Mwanaume unaefuga kucha huwa unazitumia vipi?

My Honest Book

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
1,356
2,100
Kichwa kimenyooka bila shaaka, asee mimi naongea na wewe mwamba unaefuga kucha yaani kucha ndefu mkono mzima hua mnayatumia vip.

Au huwa mnafeel vipi mkijiona na izo kucha wazee, mimi nimejaribu kuiona hii hali ya kawaida ila imekua ikinikata sana nikiona hii kitu
 
Kichwa kimenyooka bila shaaka,asee mimi naongea na ww mwamba unaefuga kucha yaani kucha ndefu mkono mzima hua mnayatumia vip..

Au huwa mnafeel vip mkijiona na izo kucha wazee,me nimejaribu kuiona hii hali ya kawaida ila imekua ikinikata sana nikiona hii kitu
Bro wangu ana kucha ndefu sana kwenye madole gumba ya mikononi, ana roho mbaya sana na chuki, ni mtu mmoja hivi wa aina yake kama mchawi. Misibani haendi harusini haendi, kanisani haendi yeye ni yeye kujidai, kujiona, kujisikia na kila aina ya maringo ni yeye.

Mfuga mikucha yoyote wa kiume ni mchawi
 
Kichwa kimenyooka bila shaaka,asee mimi naongea na ww mwamba unaefuga kucha yaani kucha ndefu mkono mzima hua mnayatumia vip..

Au huwa mnafeel vip mkijiona na izo kucha wazee,me nimejaribu kuiona hii hali ya kawaida ila imekua ikinikata sana nikiona hii kitu
Wanaita SUNA

FaizaFoxy njoo uelezee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom