Pitia hapa utathimini kama Mwanamke wako au Mkeo anataka/keshaanza kukusaliti!!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,041
71,287
1👉Je mwanamke wako ameanza kuwa na mitoko au safari kuliko ilivyokuwa huko nyuma??.

2👉Je mwanamke wako macho yake na akili yake yote ni kuwa karibu na simu yake??

3👉Je kwa Sasa amekuwa active zaidi kwenye social media hususan IG na FB?

4👉Je anapost post picha za mitego?

5👉Je kwa Sasa hajali hata akuone unanukaribu na mwanamke mwingine?.

6👉Mkeo Kwa Sasa anazungumzia Maisha Mazuri nje ya Ndoa??.

7👉Amekua na Marafiki wengi wengi mtaani?.

8👉Ameanza kua Mkali unapomuuliza kuhusu marafiki zake wakiume?.

9👉Unaona amepata improvement kwenye Maisha yake ? Mfano kazin wamempa promotion?. Kaanza kujidiet Et kupunguza uzito?.

10👉Alikua Mgonv Mgonv ila siku hizi Hana kabisa muda ?.

11👉Anasifia Mabwana au waumenza marafiki zake?.

12👉Fanya kumuuliza kuhusu "Usaliti", muitikio wake ukoje, anakwepa kwepa kulijibu Hilo swali???

Sasa piga hesabu ndogo hapa

Kama unachezea hivi....

0---3 Huyu uwezekano wa kusaliti ni mdogoo.

3---6 Kuna Uwezekano kaanza kufikiria kukusaliti lakini hapa Kuna nafasi bado ipo ya Kumfanya asikusaliti.

6+++++ Keshaanza Kuliwa Ndugu yangu, huna chako, keshaanza kuchezeshewa shooo !!.

Nini Cha kufanya?.

Kabla ya yote faham kua, MWANAMKE ANASALITI PALE TU ANAPOKOSA EMOTIONAL SATISFACTION KUTOKA KWA MWANAUME WAKE.

Sasa ili uweze kumpa Emotional Satisfaction ,lazima upitie nyuzi zangu baadhi nlowah andika jinsi ya kucheza na Mind ya mwanamke, Kumfanya aamini wee ndo Maisha yake, n.k !!.
 
Kwa hiyo wanawake wasipate promotion!!?
Wasipunguze uzito wajinenepee mpaka basi!?
Aendelee kuwa mgomvi na asiwe mtulivu!!?
Asiingie Insta wala fb
....mkuu kama hizi ndizo dalili za usaliti basi mwenzetu wewe kakae dunia yako
 
Dah, kwahiyo asipunguze uzito😂

Moyo utaburst atakufa
Wanawake wako hivi...

Kama wakati unamtongoza alikua Mnene basi hapo anakua na emotional satisfaction.

Kama ulimtongoza akiwa mwemba , vivo.

Sasa ikitokea ni Mnene, lkn Kuna muhun anamfatilia na muhuni huyo Anamwambia ,Baby ukipungua utanoga sana.

Na ikiwa mwanamke keshamuelewa jamaa, Lazima ataanza PILIKA PILIKA za kupungua uzito.
 
Kwa hiyo wanawake wasipate promotion!!?
Wasipunguze uzito wajinenepee mpaka basi!?
Aendelee kuwa mgomvi na asiwe mtulivu!!?
Asiingie Insta wala fb
....mkuu kama hizi ndizo dalili za usaliti basi mwenzetu wewe kakae dunia yako
Huijui Mind ya mwanamke inavyofanya kazi hata kama wewe ni mwanamke .

Ushawah jiuliza kwann mwanamke anaweza kuanzisha Drama tu ili mradi mgombane?.

Sasa kama Hujui ,Leo ujue, Wanawake Huwa wanaanzisha ugonvi ili mradi tu Kuimarisha uanaume wako.

Unashangaa Unene na wembamba?.

Mwanamke aliyechumbiwa akiwa mwembamba, akaolewa na mwili wake huohuo, huyu akija Ndoani atanenepa sio?. Unene Huu ni Unene ulio nje ya makusudio yake, huyu Huwa Kuna wakati atataka kutafuta mbinu za kurudi kua mwembamba, if only Hakuchiti,.. ila kama keshaanza kukuchiti ,na huyomuhun amempendea Unene wake, amini nakuambiaz Huyo mwanamke hata km wewe Mumewe umwambie oyaaa punguza uzito, KAMWE hatopunguza uzito kwakua Kuna Mtu ameupenda Unene huo hata kama huyo mwanamke kabla ya Ndoa alikua mwembamba.
 
Mambo mengine tuyaache kama yalivyo, lasivyo tunajitesa tu na kujichosha kwa vitu ambavyo viko nje ya uwezo wetu.
Halafu unaumiza kichwa kwa mtu ambae umemkuta ni mkubwa ana neno 32 na pia amekuwa na tabia zake toka mwanzo, na kila siku Kuna mabadiliko ya kimtazamo, kidunia, kiuchumi na bado Kuna Suala la utandawazi ambalo limewezesha kila kitu kuwa rahisi kwa sasa ivi. Kazi ya kumchunga mwanamke ni kupoteza muda tu
 
asee nimetafakari , haya yote ni kujitesa tu.
 
sawa sawa

mimi bado natafuta,
Tafuta ongeza tu umakini. Ila kumbuka kureplace nafasi ya mwanaume ambaye mwanamke alimpenda sana ila mwanaume akazingua ni kazi nzito, lazima umzidi yule mwanaume, ukifeli, atakuona mjinga na atashawishiwa kurudiana na wale. Wanawake hawana huruma na mtu hata kama Yuko committed 100% ila ukashindwa kuishi mahitaji alivyokuwa anapata zamani.

Nishaelewa kwanini Mungu aliamua Yesu kuwa mwanaume na sio mwanamke.
 
dunia ya sasaivi watu tunajaribu sana ku 'quantify' mahusiano, you can't boil it down

ni lazima uchague ndio, huwezi penda mwanamke yeyote, ila usichunguze sana

take a leap of faith
 
dunia ya sasaivi watu tunajaribu sana ku 'quantify' mahusiano, you can't boil it down

ni lazima uchague ndio, huwezi penda mwanamke yeyote, ila usichunguze sana

take a leap of faith
Huwezi penda wanawake wote, ndo maana mimi nimechagua lifestyle ya kuwa na mmoja (Christianity like of relationship), ila naona hii lifestyle itanishinda. Wanawake wamebadilika nowadays, na tabia haibadiliki.

Ujue ukiwa na wanawake wengi unakuwa una options, huna stress, unakuwa unajua akizingua huyu namchukua fulani. Ila Ukristo umebana sana, mke mmoja mpaka kufa, alafu haeleweki, anaficha makucha yake, kuna muda nishawahi kuwa atheist kwasababu hizihizi, baadaye nikajirudi kuwa theist kwasababu ya Physics.

Kwasababu nimechagua hii form of life, nitachunguza mpaka dakika ya mwisho, nisifanye kosa lolote .
 
Back
Top Bottom