Hivi mwanamke mjamzito anahitaji kuandaliwa (romance)?!! Anajisikia?!!!

WhoWeBe

JF-Expert Member
Dec 18, 2022
2,301
4,243
Ninachofahamu ni kwamba maandalizi ni kwa ajili ya kutafuta utelezi.

Sasa mwanamke mjamzito, kwa uzoefu wangu, huwa utelezi upo muda wote (unatokea naturally kama maandalizi ya kuja kwa mtoto). Swali langu kwenu wenye ufahamu ni kutaka kujua kama kuna ulazima wowote wa maandalizi kwake.

Swali la nyongeza hivi huwa anajisikia hamu? Maana najua ujauzito hubadili maumbile ya viungo........huongezeka ukubwa kwa ajili ya maandalizi ya kutokea mtoto.
 
Mtukuze na muandae kama hana mimba. Ndio anasikia hamu na anapenda kugegedwa.
Zingatia hayo...
Chuma mboga asiyo piga goti it's HIGHLY RECOMMENDED.
😉😘😜
 
Ninachofahamu ni kwamba maandalizi ni kwa ajili ya kutafuta utelezi.

Sasa mwanamke mjamzito, kwa uzoefu wangu, huwa utelezi upo muda wote (unatokea naturally kama maandalizi ya kuja kwa mtoto). Swali langu kwenu wenye ufahamu ni kutaka kujua kama kuna ulazima wowote wa maandalizi kwake.

Swali la nyongeza hivi huwa anajisikia hamu? Maana najua ujauzito hubadili maumbile ya viungo........huongezeka ukubwa kwa ajili ya maandalizi ya kutokea mtoto.
Kinyaa siwezi sex na mtu ako na mimba
 
Watu mko na ukatili mwingi wamama wajawazito na tumbo lile wanatisha balaa juzi Mimi nimekimbia juzi Mimi nimekimbia show
 
Siku ukioa na ukaishi na mkeo mwanzo wa mimba mpaka mwisho utajui hujui..kawaida sana kufanya labda miezi miwili ya mwisho maisha ya tendo yanaendelea palepale

Speaking from experience
 
Sasa mwanamke mjamzito, kwa uzoefu wangu, huwa utelezi upo muda wote (unatokea naturally kama maandalizi ya kuja kwa mtoto). Swali langu kwenu wenye ufahamu ni kutaka kujua kama kuna ulazima wowote wa maandalizi kwake.
Kwani lengo la kumuandaa ni muhusika awe na utelezi ama apate hisia za kufanya mapenzi?

Kama muhimu kwako ni muhusika awe na utelezi basi unaweza ukamvua ukapachika mashine
Kama lengo la maandalizi ni muhusika awe na utayari basi haja ya maandalizi ipo
 
Back
Top Bottom