mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Brain Kingdom

    Upekee wa Mwanamke ni chuchu embe na sura nzuri

    Hello JF family, Tusilazimishane, makalio si chochote kwa mwanamke, makalio sio innovation wala creativity, na sio unique attribute kwa mwanamke. Upekee wa mwanamke ama wanawake ni chuchu embe na sura nzuri. Tuwe wakweli, mwanamke mwenye chuchu bomba na sura nzuri ana mvuto wote, hata mashetani...
  2. Infinite_Kiumeni

    Mwanaume Maisha ni Mapambano, chagua moja kati ya haya

    Kupambana sio kutafuta hela tu. Kupambana ni kitendo cha kuwa bora na mwenye thamani zaidi kila siku. Tangu umezaliwa hauna thamani kulinganisha na mtoto wa kike. Usikae kulalamika kuhusu hilo. Ni juu yako kupambana na kukuza thamani yako. Na utaheshimiwa zaidi kadri unavyozidi kupanda juu...
  3. Kasiano Muyenzi

    Mwanaume ni mtafuta hela, kiongozi wa familia

    Kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kikristo, mwanaume Mkristo, lazima uiandae na kuitunza familia yako, usipofanya hivyo utakuwa umeikana imani na utakuwa ni mbaya zaidi kuliko kafiri - 1 Tim 5: 8. Mungu alimpa mwanaume kazi kabla hajampa mke (Mwanzo 2:15). Ila mwanamume asipokuwa na uwezo...
  4. Bumpy Johnson

    Uaminifu wa mwanamke hujaribiwa wakati mwanamume wake hana chochote na Uaminifu wa mwanaume hujaribiwa wakati ana kila kitu

    Inawezekana kwamba msemo huu unashiria kwamba mwanamke anakuwa na uaminifu mdogo wakati mume wake hana utajiri, wakati mwanaume anapokuwa na kila kitu, anahitaji kujaribiwa kuhusu uaminifu wake kwa sababu anaweza kuwa na fursa nyingi za kuwa na wanawake wengine. Hata hivyo, ni muhimu kukumbuka...
  5. Okrap

    Mwanaume uliumbiwa kutoa

    Mwanaume lazima afanye kazi kwa ajili ya mwanamke wake. Mwanamume ambaye hayuko tayari kutoa hatakiwi kumiliki mwanamke. Kuna huu ujinga unaojitokeza siku hizi kwa wanaume kusubiri wanawake watoe. Hii ni kinyume cha maadili ya uanaume, mwanaume aliumbwa kutoa kila kitu kwa mwanamke wake. Mahaba...
  6. Equation x

    Mwanamke yeyote anayetaka ndoa kwa mwanaume, atafanya mambo haya

    Mwanamke yeyote anayetaka ndoa kwa mwanaume, lazima atafanya mambo haya amtembeleapo mpenzi wake wa kiume:- Kufua nguo Kupika Kusafisha nyumba Kutandika kitanda Kutoa mapenzi moto moto Kuongea kwa lugha ya upole Kumpangia/kumuandalia mpenzi wake nguo za kuvaa Kama hafanyi hayo mambo; juwa...
  7. Infinite_Kiumeni

    Mwanaume, kitu muhimu kwenye Mahusiano ni kumuongoza Mwanamke

    Kama kuna kitu hujajifunza basi kitu pekee ukichukue ni uongozi. Muongoze mwanamke tangu unamsalimia ‘mambo’ hadi mkiwa kitandani. Na kama unaendelea naye na mahusiano, endelea kumuongoza hadi pale kifo kitawatenganisha. Ukiacha kumuongoza ndo mazoea huanza. Wote mnakosa hamu ya kimapenzi kwa...
  8. Nyuki Mdogo

    Kwenye kila mwanaume aliyefilisika...

    90% ni ukweli😅😅
  9. mwanzo wetu

    Huu ndio Usalama wa mwanaume

    Habari vijana wenzangu pamoja na wanajukwaa Kwa ujumla.. Na tumai mko salama wote , Jambo kuu ni kwa wapenda sketi hasa vijana. Vijana Sasa hivi tunakumbwa na magonjwa mengi hasa yanayotokana na kufanya ngongo isiyo salama. Kuna Kila sababu wanaume kujali sana afya zetu Ili tudumu Kwa mda...
  10. B

    Suala la mwanaume kuoa miaka hii ni gumu, labda mtu ujilipue tu

    Mitaani kuna mabinti wachache sana ambao wanafaa kuwa wife materials, ila wengi ni shida..nimeona ili mwanaume upate mke inabidi aidha umwombe Mungu sana, au ukubaliane na ujinga wa mwanamke Kama vile 1)Ukimtongoza leo kesho akikuomba hela, ingawa unajua hii ni red flag, we mpe kama unayo, kama...
  11. Okrap

    Njia nyepesi ya kumfukuza mwanaume

    Muombe hela tu mwanaume akikutongoza wewe umtaki muombe hela tu akikutumia uyo kweli anakupenda nakuganda 🤗🤗🤗 napenda pesa jaman ukija kwangu unatakiwa uwe mvumilivu na kibunda pia
  12. Melki Wamatukio

    Nimepata kuamini kuwa, hakuna mwanaume anayekula mke wa mtu kwa kudhamiria

    Wiki iliyopita nilikutana na mwanamke niliyefahamiana zamani sana, tena utotoni kabisaa, hata ugwadu wa barehe niliumalizia kwake, sio mimi tu, hata na marafiki zangu waliponea kwake na kwa marafiki zake kwa ujumla. Nilikutana nae maeneo ya Sinza Siku iliyofuata alinialika kwake maeneo ya...
  13. Engager

    Mwanaume unaemkataza mkeo kufanya kazi unafanya makosa makubwa

    Pengine wewe ni mwajiriwa ama umejiajiri. Unauwezo kifedha. Umemzuia mkeo kufanya kazi kwa sababu wewe unamtimizia haja zake zote kifedha. Unahudumia familia, na yeye as an individual unamhudumia. Pengine zaidi ya hata angefanya hiyo kazi. Kazi kwa maana ya shughuli yoyote inayoweza kumfanya...
  14. Expensive life

    Mwanaume kama huyu anapatikana mkoa gani?

  15. kavulata

    Kwanini mwanaume anamchoka mwanamke Haraka?

    Macho, pua, masikio, ulimi na Ngozi ya mwili huwa vina tabia ya kuchoshwa na kukinaishwa na kuona, kunusa, kusikia, kuonja na kugusa kitu cha aina moja tu kilekile kukiona, kukinusa, kukisikia, kukionja na kukigusa kila mara kwa muda mrefu. Mfano, mtu huwa anaishangaa na kulipenda vazi jipya...
  16. Nyendo

    Mwanamke, Ukipata fursa usiiache kisa mwanaume uliyenaye

    Wanawake ukipata fursa yoyote kwenye maisha yako usiiache eti kisa kuogopa mwanaume au kuwaza kuwa mbali na huyo mwanaume. Wanawake jifunzeni kujiweka wa kwanza kwenye kila kitu kwani hao wanaume hujiweka wao wa kwanza kabla yenu. Ikitokea mwanaume kapata fursa labda ya kusoma au kazi mbali na...
  17. Cute Msangi

    Kila mwanaume Jana amempost hakimi

    Jana status zote, comments kumsifia hakimi kwa maamuzi yake Mali zote kuandika jina la mama yake. Hivi nyie mwanaume wa Tanzania mna weza kufanya hivo Kuna kitu hamkijui ngoja niwape Siri ukishaingia kwenye Ndoa tunawaroga mtulie kila nachosema unisikilize huo muda wa kuandika jina la kizee...
  18. DR HAYA LAND

    Wanawake tuambieni kuhusu kauli yenu ya ‘Mwanaume hata umpe nini haridhiki’. Hiyo ‘nini’ ni kitu gani?

    Hivi Mwanamke akisema hata Mwanaume umpe umpe nini haridhiki, hiyo ‘nini’ humaanisha kitu gani? Tuambieni hizo nini ni nini basi. Kama hamsemi mtaendelea kuita wanaume wote ni Mbwa.
  19. Okrap

    Ni wakati wa kutomtegemea Mwanaume

    Kama mwanamke mpaka leo umebweteka unamsubiria mwanaume akuletee hela pole. Hela za wanaume zina manyanyaso sana pamba upate chako ujivunie usikae kumtegemea mwanaume akupe pesa please amkeni. Kuna wanawake mpaka hela ya pedi wanaomba kwa mwanaume ni aibu sana, inatakiwa ata mwanaume asijue...
  20. Infinite_Kiumeni

    Tambua sifa za mwanaume asiye na mvuto wa kimapenzi kwa mwanamke

    Wanaume wenye tabia/ aina hii hupata shida kwenye mapenzi. Wanaishia kuona wanawake ni wagumu/ hawaeleweki. Wanatumia muda mwingi kutaka kumridhisha mwanamke. Au atatumia mali kuficha udhaifu wake. Wanaamini akipata kitu fulani basi hatopata shida tena na wanawake. Anaweza pata mahusiano lakini...
Back
Top Bottom