Kutoka na mwanamke mwenye kiu ya kuolewa ni balaa zito

FraNova

Member
Aug 23, 2022
38
207
Hii kitu ni balaa sana,
Uwe unadate na mwanamke anayehitaji kuolewa kwa muda huo, yule anayeona kama umri unamtupa mkono huwezi enjoy hayo maahusiano ni kero mwanzo mwisho,

Maswali kama, "hivi utanioa kweli?"/ "baby utanioa lini"/ "Mbona huji kujitambulisha kwetu?"/ Mbona hunitambulishi kwenu?" n.k. Hata kama ulikua kuna mambo unaweka sawa kwanza ili umuoe unaweza kughairi tu.

Kunyimwa penzi kwa kuona kama unamchezea ni jambo la kawaida. Ukipewa basi inabidi ujihadhari, usipotegeshewa mimba basi utabambikiwa ilimradi apate cha kukushikilia.

Mbaya zaidi unakuta alishatumika balaa, speedmeter inasoma kilometa za kutosha.
Kwa hili wanawake mbadilike mjue tu ukiweka presha kubwa ya kupata kitu ndio unakikosa kabisa.
 
Hii kitu ni balaa sana,
Uwe unadate na mwanamke anayehitaji kuolewa kwa muda huo, yule anayeona kama umri unamtupa mkono huwezi enjoy hayo maahusiano ni kero mwanzo mwisho,

Maswali kama, "hivi utanioa kweli?"/ "baby utanioa lini"/ "Mbona huji kujitambulisha kwetu?"/ Mbona hunitambulishi kwenu?" n.k. Hata kama ulikua kuna mambo unaweka sawa kwanza ili umuoe unaweza kughairi tu.

Kunyimwa penzi kwa kuona kama unamchezea ni jambo la kawaida. Ukipewa basi inabidi ujihazari, usipotegeshewa mimba basi utabambikiwa ilimradi apate cha kukushikilia.

Mbaya zaidi unakuta alishatumika balaa, speedmeter inasoma kilometa za kutosha.
Kwa hili wanawake mbadilike mjue tu ukiweka presha kubwa ya kupata kitu ndio unakikosa kabisa.
Mkuu umeongea jambo ambalo ndio linalonitokea sasa. Yaani imefika kipindi nikiona call yake tu nachukia. Akitext namjibu muda ambao nitaona unafaa.

Nishajaribu kumrekebisha lakini baada ya siku mbili anarudi kulekule halafu mbaya zaidi ana kiburi flani hivi na vitisho vyakisen.ge kise.n.ge. kisa amebeba ujauzito and in no time from now atajifungua. Nishamwambia kwajinsi ulivyo sahau mimi kukuoa wewe, nitabaki kulea tu huyo mtoto.
 
Mkuu umeongea jambo ambalo ndio linalonitokea sasa. Yaani imefika kipindi nikiona call yake tu nachukia. Akitext namjibu muda ambao nitaona unafaa.
Nishajaribu kumrekebisha lakini baada ya siku mbili anarudi kulekule alafu mbaya zaidi ana kiburi flani hivi na vitisho vyakisen.ge kise.n.ge. kisa amebeba ujauzito and in no time from now atajifungua. Nishamwambia kwajinsi ulivyo sahau mimi kukuoa wewe, nitabaki kulea tu huyo mtoto.
Huenda ni kisirani cha mimba, mvumilie mpaka ajifungue uone kama ataendelea na hiyo tabia
 
Mkuu umeongea jambo ambalo ndio linalonitokea sasa. Yaani imefika kipindi nikiona call yake tu nachukia. Akitext namjibu muda ambao nitaona unafaa.
Nishajaribu kumrekebisha lakini baada ya siku mbili anarudi kulekule alafu mbaya zaidi ana kiburi flani hivi na vitisho vyakisen.ge kise.n.ge. kisa amebeba ujauzito and in no time from now atajifungua. Nishamwambia kwajinsi ulivyo sahau mimi kukuoa wewe, nitabaki kulea tu huyo mtoto.
Ndo yule lady wa jf ?
 
Sasa kwann ulizaa na Bibi mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom