Mdada anaejiuza Shivaz Arusha, kakutwa amenyongwa gesti

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,709
5,699
Hii habari nimeiona Millard Ayo, wazee baada ya hili tukio Shivaz, kuna usalama kweli sasa hivi hapo, si patakuwa panawaka moto. Doria za 24 hours za polisi plus malaya wengine kuhama hiyo sehemu

Inakuaje unamnyonga mtu halafu unakimbia, story doesn't add up.

---
Wakizungumzia tukio hilo lililotokea juzi mchana, baadhi ya wakazi wa eneo hilo, akiwamo Saidi Salum, walidai waliona watu wamejaa katika nyumba hiyo ya kulala wageni.

Salum alidai kuwa alipokwenda kushuhudia kilichokuwa kinaendelea baada ya kuona idadi kubwa ya watu, alipata taarifa za mwanamke huyo kuuawa kwa kunyongwa.

“Huyu mwanamke si mgeni, tunamfahamu, maana hili ni eneo lake la kazi. Alikuwa ana... (alitaja neno lenye maana ya biashara isiyoruhusiwa kisheria) kila siku. Hata hapa Shivers ni mwenyeji, tunasikitika sana,” alisema.

Shuhuda mwingine aliyejitambulisha kwa jina moja la Kiu, alisema matukio kama hayo kwa Arusha ni mengi kwa sasa, hivyo aliomba serikali kuyafanyia kazi, ili wahusika wachukuliwe hatua kali na kuyakomesha.

Anna John alisema amepokea kwa masikitiko kifo cha mwenzao kwa kuwa hakuwa na ugomvi na mtu na alikuwa kazini.

Alidai kuwa kuna kijana alifika nyumba hiyo ya kulala wageni asubuhi na ilipofika mchana, alishangaa kumwona kijana huyo anakimbia akiwa na nguo ya ndani tu.

“Baada ya kuona amekimbia, waendesha pikipiki na vijana wengine waliopo eneo hili walishirikiana kumkimbiza na kumkamata eneo la Mnara wa Mwenge, mita chache kutoka hapa kisha kumkabidhi kwa polisi waliokuwa tayari wamefika eneo la tukio,” alidai.

Anna aliendelea kusimulia kuwa polisi walipofika katika nyumba hiyo ya wageni, waliingia katika chumba alimokuwa mwanamke huyo na kukuta haja kubwa imetapakaa kitandani na umauti ulikuwa umeshamkuta mwanamke huyo. Walibeba mwili wake na kuondoka nao.

Hassan Hamis alidai alimwona kijana huyo akiingia katika nyumba hiyo na baada ya muda alisikia kelele ndani ya chumba hicho zilizoashiria mzozo na ilipofika mchana, aliona kijana huyo anatoka kwa kukimbia akiwa amevaa nguo ya ndani tu.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo, alithibitishwa kuwa na taarifa za tukio hilo katika nyumba ya kulala wageni ya Shivers.

“Kwa sasa wataalamu wa Hospitali ya Rufani ya Mkoa (Mount Meru) wanaendelea na uchunguzi ili kubaini chanzo cha kifo ili tujue kwa hatua zaidi,” alisema.

Kamanda Masejo alisema hawawezi kutaja jina la marehemu na mtuhumiwa kwa sasa mpaka uchunguzi utakapokamilika.

Chanzo: Nipashe
 
Hii habari nimeiona Millard ayo, wazee baada ya hili tukio shivaz, kuna usalama kweli sahivi hapo, si patakuwa panawaka moto..doria za 24 hours za polisi plus malaya wengine kuhama iyo sehemu

Inakuaje unamnyonga mtu halafu unakimbia, story doesn't add up..

Shiva mitaa ya Olololoo!

Hivi yule Masai bado yupo kwenye ile gesti nyuma ya Shiva mameneja wake mapacha " Hassan na Hussein"?
 
Hii habari nimeiona Millard ayo, wazee baada ya hili tukio shivaz, kuna usalama kweli sahivi hapo, si patakuwa panawaka moto..doria za 24 hours za polisi plus malaya wengine kuhama iyo sehemu

Inakuaje unamnyonga mtu halafu unakimbia, story doesn't add up..
Kwanza tuanzie hapa je, Umalaya ni Kazi halali na inayompendeza Mwenyezi Mungu na aliibariki katika Vitabu vyake Vitakatifu?

Ukijijua Wewe ni Malaya usipende kuwa na Tamaa kwa Mteja juu ya kile mlichokubaliana, usiwe Mwizi au Mchonga Madili na Wezi ili ukiwa na Mteja wako waje Kumvamia na wamkwapue Hela au Mali za Thamani.

Malipo ya Upumbavu huwa ni hapa hapa duniani na Wahenga walituambia 'you will reap what you sow' Kudadadeki....!!
 
Unatoa ushauri wakati muhusika alishafariki... 😂
 
Hii habari nimeiona Millard Ayo, wazee baada ya hili tukio Shivaz, kuna usalama kweli sasa hivi hapo, si patakuwa panawaka moto. Doria za 24 hours za polisi plus malaya wengine kuhama hiyo sehemu

Inakuaje unamnyonga mtu halafu unakimbia, story doesn't add up..
Kajifanya mjanja kala vya watu halafu hataki kutoa bumunda!
Arusha wana huo upuuzi sana tuu.. Mimi mmoja nilimuonesha mtutu ndio tukaenda sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii habari nimeiona Millard Ayo, wazee baada ya hili tukio Shivaz, kuna usalama kweli sasa hivi hapo, si patakuwa panawaka moto. Doria za 24 hours za polisi plus malaya wengine kuhama hiyo sehemu

Inakuaje unamnyonga mtu halafu unakimbia, story doesn't add up..
Malaya anajikuta kamletea ushamba Jambazi unategemea nini? Hawatakagi hasara hawa jamaa hawakuchelewesh ukiwafananisha na Machoko ulowazoea.
 
Shida ya hawa wadada wana tamaa sana. Kuna jamaa alimshushia kipigo dada mmoja guest sitasahau like tukio. Tukiwa tumelala zetu tumetulia bila kujua kumbe baadhi ya vyumba vinatumiwa kama danguro ghafla tukasikia kelele nipige uniue. Hatukutoka tukawa tunasikilizia ndani badae wakatoana koridoni na meneja wa Hotel akawa anawasulisha, ishu ikawa kumbe YULE DADA ALIPATANA DAU NA JAMAA APIGE 2 - 0 , ILE JAMAA KAFUNGA GOLI LA KWANZA MDADA KAPIGIWA NA MTEJA MWINGINE KAMPOKEA KAMWAMBIA YUPO FREE AKIJUA MPAKA AFIKE JAMAA ATAKUWA KATOKA PASIPO KUJUA MTEJA WA PILI ALIKUWA MITAA YA KARIBU SO NDANI YA DAKIKA 2 AKAPIGA TENA AMEFIKA, SASA MDADA NA TAMAA YA PESA AKAMWAMBIA JAMAA ALIEKUWA NAE NDANI ATOKE NJE ASUBIRI JAMAA AINGIE APIGE KAMOJA HALAFU ARUDI WAENDELEE. JAMAA NAE AKAMWAMBIA HUYO ALIEKUJA NDIO MWAMBIE ASUBIRI NJE MAANA TAYARI YUKO NJE AU NIRUDISHIE PESA NUSU TUISHIE HAPA, MDADA HATAKI KURUDISHA PESA NA ANAKOMAA JAMAA ATOKE NJE KIMBEMBE KIKAWA KIMBEMBE SIO POA ALICHEZEA.
 
Kayataka.
Kwamba ushauri utamkuta kaburini

Dah aisee ufusika pro-max.... Mimi kuliko kutoa pesa ninunue kahaba bora nile Puchu tu, kwanza mimi nikishajua una mabwana buku, mzuka uwa unaishia hapo... Nakata mazoea, siwezi kuhalalisha ukaaba kwa kununua malaya
 
Shida ya hawa wadada wana tamaa sana. Kuna jamaa alimshushia kipigo dada mmoja guest sitasahau like tukio. Tukiwa tumelala zetu tumetulia bila kujua kumbe baadhi ya vyumba vinatumiwa kama danguro ghafla tukasikia kelele nipige uniue. Hatukutoka tukawa tunasikilizia ndani badae wakatoana koridoni na meneja wa Hotel akawa anawasulisha, ishu ikawa kumbe YULE DADA ALIPATANA DAU NA JAMAA APIGE 2 - 0 , ILE JAMAA KAFUNGA GOLI LA KWANZA MDADA KAPIGIWA NA MTEJA MWINGINE KAMPOKEA KAMWAMBIA YUPO FREE AKIJUA MPAKA AFIKE JAMAA ATAKUWA KATOKA PASIPO KUJUA MTEJA WA PILI ALIKUWA MITAA YA KARIBU SO NDANI YA DAKIKA 2 AKAPIGA TENA AMEFIKA, SASA MDADA NA TAMAA YA PESA AKAMWAMBIA JAMAA ALIEKUWA NAE NDANI ATOKE NJE ASUBIRI JAMAA AINGIE APIGE KAMOJA HALAFU ARUDI WAENDELEE. JAMAA NAE AKAMWAMBIA HUYO ALIEKUJA NDIO MWAMBIE ASUBIRI NJE MAANA TAYARI YUKO NJE AU NIRUDISHIE PESA NUSU TUISHIE HAPA, MDADA HATAKI KURUDISHA PESA NA ANAKOMAA JAMAA ATOKE NJE KIMBEMBE KIKAWA KIMBEMBE SIO POA ALICHEZEA.
Ila dunia imekwisha asee yaan wana bargain kabisa juu ya ngono aanze nani afuate nani🤣🤣🤣
 
Yani ufusika juu ya ufusika... Alafu unakuta wameoa kabisa... Sasa si bora utafute kidemu chako tu mitaa hata sura ikiwa haieleweki cha msingi utelezi unapata kuliko kwenda kupanga msururu kwa kaaba utafikiri mbwa dume wanapanda jike la mbwa
 
Back
Top Bottom