Afande sina cha kueleza, taarifa zinajitosheleza hapa chini!
Tukio la kusikitisha limetokea leo mchana maeneo ya Juliana Mbezi beach ambapo Jimson Kibiki amefariki baada ya kupigwa risasi.
Kutokana na vyanzo vya mashuhuda Jimson alivamiwa alipokuwa ametoka bank na kuporwa na majambazi kiasi...
Wakuu habari.
Moja kwa Moja kwenye mada.
Mabraza mliotangulia kuoa, ni ushauri gani mfupi mnaweza kutupatia sisi ambao tunatazamia kuoa hivi karibuni?
Vitu kama umri wa kuoa, kushare mishahara na mke, kujenga nyumba na kuandika majina yenu wote, kuchanga na kununua gari, kurudi home mapema au...
Wana harakati habarini wote.
Jana kijua kilitoka kidogo ikabidi nitoke niote jua nje kidogo maana nilikuwa nimetulia house siku nzima sikwenda job. Sasa nikiwa nasukuma draft na jamaa wawili watatu wa kunipita umri kama kaka hivi.
Wakati tuna tia stori mmoja akawa anatujuza anapenda mke wake...
Kwenye mahusiano,Kuna wanawake wengi ambao wanaumia kwakua wanaume wao wamepoteza kujiamini.
Mwanaume anapopoteza kujiamini mara nyingi anakua na Gubu, anakasirika vitu vidogo vidogo, anakua na wivu sana kwani hujiona kama vile hatoshi hivyo kuogopa kusalitiwa au kuachwa. Hii humuumiza mwanaume...
Naomba kuelimishwa jamani, hivi kwa sheria za Tanzania mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?
Soma pia:
1) Binadamu wa kwanza duniani KUBAKWA ni Mwanaume, na wakwanza KUBAKA ni mwanamke!
2) Hivi kuna sheria inayomruhusu mwanaume kumshtaki mwanamke kwa kosa la kumbaka/raping?
3) Marekani...
Katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia inasadikika hakuna kitu ambacho kina nguvu sana kama mahusiano ya mapenzi, hata hivyo kutokana na nguvu hiyo ya mahusino, watu wengi hufikiri mwanaume ndio ambao wanaathiriwa kwa kiwango kikubwa na nguvu hiyo.
Watafiti wa masuala ya mahusiano...
AFUNGWA MIAKA MINNE KWA KUMUUA MKEWE: Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imemuhukumu kutumikia kifungo cha kwenda jela miaka minne Lameck Essau Meza mkazi wa Sikonge mwenye umri wa miaka 38 baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua bila kukusudia mkewe Dafroza Paul.
Akisoma hukumu hiyo Jaji...
Habari wadau.
Nipo sehemu moja napata moja moto.. kuna jamaa katusua kapanda cheo kazini huko auditing firm moja kubwa , yupo early 30s anadai muda wa kuoa umefika, anadai lazima aoe mwanamke mwenye kipato kama chake ama amzidi yeye mwanaume kipato.. maana watu wanapenda sana kuvuna...
★1. Ukitaka ambacho hakijamilikiwa na mtu yoyote ni lazima ufanye jambo ambalo halijafanywa na yoyote.
★2. Mungu akitaka kukubadili hukuletea mtu na shetani akitaka kukuangamiza pia huleta mtu.
★3. Bora Uishi mwenyewe kuliko kuishi na mtu ambaye si sahihi katika maisha yako.
★4. Kuoana kabla...
Girls! You run this World right? Run it with your Brain!
Wanawake wamekuwa Mabingwa sana wa kulaumu Wanaume kwanini wanacheat sana. Na wanaamini kwamba Wanaume hawana Reason ya Kucheat maana wao wanadhani wamefanya yoteeee, sasa kwanini jamaa acheat??
Leo naleta kwenu Aina ya Wanawake ambao...
Unavyodhani ndivyo, sivyo na huenda ukashangaa sana nikikuambia huu ukweli kuhusu wanawake. Huenda ukafikiria wanawake wengi hupenda wanaume wenye pesa na magari lakini sivyo hata kidogo. Kuna tofauti ya kuwa na hisia za mapenzi na kumpenda mtu ili aweze kuyasukuma maisha yako. Asilimia kubwa ya...
Habarini za asubuhi bandugu zanguni hapa JF natumaini mmeamka salama kabisa na buheri wa afya. Pamoja katika ujenzi wa Taifa letu pendwa.
Moja kwa moja kwenye mada halisi. Leo ningeomba mtazamo wa wanawake juu ya mionekano wasiyoipenda kutoka kwa mwanaume yeyote yule. Hata ukimuona unamzarau na...
wanaume wa aina hii wapo wengi
Sasa ukikutana na mwanaume wa aina hii ujue kuna kitu
labda anataka muachane au ana mchepuko ama ni hulka yake tu kuwa mkorofi.
Visa huwa haviishi sasa unatakiwa ujue jinsi ya kuishi naye;
Mfano akianzisha ugomvi fanya kumuacha aendelee ili umsaidie kutoa yote ya...
1. ANAKWEPA MAZUNGUMZO YA NDOA
Haonyeshi Kufurahi Unapoanzisha Mazungumzo Kuhusu Suala La Kufunga Ndoa Na Wala Hapendi Kuzungumzia Hilo. Wakati Mwingine Hata Kukutambulisha Kwa Ndugu Zake Au Rafiki Inakuwa Shida.
2. ANAGHARAMIA ANASA KULIKO MAMBO MUHIMU
Anakuwa Ni Mtu Wa Kukununulia Mapambo Ya...
Wakuu,
Asalaam aleykum, Tumsifu YESU kristo. Nimekumbuka visa vilivyopita mingi Sana enz za ujana, kipind icho sijaoa bado.
Enzi hizo Wanasemaga UJANA MAJI YA MOTO na Nlkua wa moto kwelikweli. Kazi kidogo, pesa nyingi na SINA MAJUKUMU KABISA. Nilikua na Libido Kali Sana ila kawaida kwa...
Mambo vp jamiiforums.
Sisi wajaluo mila zetu zinamruhusu mwanaume kuoa wanawake mpaka watatu (3) waliozaliwa tumbo moja (mama yao mmoja). Mama wa kambo ambaye ni ndugu wa mama mzazi anatunza watoto wa dada yake kwa roho ya upendo sana kuliko mama wa kambo ambaye si ndugu.
Wale mliolelewa na...
Ushawahi kijiuliza ni kwanini wanawake wengi miaka ya hivi karibuni wamekuwa wakizalishwa na kutelekezwa ni wapi wanapokosea!
Mpka mwanaume anamzalisha na kumtelekeza ina maana hakukuwa na makubaliano kuhusu mtoto na mimba itakuwaje au mwanamke aliamua tuu kumtegeshea mwanaume wakati mwanaume...
Habari wakuu, mbali na kuchelewa kumaliza, zipi Ni dalili nyingine za mwanaume aliyepaka mkongo?
Sijajua kama alikuwa ananikomesha au la, lisaa limoja si mchezo, unatoka magoti hayana na nguvu zimeisha.
Muda ninaoupenda angalau dk30.
Wanaume tumeumbiwa shida na si raha na ndiyo maana maisha yetu ni kupambana na shida ili kupata raha.
Hebu jiulize mwanaume umefiwa au umeumia kweli ukianza tu kutoa chozi utasikia kaka jikaze wewe ni mwanaume usilie unajikaza tu mpaka nyongo inavilia rohoni.
Unajaza maumivu mia kidogo Ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.