mwanamke

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mdada anaejiuza Shivaz Arusha, kakutwa amenyongwa gesti

    Hii habari nimeiona Millard Ayo, wazee baada ya hili tukio Shivaz, kuna usalama kweli sasa hivi hapo, si patakuwa panawaka moto. Doria za 24 hours za polisi plus malaya wengine kuhama hiyo sehemu Inakuaje unamnyonga mtu halafu unakimbia, story doesn't add up. --- Wakizungumzia tukio hilo...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hudumia Mwanamke unayeishi naye. Acha kiherehere utakuja kulizwa kibwege

    HUDUMIA MWANAMKE UNAYEISHI NAYE. ACHA KIHEREHERE UTAKUJA KULIZWA KIBWEGE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 90% ya wanaume wanaolilia mapenzi wanakiherehere. Ushamba tuu. Mwanamke hujamuoa, mwanamke hauishia naye, ni kitu gani kinachokufanya umhudumie kama sio kiherehere na ushamba? Kwa nini...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania This is Africa: Rais wa Nigeria yabainika alitumia cheti cha mwanamke kudanganya ni degree yake. Je, atawajibika kwa kuidanganya nchi anayoiongoza?

    Degree yake ya kwenye CV inayoonyesha kasomea chuo kikuu cha Chicago nchini Marekani ilizua maswali, wananchi wakatuma maombi Marekani kutaka kujiridhisha elimu ya Rais wao. Wamarekani wapo Direct, siku ya jana Jaji wa Marekani aliamuru taarifa za uhalali wa cheti zitolewe leo na imebainika...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kiimani hii imekaaje: Mwanamke ni pambo ndani ya nyumba

    Kwa ndugu zetu waislamu, mwanamke ni pambo la nyumbani kwa mume wake, haruhusiwi kuonwa na mwanamume mwingine zaidi ya mume wake. Sasa sisi tuna rais mwanamke na siku zote tunaona uso wake, je kiimani hii inaruhusiwa? kama hairuhusiwi, adhabu yake ni ipi? Msikilize shehe hapa...
  5. clifford20

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikusaliti na mwanaume mwingine muache mara moja

    Hii hapa ni ngumu kumeza ni kwa ajili ya wanaume, for men saikoloji mwanamke akikusaliti au akikucheat achana nae mara moja , hata kama akikupa sababu yoyote ile. Mapenzi kwa mwanamke(achana na malaya) it involves not only a body, goes way deeper kuliko unavyofikiria. Kitendo cha mwanamke...
  6. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Kuna Jambo linanikwaza hapa: Naomba kufahamu tabia za mwanamke anayefanya umalaya kwa siri

    Kuna mwanamke ninaye yaani kila nikitafakari naona napigwa akinitafuta ujue anaomba hela, nikishamtumia hata kushukuru hawezi ukimwomba mapenzi ananizungusha zungusha mpaka tugombane ndio atanipa sasa kivumbi jana usiku nimerudi zangu job nimekaa sebuleni kucheki movie nikaingia whatsapp...
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Weusi kati kati ya mapaja (dark inner thighs) chanzo cha wanaume wengi kutembea na wasichana wadogo

    Mwanaume unaweza kusex na mwanamke mwenye weusi kati kati ya mapaja (dark inner thighs)? Kama unaweza basi jua wewe ni jasiri ambae unaweza hata kutafuna jongoo. Binafsi siwezi kabisa labda kwa mkwassa (bastola) mbaya zaidi awe pia na stretch marks kwenye mapaja coz nitamuacha right away...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Hivi mwanamke mjamzito anahitaji kuandaliwa (romance)?!! Anajisikia?!!!

    Ninachofahamu ni kwamba maandalizi ni kwa ajili ya kutafuta utelezi. Sasa mwanamke mjamzito, kwa uzoefu wangu, huwa utelezi upo muda wote (unatokea naturally kama maandalizi ya kuja kwa mtoto). Swali langu kwenu wenye ufahamu ni kutaka kujua kama kuna ulazima wowote wa maandalizi kwake. Swali...
  9. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanamke anaetoboa mbele ya Mwanaume Halisi

    Nawasalimu kwa jina la Dp Ipo hivi hawa wavulana wanaolia lia mbele za wanawake wanatuzalilisha sana, Mwanaume hutakiw kuwa dhaifu mbele ya kiumbe cha kike hata awe na uzuri wa aina gani Hutakiwi kumuhofia hata kidogo hakikisha tu upo smart mwilini na akili mfukoni pia ila sio muhimu...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahakama: Mwanamke aliyefia Mahabusu ya Mahabusu alijinyonga

    Mahakama ya Korona Kinondoni jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Septemba 22, 2023 imetoa uamuzi wa uchunguzi ilioufanya kuhusu mazingira ya kifo cha Stella Moses aliyefia mahabusu katika kituo cha Polisi Mburahati Desemba 20, 2020, ikisema kifo chake kilisababishwa na yeye mwenyewe kujinyonga...
  11. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Hivi walioanzisha utaratibu wa mwanamke kulipiwa mahari walikuwa na sababu gani za msingi?

    Ujue hapa duniani kume kuwapo na tuvitu vitu twa ajabu tusito na kichwa wala miguu ambato tumeanzishwa bila sababu yoyote ya msingi na watu mpaka leo wanatufanya bila ya kuwa na sababu ya msingi. Sasa tuizungumzie "mahari" 1. Hivi walio anzisha haka kautaratibu ka mwanamke kulipiwa mahari...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Usitilie maanani maneno ya Mwanamke yoyote isipokuwa yanayohusiana na Uchumi tu

    Nilichojifunza. Mwanamke ni mtu mzuri sana. Na ndo wanaokamilisha mwanaume. Mwanamke na Ua na mambo mengine mazuri. Ila Usifanyie kazi maneno ya Mwanamke bila kufanya uchunguzi wako wa kina. Hata akiongea huku analia, hata aongee huku amegalagala chini. Ukitaka uishi na watu vizuri, iwe...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuwa dhaifu kwa mwanamke. Haitatokea.

    Nitampa heshima yake na kumhudumia kadri ya uwezo wangu ila akiringa tu mbele zangu biashara imeisha. Wife analijua hili na anaishi na Mimi kwa umakini mkubwa. Mtu anayeitwa mwanamke hawezi kunipeleka au kuniringia kisa nampenda. Nyie wanaume wenzangu mnaopelekwa mpaka na ma bar maids...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mmoja kati ya Washtaki watatu dhidi ya Antony aondoa malalamiko yake

    Winga huyo wa Manchester United alifunguliwa mashtaka na Wanawake watatu ya unyanyasaji na kuwashambulia, hiyo wamebaki wawili katika mchakato huo. Antony (23) kwa sasa yupo nje ya majukumu ya klabu yake kwa ajili ya kushughulikia mashtaka hayo yakiwemo dhidi ya aliyekuwa mpenzi wake, Gabriela...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Pitia hapa utathimini kama Mwanamke wako au Mkeo anataka/keshaanza kukusaliti!!

    1👉Je mwanamke wako ameanza kuwa na mitoko au safari kuliko ilivyokuwa huko nyuma??. 2👉Je mwanamke wako macho yake na akili yake yote ni kuwa karibu na simu yake?? 3👉Je kwa Sasa amekuwa active zaidi kwenye social media hususan IG na FB? 4👉Je anapost post picha za mitego? 5👉Je kwa Sasa hajali...
  16. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Huwa ninawaza hadi leo huyu Mwanamke alikua na lengo gani hasa namimi mdogo hivi (miaka 9)

    Habari wakuu Haka ni kastori kafupi namimi niwaambie leo. Nilipokuwa Nina miaka tisa siku moja jioni wakati naenda ziwani kuchota maji jioni nilikutana na mama mweupe kidogo wa makamo Kama 23 yrs hivi amesimama kandoa ya njia niliyokuwa napita ambapo kulikuwa na kichaka pembeni yake...
  17. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Wanawake waliofanikiwa sana kiuchumi na career zao, kuliko wote Tanzania pia wamezaa watoto wengi uzazi sio sababu ya mwanamke kufeli

    Wanawake wengi wa kisasa waoga na wavivu sana kuzaa Mwanamke umeolewa ila anampangia mume wake idadi ya watoto atakaozaa. Mtoto mmoja ama wawili tu Wanasema watoto wanaharibu career zao. Kwa uchunguzi wangu binafsi wanawake tatu bora waliofanikiwa kuliko wote tanzania ni hawa Namba moja...
  18. FraNova

    JamiiForums Tanzania Kutoka na mwanamke mwenye kiu ya kuolewa ni balaa zito

    Hii kitu ni balaa sana, Uwe unadate na mwanamke anayehitaji kuolewa kwa muda huo, yule anayeona kama umri unamtupa mkono huwezi enjoy hayo maahusiano ni kero mwanzo mwisho, Maswali kama, "hivi utanioa kweli?"/ "baby utanioa lini"/ "Mbona huji kujitambulisha kwetu?"/ Mbona hunitambulishi kwenu?"...
  19. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Kama mwanamke, taja vitu 3 vya kushikika ambavyo mwanaume atafaidika navyo aki-date na wewe

    Tiririkeni sasa tuone mmejipangaje. Siyo kila siku mnawananga wanaume hivi mara wanaume vilee.. Lile chama la "Mwanaume kataa ndoa" njooni hapa mpewe sababu za kutokukataa ndoa.. Wanawake huu ndo uzi wenu ambao ndiyo turufu pekee ya kuligaragaza hili chama la "mwanaume kataa ndoa".
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Zimeenda wapi nyakati zile ambazo ukiachana na mwanamke unampokonya vitu vyako vyote ulivyompa?

    Hiyo miaka ya 90 mzee baba. Nakumbuka mwaka 94 nikiwa darasa la tatu kuna jamaa mmoja alikuwa kampangishia mchepuko wake nyumbani kwetu then mchepuko ukazingua, jamaa siku hiyo alikuja zake na pick up yake ya kukodi akachukua vitu vyote alivyomnunulia yule mchepuko pamoja na vingine kwa ajili...
Back
Top Bottom