Ukweli usemwe, mwanaume yeyote ambae yupo maghettoni na anahangaika na Masufuria kupika ni mjinga wa kutupwa. Akili ni nywele ndio nao hao wakataa ndoa wanaopika na kuhangaikia na Masufuria huko maghetoni ni masikini wa akili.
You hate toilets yet you're the most frequent toilet user, that's...
Hapo zamani za kale Mungu alidhihiri mamlaka na uwepo wake kwenye nafsi za wanaume na ndiomana alifanya mwanaume amuoe mwanamke ili aendeshe familia kwa mfano wa Mungu.
Je, endapo jamii au familia inaongozwa na mwanamke huyu Mungu hubadirisha utaratibu na kanuni za umungu wake?
Mungu atabaki...
Kuna binti hapa ananiambia eti amekua kwenye mahusiano kwa mwaka mzima ila kwa kipindi.chote hicho jamaa hajawahi kumkojoza hata mara moja.
Anadai genye za muda mrefu zimesababisha awe frustrated ila anaogopa kwa vile anampenda mtu wake anaogopa akimwambia atajisikia vibaya hasa ukizingatia...
Kuna swali hapa nimeulizwa
Money Penny, eti mwanaume wa ngapi kuzaliwa ni mzuri na utainjoi ndao ukiolewa nae?
Mwanaume wa Kwanza kuzaliwa?
Mwanaume wa Mwisho kuzaliwa?
Mwanaume wa nne kuzaliwa?
Nyuzi zangu:
Kaka wa kipare ashindwa kumtongoza Vera Sidika....
Story: Fumanizi la ukubwani...
Ukihitaji salamu nenda kijijini kwenu, kwangu huo muda sina utaambulia chuya tu!.
Hivi nyie mashorobaro ni lini mtapata akili? Hivi aliyewaambia mwanamke ukimuudhi umpatie leso au tissue afute machozi nani?
Leo sina mengi,nadhani ujumbe umefika.
Sina muda wa kuandika nina muda wa kutumia pesa.
Ndio hivyo
Kwani uongo??
Tatizo hamtusikilizagi
Na wote mnaotusikiliza mnatoboaga Sana kimaisha
1 Peter 3:7-9 New Living Translation (NLT)In the same way, you husbands must give honor to your wives. Treat your wife with understanding as you live together. She may be weaker than you are, but...
Mida ya saa kumi jioni ya leo Septemba 4, 2023 nilipita maeneo haya ya Jangwani karibu na mto, nikaona kuna mwili wa mwanaume ukiwa umetupwa.
Mashuhuda wanadai itakuwa jamaa ameshambuliwa na kuuliwa kisha kutupwa eneo hilo.
Sijajua huo mwili ni wan ani hasa lakini nimeshuhudia Jeshi la Polisi...
Jamani wazima?
Sisemi nimepata au sijapata ila kwa sasa nimesitisha utafutaji wa mume kabisa na asanteni kwa ushirikiano wenu. Kweli i was so happy kumeet na watu wanaheshima, upendo na ushirikiano wenu sijapata mtu aliyenikwaza hata kidogo.
Nawatakia Jumapili njema.
Habari Wana JF?
Katika pita pita zangu na pilika za mtu mwusi, nimekutana na Kifaa nilichokifanyia tafiti umuhimu wake, nashauri Kila mwanaume smart na aliyekua busy lazima awe nacho, na ikibidi atembee nacho Kila anapokwenda.
Kifaa hicho si kingine Bali ni TUMMY TRIMMER.
UMUHIMU WA KIFAA...
Asalam Aleykum, tumsifu Yesu kristo, Bwana Yesu asifiwe. Wanawake wanawake wanawake hakuna limbwata ya kumkalisha mwanaume chini.
Mwanaume kama hakupendi ni hakupendi tu usijihangaishe. Ukimpa mwanaume limbwata kama hakupendi hufui dafu bali utamfanya apende anavyovipenda siku zote.
Kama ni...
Nitoe mfano, majina yakiwa ya kutunga.
Mwaka 2008 Fred akiwa na miaka 26 alifunga ndoa na Recho mwenye miaka 25. Wote walikuwa bado ni vijana wabichi kabisa wanavutia.
Kufikia Leo Fredi ana miaka 41 huku Recho ana 40, unaweza kuhisi Fred alioa dada yake.
Fred ni rafiki yangu, anakiri kwamba...
Hii ni maada kwajili ya wanaume ambao tayari wameanza kujipambania na wanajua hali ilivyo, wale ambao bado hamjaanza au mna shughuli zenu ila mnakaa kwa wazazi mpishe kidogo.
Wewe mwanaume ambae ni kichwa cha familia na unajua jinsi upambanaji ulivyo, umepambana kutafuta pesa ya chakula...
Wanaume tumekuwa tukiangaika sana juu ya kufanya vizuri tuwapo kwenye tendo, wapo wanaotumia sijui mkongo, vidonge, energy drinks nakadhalika ili kuwa na pafomansi nzuri kwenye tendo.
Hivyo vyote hapo juu vina madhara kiafya tena vinakumaliza kabisa maana kuna kipindi usipovitumia hivyo huwezi...
Mwanaume mmoja amelazwa Hospitali nchini Kenya baada ya kujichoma moto katika eneo la Mwembe Tayari Kaunti ya Mombasa huku chanzo cha kufanya hivyo kikiwa bado hakijafahamika ingawa taarifa za awali zinasema sababu ni kutuma ujumbe kwa serikali kuhusu ugumu wa maisha.
Video inayosambazwa...
Uzoefu unaonyesha katika familia nyingi ndugu wa mwanamke ndio anaweza kutoboa na kuishi kwa amani kwenye familia nyingi. Ndugu wa mwanaume ni mara chache sana, tena wanaishi kwa kufosi.
Tatizo huwa ni nini?
Embu leo wanawake semeni sisi wanaume tushaongea sana now tunaona mmejirekebisha.
Haya leo zamu yenu ni hali ipi ukiona kwa mtu wako au mchepuko wako au mwanaume ambaye umepanga kuzagamua naye siku hiyo mzuka wako unakata kabisa unakaza kutoa kufuli na ukitoa unasema huyu amalize aende zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.