwanaume wangu hana hela

    Nina mahusiano na mwanaume kazi yake ni udereva, tulianza mahusiano mwaka Jana mwezi wa 11 hadi sasa tuko pamoja huyu mwanaume ana cheti kizuri tu cha kidato cha nne hata pharmacy anaweza soma akihitaji lakini hataki kwenda shule anasema anapenda udereva Shida ni kwamba hana pesa anasema...
  4. Kiplayer

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja kimwili

    Ndio hivyo, tunanafikiana tu eti mke mmoja! Uongo mtupu pisi zikikatiza udenda chini na kujikaza tu. Hii shughuli ni pevu mnooo.
  5. hamza mahundu

    JamiiForums Tanzania Mwanaume hakuna wa kukuoakoa

    Mwanaume Sikiliza: 》Kwenye ajali ya meli ya Titanic iliyozama waliookolewa wengi walikuwa ni wanawake! 》Yaani zaidi ya 74% ya wanawake waliokolewa 》Watoto Zaidi ya 52% na wote waliokuwa daraja la 1 & 2 wote wakiokolewa na kuendelea kupiga matonge ya ugali kama kawaida. 》Ila kwa wanaume sasa...
  6. clifford20

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikusaliti na mwanaume mwingine muache mara moja

    Hii hapa ni ngumu kumeza ni kwa ajili ya wanaume, for men saikoloji mwanamke akikusaliti au akikucheat achana nae mara moja , hata kama akikupa sababu yoyote ile. Mapenzi kwa mwanamke(achana na malaya) it involves not only a body, goes way deeper kuliko unavyofikiria. Kitendo cha mwanamke...
  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kucheza Amapiano kwa kubinua macho kama mtu anaepandisha mashetani ndio nini tena jamani?

    Nilishawahi kuona vitoto vya chuo vikicheza Amqpiqno kwa style hiyo ya kubinulisha mboni za machoxjuu na kuchezesha kope za macho kama mtu anapandisha mashetani hivi.., Ila nimeona mwanaume anafanya hivyo nimeona kituko sana..,kwanza ndio nini hivyo?
  8. Ester505

    JamiiForums Tanzania Mumewe hawezi kusimamisha tena

    Iko hivi;Kuna rafiki yangu anasema mumewe hawezi kusimamisha Tena mjegeje baada ya mshipa mmojawapo wa mjegeje kuvunjika. Huyu mumewe alienda kwa mchepuko wake,Sasa wakati wa kunyanduana ndo mchepuko akaikalia. Sasa alivyoikalia ndo mshipa wa mjegeje ukavunjika. Mumewe hakusema alivyorudi...
  9. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanamke anaetoboa mbele ya Mwanaume Halisi

    Nawasalimu kwa jina la Dp Ipo hivi hawa wavulana wanaolia lia mbele za wanawake wanatuzalilisha sana, Mwanaume hutakiw kuwa dhaifu mbele ya kiumbe cha kike hata awe na uzuri wa aina gani Hutakiwi kumuhofia hata kidogo hakikisha tu upo smart mwilini na akili mfukoni pia ila sio muhimu...
  10. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mwanaume asiyehudumia familia yake ni mbaya kuliko kafiri

    1 Thimoteo 5:8 "Lakini mtu ye yote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana Imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini". Wakuu ninaandika huu uzi nikiwa ninakumbuka mambo niliyokuwa ninayaona wakati naishi kwenye mtaa mmoja wa uswahilini hapa mjini Dar. Ni mtaa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Hivi dada ukiwa unampenda mwanaume halafu yeye hakutongozi, huwa mnafanya nini?

    Hivi dada ukiwa unampenda mwanaume alafu yeye hakutongozi, hua mnafanya nini?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Je, hawara ana haki kwenye mali ya mwanaume?

    Wakuu kuna mwanamke nilizaa nae mwaka 2007, wakati nikiwa na mke wangu, na sikuwai kuishi nae zaidi ya kuwa nilikuwa naenda alikopanga mara moja moja, na mara nyingine akishindwa kodi ya nyumba nilikuwa namlipia, na pia alikuwa na fremu ya biashara, alikua akishindwa kodi namsaidia. Mimi na wife...
  13. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Namkataaje mwanaume nisiempenda?

    Hivi namkataaje mwanaume ambaye simpendi na sioni future nae bila kum-offend asikasirike, na nataka nibaki kuwa nae friends tu cause siwezi jua the future anaweza kuwa msaada wa mambo mengine (sio mapenzi)? Naombeni ushauri......
  14. U

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa injili ya Barnaba mbwa ni bora zaidi ya mwanaume asiyetahiriwa

    Wadau hamjamboni nyote? Siyo maneno yangu bali ni kwa mujibu wa kitabu cha injili ya Barnaba inayoeleza kuwa mnyama mbwa yu bora zaidi ya Mwanaume asiyetahiriwa! Nimekuwekea nukuu yote hapo chini: Miserable condition of the uncircumcised in that a dog is better than they "The disciples...
  15. Amaru

    JamiiForums Tanzania Haya ni baadhi ya mambo ambayo single mama wanatafuta kwa mwanaume

    Haya ni baadhi ya mambo ambayo single mama wanatafuta kwa mwanaume: 1. Mwanaume Anaelewa, na kutambua shida za Single Mom. 2. Mwanaume aliye simama Kimaisha. 3. Mwanaume mwenye Fedha. 4. Mwanaume anayeweza kumlinda kihisia, mwanaume aliye kamili kihisia. 5. Mwanaume anayeleta Usalama...
  16. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Kama mwanamke, taja vitu 3 vya kushikika ambavyo mwanaume atafaidika navyo aki-date na wewe

    Tiririkeni sasa tuone mmejipangaje. Siyo kila siku mnawananga wanaume hivi mara wanaume vilee.. Lile chama la "Mwanaume kataa ndoa" njooni hapa mpewe sababu za kutokukataa ndoa.. Wanawake huu ndo uzi wenu ambao ndiyo turufu pekee ya kuligaragaza hili chama la "mwanaume kataa ndoa".
  17. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anayepinga kuoa na ndoa halafu yupo magetoni anahangaika na masufuria kupika, ni masikini wa akili

    Ukweli usemwe, mwanaume yeyote ambae yupo maghettoni na anahangaika na Masufuria kupika ni mjinga wa kutupwa. Akili ni nywele ndio nao hao wakataa ndoa wanaopika na kuhangaikia na Masufuria huko maghetoni ni masikini wa akili. You hate toilets yet you're the most frequent toilet user, that's...
  18. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mungu hakufanya makosa kumfanya mwanaume kuwa kichwa katika jamii zetu

    Hapo zamani za kale Mungu alidhihiri mamlaka na uwepo wake kwenye nafsi za wanaume na ndiomana alifanya mwanaume amuoe mwanamke ili aendeshe familia kwa mfano wa Mungu. Je, endapo jamii au familia inaongozwa na mwanamke huyu Mungu hubadirisha utaratibu na kanuni za umungu wake? Mungu atabaki...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Utamwambia vipi mwanaume kuwa hajawahi kukufikisha kileleni bila kumfanya ajisikie vibaya?

    Kuna binti hapa ananiambia eti amekua kwenye mahusiano kwa mwaka mzima ila kwa kipindi.chote hicho jamaa hajawahi kumkojoza hata mara moja. Anadai genye za muda mrefu zimesababisha awe frustrated ila anaogopa kwa vile anampenda mtu wake anaogopa akimwambia atajisikia vibaya hasa ukizingatia...
  20. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Mwanaume yupi ukiolewa nae utaenjoi sana ndoa?

    Kuna swali hapa nimeulizwa Money Penny, eti mwanaume wa ngapi kuzaliwa ni mzuri na utainjoi ndao ukiolewa nae? Mwanaume wa Kwanza kuzaliwa? Mwanaume wa Mwisho kuzaliwa? Mwanaume wa nne kuzaliwa? Nyuzi zangu: Kaka wa kipare ashindwa kumtongoza Vera Sidika.... Story: Fumanizi la ukubwani...
Back
Top Bottom