mwanamke

  1. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba zifuatazo ni dalili Kuu kabisa za Mwanamke anayeingiliwa na Mwanaume Kinyume na Maumbile?

    1. Hujamba jamba sana bila mpangilio ila huwa kunakuwa hakuna Harufu ya Kukera. 2. Akikaa iwe katika Kochi au Kitu hupenda Kujibinua na hawezi kutulia kwa muda mrefu. 3. Ukiwa nae Faragha Kufanya tendo la Ngono hupenda Kulalia Maziwa na hawapendi Mende Style. 4. Wanapenda mno Kuongea kwa Kubana...
  2. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Getrude Mongella: Ni heri kumpigia kura mgombea mwanaume kuliko mwanamke anayeona aibu kuzungumzia matatizo na maendeleo ya wanawake

    BALOZI Getruda Mongela, amesema ni heri kumpigia kura mgombea mwanaume katika chaguzi mbalimbali kuliko mwanamke anayeona aibu kuzungumzia matatizo na maendeleo ya wanawake. Akizungumza jana katika mkutano uliowakutanisha viongozi wanawake nchini, Balozi Mongela alisema siku ambayo Bunge...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Julian Peters: Mwanamke aliyezaliwa bila uke wala mfuko wa uzazi

    Julian Peters ni mwanamke wa miaka 29 aliyezaliwa na ugonjwa unaojulikana kama (MRKH) Mayer-Rokitansky-Küster-Hauser, huu ni ugonjwa unaoathiri sana wanawake na hasa kizazi cha mwanamke. Hali hii inamaanisha kuwa Julian alizaliwa bila mfuko wa kizazi. "Hali hii ninayoishi nayo inachangamoto...
  4. kwetumasoko

    JamiiForums Tanzania Kuitwa Mke kwa mwanamke ni heshima iliyotukuka

    Kuitwa mke au mrs fulani ni heshima kubwa na iliyotukuka sana kwa mwanamke. Kuna wanawake wengine wanadirika hata kusema kuwa hata kama bwana hachangii chochote katika malezi ya familia nyumbani lakini linapokuja suala la kuitwa mke wa fulani ni heshima kubwa sana kwa mwanamke hasa katika jamii...
  5. kid ink tz

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mmoja nchini Nigeria amjeruhi vibaya mkewe baada ya vipimo vya DNA kuonesha kuwa watoto wao watatu sio wa mwanamme huyo

    Mwanamke mmoja huko Nigeria amechakazwa vibaya na MTU anayedhaniwa kuwa ni Mme wake baadaya kutokea hali yenye utata dhidi ya watoto wao. Mwanaume huyo tajiri na mfanyabiashara alikuwa na mpango wa kuhamisha family yake kutoka Benin kwenda Canada ndipo ubalozi wa NCHI hiyo Ulipohitaji Vipimo...
  6. ANKOJEI

    JamiiForums Tanzania Sarah Baartman: Mwanamke mweusi kutoka Afrika Kusini aliyesafirishwa Ulaya kwa maonesho ya makalio makubwa

    Alitekwa miaka ya 1780 ivi huko South Africa akapelekwa ulaya kwenye madanguro, akafa, hakuzikwa ila alifanyiwa upasuaji wa ubongo, makalio yake makubwa na sehemu za siri zikawekwa maabara uko ufaransa na uingereza. Then Mandela alienda kurudisha mabaki ya mwili wake (chini ya mabishano makali...
  7. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Vitu 18 mwanamke anahitaji toka kwa mumewe

    shule@urownrisk THE 18 SIMPLE THINGS A WOMAN WANTS FROM HER HUSBAND 1. Give her your time. Don't make her beg for your attention. Women equate love with time. If she means a lot to you, she should see that expressed by how much time you give her. Come home early. Take her out on dates 2...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mganga Bingwa wa Jadi wa Kimasai, Atimba London-UK, Kupitia Mizimu, Abaini Mauaji ya Kinyama Yaliyofanywa Kwa Mwanamke wa Kimaisai Kumpora Shanga!

    Wanabodi, Utangulizi. Kwanza sii kweli Jarida la Economist kila siku, linazungumzia mambo mabaya tuu kuhusu Tanzania, hii no moja ya ripoti ya jarida hilo, toleo la February 13, 2020,likizungumzia jambo zuri kuhusu Tanzania, jinsi Mganga Bingwa wa Jadi wa Kimasai, toka Masaini nchini ...
  9. Guacamole

    JamiiForums Tanzania Tunamfanyaje Mwanamke Huyu Wakuu

  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Siasa zilivyomdhulumu mzee Moi mwanamke wa maisha yake

    KILA mwanaume anaweza kupata mwanamke, akawa mpenzi, mke, mama wa watoto wake na wakajenga familia. Hata hivyo, kupata mwanamke wa maisha, inahitaji mwongozo wa Mungu. Kila mwanamke anaweza kupata mwanaume. Atamwita mpenzi, mchumba na hata mume. Mwanamke kumpata mwanaume wa maisha yake, sio...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyevunja rekodi ya kuwa na ndevu nyingi

    Harnaam Kaur wa Slough, Uingereza amekuwa ni kijana ambaye anawavutia wengi kwa rekodi yake. Ameweza kusimama baada ya mika mingi ya kudhihakiwa na kutaniwa na walio wengi kuhusu muonekano wake. Vijana wengi wanavutiwa na uajsiri na moyo alionao kushinda dhihaka za watu hao Alipokuwa na umri wa...
  12. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Tukitoa tofauti za kimaumbile tofauti kati ya Mwanamke na Mwanaume haipo

    Najaribu kuwaza juu ya tofauti zaidi ya maumbile "body parts" kati ya Mwanamke na Mwanaume siioni. Na kikubwa zaidi ni kwamba tofauti hizi za kimaumbile ni chache sana kuliko maumbile yanayoonesha kuwa Mwanamke na Mwanamume wote ni binadamu na ni kitu kimoja. Tuendelee.
  13. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Mimi ni kijana wa miaka 27 nilizaliwa na kukulia ktk mkoa wa Kilimanjaro,kwa sasa ninaishi Dar es salaam namshukuru Mungu alinifanikisha kupata kazi serikalini,kwasasa ninatamani sana kua na familia hivyo ninatafuta mwanamke mrembo mwenye umri kuanzia 20-24 tutakaependana,kua wachumba na...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke umri 38-42

    Naitwa Joseph mwenye umri wa miaka 25, naishi Dar, ni mwajiriwa. Natafuta mwanamke mwenye umri kuanzia 38-42, aliye tayari aniPM. NB: Nimeamua nikiwa na akili timamu.
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukimwingia mwanamke anakuonea aibu hakuangalii machoni

    Hivi kwann ukimlala mwanamke hakuangalii machoni ? Kwann mnatuonea aibu?
  16. Dusabimana

    JamiiForums Tanzania Je, kuna aliyewahi shuhudia mwanamke mwenye kipara kati ya kichwa chake?

    Wanajukwaa habarini za leo! Ninaomba kufahamu kama yupo mwanamke mwenye kipara kati ya kichwa chake, maana nimewahi shuhudia wanawake wenye ndevu tu.
  17. wasumu

    JamiiForums Tanzania Niishi kwa akili ipi kivipi na mwanamke huyu

    Kwa kutopeteza wakati nina mke ila kuna makando makando anayaongea .1.tuna mtoto mmoja ila lawama ni kuwa yeye alikuwa hayuko tayari kuwa na mtoto ivyo nimemuharibia maisha yake .2. Mara anasema tafuta mwanamke mwingine yeye hatak kusex sana kwa mwezi anasema ni mara nne au asifanye hajisikii...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Kinyarwanda akiolewa na Mtanzania anakuwa raia wa Tanzania?

    Naomba wataalam mnifahamishe.
  19. L

    JamiiForums Tanzania Napenda kila mwanamke anayekatiza mbele yangu

    napenda wanawake wote ninao waona napenda nifanye mapenzi nao. Tatizo ni nini?
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dini ya Kiislamu na usawa kwa Mwanaume na Mwanamke: Haki ya Mwanamke katika Elimu | Haki ya kutafuta Elimu

    Chama cha Wanasheria wa Kike Visiwani Zanzibar [Zanzibar Female Lawyers Association (ZAFELA)] kimeandaa chapisho linalozungumzia Haki za Mwanamke linaloitwa "Haki za Mwanamke kwa Mujibu wa Qur'an na Sunnah za Mtume (S.AW)" Katika chapisho hilo, inaelezwa kuwa Uislamu umetoa umuhimu kwa binadamu...
Back
Top Bottom